Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kapime presha na kiwango cha haemoglobin mwilini!!Dr Habari Yako Tatizo Langu Mimi Huwa Nikisimama Kwa Muda Mrefu Napata Kizunguzungu Je Kinasababishwa Na Nini Na Tiba Yake Ni Hipi?
Jaribu kutafuta motisha mfano mtu wa kufanya nae mazoezi mkuu,kama ni kundi la watu pia itakuwa vyema.Kila la kheri.Sorry doctor nlikuwa mfanya mazoez mzuri waviungo na nlikuwa nikipenda sana mazoez ila miez kadhaa najikuta nimekuwa mvivu sana wa mazoez..napanga asubui ntafanya ila uvivu unaniingia
hello baby voice,ceftriaxone inapita kwenda kwa mtoto,matumizi yake kwa wajawazito haishauriwi lkn naona daktari hakuwa na choice,hakuna vithibitisho kwamba ina madhara kwa mtoto aliye tumboni.[URL="https://www.jamiiforums.com/" said:baby[/URL] voice;12526912]habar dk! mimi ni mjamzito, ujauzto wang una wk12, sasa nina tatizo la kukojoa nasikia maumivu makali kama naungua vile, nimepima mkojo majibu nina UTI, na dawa nimechomwa powercef 1 leo, naomba kufaham dk je ina madhara kwa mtoto alie tumboni?![]()
Usitumie kiwembe nyoa kwa kutumia mashine!!dr. nisaidie nikinyoa ndevu vipele vinaota sana. hi kitu ina dawa? nakereka sana mkuu?
Hello, Nakushauri umpeleke mtoto hosp achukuliwe vipimo vya damu na culture ya usaha ili upatikane uhakika ni aina gani ya bacteria alokuwa nao ili kupata tiba sahihi....Usitumie tu antibiotic bila kujua aina ya infection inayomtatiza mtoto unamtengeneza resistence kwenye umri mdogo.Naomba unishauri je nitumie dawa gani kwa ajili ya kutibu majipu kwa mtoto wa miaka miwili?Nilimpa ampiclox ila naona yanazidi kuongezeka hasa maeneo ya usoni na shingoni. Tatizo lingine ni kwamba mimi binafsi sina kabisa hamu ya kula.Mara nyingi nakula mara moja tu kwa siku na nisipate njaa.Naomba unishauri kama kuna tiba ya kusaidia kuleta hamu ya kula
Hello,Nakushauri umpeleke mtoto hosp achukuliwe vipimo vya damu na culture ya usaha ili upatikane uhakika ni aina gani ya bacteria alokuwa nao ili kupata tiba sahihi....Usitumie tu antibiotic bila kujua aina ya infection inayomtatiza mtoto unamtengeneza resistence kwenye umri mdogo.Suala la wewe kutopenda kula limeanza lini?
Je kuna mabadiliko yoyote yametokea kwenye mwili wako au maisha yako?Unatumia dawa zozote?Asante kwa ushauri.Nitafanya hivyo.Hilo suala la kutokula nina kama miezi mitatu
Je kuna mabadiliko yoyote yametokea kwenye mwili wako au maisha yako?Unatumia dawa zozote?
Hello,Dr gorgeousmimi,Naomba kujua tatizo la Moyo kutanuka linatokana na nini? Je ni moja kati ya magonjwa ya Moyo yanayotangazwa mara kwa mara? Je ni kawaida kwa tatizo hilo kutokea? Tiba yake ni nini hasa?Shukrani.BACK TANGANYIKA

Hali yako ya kupoteza ham ya kula ni ya kisaikolojia zaidi my dia,nakushauri urekebisha matatizo yako yanayokukabili kwenye maisha na hamu ya kula itarudi kama awali.Pole sana na kila la kheri.Kwenye maisha..ndio yapo.Situmii dawa
Hali yako ya kupoteza ham ya kula ni ya kisaikolojia zaidi my dia,nakushauri urekebisha matatizo yako yanayokukabili kwenye maisha na hamu ya kula itarudi kama awali.Pole sana na kila la kheri.
Anahitaji tiba ya strong topical corticosteroid kama elocon(mometason),flutivate(flutikason) hizo ni GROUP III CORTICOSTEROIDS/GROUP II CORTICOSTEROID with antibiotic since ana infected eczema/infectious seborroiske dermatittis so anaweza kujaribu betnovat with chiniform au synalar with chiniform kwa muda wa wiki moja asipopata nafuu itabidi atumie group 3 au systemic kama prednisolon mfanomandella ni muhimu pia akitumia hio strong steroid astep down yaani mfano atumie group 3 once a day kwa wiki moja,kisha atumie once every second day kwa muda wa wiki nne kisha atumie twice per week kwa muda wa wiki nne ili kuepuka kupata ugonjwa tena na kupata athari nyingine kwenye systemic cortison production.Habari
Kuna ugonjwa mmoja wa ngozi kama vile Fungasi .,wengi wamezoea kuuita Mba .,mara nyingi wanapata wanafunzi wa shuke za bweni . Unakua kama na Viduara Vyeupe .
Ugonjwa huu sasa unamsumbua kwa muda wa mika sita ,unakuna na kupote anapotumia Cream ,mara nyingine alaishauriwa kutumiwa Mafuta ya Break,Dawa ya Mba ya maji ,lakini tatizo bado lipo pale pale ,Pia alitumia Fluconazal/Vidonge ,lakini bado tatizo lipo palepale.
Na sasa linasambaa mwili mzima mpaka kila mahali .
ushauri tafadhali tiba ya ugonjwa huu .
Na sasa ukiwa unarudi unakua kama vipele vidogovidogo vya baridi kisha ukipaka cream ndio vinakua Vya duara tulivyozoea kuviona hivyo vya mba .
Msaada hapanana ushauri