Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,683
- Thread starter
- #441
Ukiwa unatumia antibiotic ni muhimu umalize cure yote. Ni kawaida ukianza matumizi ya dawa unapata nafuu baada ya siku 2-3 lakini ukiacha kutumia infection inarudi upya na ni kwasababu humalizi dawa zote kama inavyotakiwa.asante saaana dada gorgeousmimi, mimi nina bacterial effect-ions za tonsils na huwa natumia ampiclox lakini huwa inatibika na kurudi kwa mda mfupi nishauri nitumie dawa gani,, na nitaweza kuzitibu side effects za ampiclox na nini?
Nakushauri kama unafanya hivo uache mara moja hali hio ikiendelea kwa muda hao bacteria watatengeneza antibiotic resistance. Ambapo wanatengenza njia mpya za kusurvive na kuwia ugumu kuwaua.
Nakushauri utumie Erythomycin 250mg,vidonge viwili asubuhi na viwili jioni kwa muda wa siku 10.Vidonge hivi ni vyema ukivila na chakula ili kupunguza Gastrointestinal side effects.
Unatatizwa na athari gani ya ampiclox?
Last edited by a moderator: