cellinityo-murdch
Senior Member
- Mar 26, 2015
- 190
- 23
asnte sana
je ni dawa gani inaweza kumaliza maumiv makali wakti wa mp
je ni dawa gani inaweza kumaliza maumiv makali wakti wa mp
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumia Naproxen 250mg.Kula vidonge viwili unapoanza kupata maumivu ya siku za hedhi,baada ya hapo unaweza kutumia kati ya kidonge kimoja (=250mg) mpaka vidonge 5 (=1250mg) kwa siku.Kila la kheriasnte sana je ni dawa gani inaweza kumaliza maumiv makali wakti wa mp
Naomba kufahamu juu ya (normospermia )
Hello mkuu,nakushauri utumie antihistamin kama cetrizin kidonge kimoja kwa siku.Mzio-Kuwashwa mara kwa mara mwili mzima dawa yake nini?
Sijakuelewa vizuri anaetumia ni mjamzito?Tramadol haishauriwi kutumika kwa mjamzito inapita kwenye placenta na kumfikia mtoto dosage kubwa kwa wanyama imeonekana inaweza kusababisha matatizo kwenye kukukua kwa viungo ,kujengeka kwa mifupa na hata kupelekea kifo.Kwa watoto waliozaliwa inaweza kusababisha matatizo kwenye kupumua.Side effects za tramadol ni zipi, zina we za kuleta madhara yoyote kwenye tumbo la uzazi wakati mgonjwa anazitumia kwa ajili ya maumivu ya mgongo?
Sijakuelewa vizuri anaetumia ni mjamzito???
Ok…athari za kawaida na zinazopatwa na wengi in general ni mdomo kuwa mkavu na constipation,nyingenezo ni kizunguzungu,kuchoka kama kusinzia,kichefchef,kutapika,na kuumwa na kichwaSio mjamzito
Je kuna mabadiliko yoyote uliyoyapitia kwenye tendo la ndoa unayohisi yanapelekea hali hio?Uke kuwa mkavu kupeleka michubuko?Kutoka kwa discharges?Ni muda gani tangia utumie dawa?Ilikuwa formulation gani na kama ni ya kula ulikula antibiotic cure yote?@ gorgeousmimi nimepata tatizo la kusikia maumivu baada ya tendo la ndoa pia nikipata joto kidogo tu nawashwa sehemu za siri.nilikwenda hospital wakasema sina ugonjwa ila nimeze antibiotics.siku mbili hizi naona tatizo limerudi tenainaweza kuwa ni nini?na matibabu yake ni nini?
Je kuna mabadiliko yoyote uliyoyapitia kwenye tendo la ndoa unayohisi yanapelekea hali hio?Uke kuwa mkavu kupeleka michubuko?Kutoka kwa discharges?Ni muda gani tangia utumie dawa?Ilikuwa formulation gani na kama ni ya kula ulikula antibiotic cure yote?
Inaonekana una disturbance ya normal flora ukeni una bacterial vaginosis/trichomonas vaginalis.hakuna ukavu.majimaji yameongezeka wiki imepita toka nimemeza.
asanteTumia Naproxen 250mg.Kula vidonge viwili unapoanza kupata maumivu ya siku za hedhi,baada ya hapo unaweza kutumia kati ya kidonge kimoja (=250mg) mpaka vidonge 5 (=1250mg) kwa siku.Kila la kheri
gorgeousmimi uendelee kuwa gorgeous kwa jina la aliyetuumba.
Tatizo langu ni kupata maumivu makali ya tumbo na kuharisha sana muda mfupi baada ya kula chakula chenye mafuta sana. Mfano maziwa ya ng'ombe ambayo hayajaungwa na cocoa wala kahawa, au nyama yenye mafuta sana. Mafuta ya mimea hayanisumbui. Tatizo ni nini na nifanyeje?
Vidonda kwenye eneo la mdomo vinasababishwa na herpes simplex infection.Imegawanyika katika makundi mawili Herpes simplex virus 1(HSV-1) na herpes simplex virus 2(HSV-2).Ni virusi ambao asilimia 20-80 wanao na kupata maambukizi kutoka utotoni.Huyu virusi anakuwepo mwilini in latent stage na anakuwa activated ukiwa na stress,magonjwa au immune system ikiwa down.Nakushauri uende hospitali kupata uhakika zaidi.Tiba ni antiviral kama vaciclovir oral tablets au aciclovir topical maalum ya mdomo.Dr habari, nina shida kwenye ulimi kwa ndani, huwa nahisi km nimechomwa na sindano, baada ya hapo nahisi maumivu makali sana kisha yanapoa, nikipaangalia naona kidoa chenya weupe kidogo. Ni miaka imepita sasa, nimetumia dawa za kusukutua kakini wapi, naomba msaada dr.