Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,683
- Thread starter
- #841
post 813 ukurasa wa 41! inapatikana wapi mkuu nomba unijuze.!
Rudi ukurasa mbili nyuma kwenye uzi huu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
post 813 ukurasa wa 41! inapatikana wapi mkuu nomba unijuze.!
Pole ngalyas_t tunasumbuliwa na tatzo MojaHellow mkuu ngalyas_t ugonjwa wako kitaaluma unaitwa migraine.
Ugonjwa huu chanzo chake maalumu hakijulikani lakini inasemekana unasababishwa na kutanuka /vasoconstriction ya mishipa iliyopo kwenye ubongo.Ni kawaida ukipatwa na migraine kuanza na aura kati ya dakika 5-20 na inakuwa chini ya dakika 60 mfano kwa baadhi ya watu macho kuwa mazito na kuchoka,wengine huhisi kama mikono kama inachomachoma na kufa ganzi,kizunguzungu au hata kushindwa kuongea.Kichefchef na kutapika pia huweza kutokea.Baada ya aura yanakuja maumivu ya kichwa kati ya masaa 4-72.Maumivu haya yapo tofauti kutoka kwa mtu na mtu.Wengine huumwa baadhi ya sehem za kichwa na wengine huumwa na kichwa kizima.Migraine inakuwa triggered na vitu tofauti kimoja wapo ni stress,kutopata usingizi wa kutosha,pombe,hedhi au baadhi ya vyakula.Ni muhimu ukitibu ugonjwa huu ule dawa pale unapoona aura inaanza yaani mfano macho kuwa mazito,hasa dawa ya kundi la triptanes.Ukichelewa kula dawa hazina manufaa.
Chaguo la kwanza la dawa ni painkillers za kawaida kama Paracetamol au NSAID´s ibuprofen/aspirin/naproxen/cataflam.
Chaguo la pili ni TRIPTANES(selective 5HT-receptoragonists).Hizi zipo za aina tofauti inayotumika sana ni sumatriptan/imigran nyingenezo ni zolmitriptan,eletriptan,rizatriptan,almotriptan.Betablocker kama pranolol pia inaweza kutumika kama prophylaxis method ya kutibu migraine.
Tukirudi kwenye swali lako sasa,hedex(paracetamol) haina madhara ukitumia muda mrefu as long as huimisuse.Kula mara kwa mara unapooumwa na kichwa hakuna shida.Kila la kheri.
Cc Mkoroshokigoli
Tatizo ni mzio nimeshaliandika hili post za nyuma.Usile sangara!Nikila samaki aina ya sangara navimba uso wakat mwingine nahic km kuna vinachoma choma mwilini,tatizo hasa ni nini?
Nilishalijibu hili post za nyuma nimekukopiaNini kinasababisha tatizo la kukoroma?
Hello sock masta,Busha linasababisha upungufu wa nguvu za kiume? Na je ukifanyiwa upasuaj haipunguz uwezo wa kufanya tendo la ndoa na kutia ujauzito?
Simeticone 240mg,Kula kidonge kimoja baada ya chakula kikuu,Unaweza kula mpaka vidonge vitatu kwa siku.Naomba kujua dawa ya kuondoa gesi tumboni
Simeticone 240mg,Kula kidonge kimoja baada ya chakula kikuu,Unaweza kula mpaka vidonge vitatu kwa siku.
au Dimeticone 200mg,tumia kidonge moja mara 3-4 kwa siku.
Nilishalijibu hili post za nyuma nimekukopia
Tukilala musclature ya upper respiratory system ina relax,kwahio njia ya hewa inakuwa nyembamba na tukipumua eneo hilo lina vibrate,pressure inaongezeka na kupeleka msuguano kati ya soft tissues na kusababisha kukoroma.Pombe na dawa za usingizi zinasababisha njia ya hewa kuwa nyembamba,na hali inazidi kuwa mbaya ukiwa umelala usingizi mzito.Uvutaji wa sigara pia unaweza kuwa chanzo na uzito mkubwa.Ili kuepuka kukoroma
- kama uzito umezidi jaribu kupungua,
- epuka kunywa pombe,
- kuvuta sigara na sleeping pills (hypnoticum na sedatives),
- Ukilala lala ubavu epuka kulala na mgongo
Tiba zinazoweza kutumika ni nostril spray au plaster unayoweka juu kwenye pua ili kufungua njia ya hewa.
Kwani gesi ikiwa tumboni ina athari zozote?
Msaaada;tumbo kuuma karibu na nyonga kushoto ni tatzo gan??na dawa yake please
Inategemea how long she is on the way!Yupo trimester ya ngapi?Mama mwenye threatened abortion anakuwa treated na progesterone au bed rest tuu inamtosha?
Clotrimazol 1% cream paka mara mbili kwa siku kwa muda wa wiki 2-3.Kama hali hii unayo muda mrefu ni vyema ukaonane na daktari inawezekana tatizo lako liko advanced zaidi ya fungus.Dr mie ninasumbuliwa na mba sijui au fangas pembeni ya mapaja na pumbu kuna kipindi huchubuka na kuweka alama hunitesa sana ila inakaa kama wiki 2 inakata nakuwa fresh ila kunakuwa na alama fulan sasa dawa gani nzuri dr ya kumaliza hili tatizo muda mwingine hadi pumbu hubabuka ngozi