sumuni samson
JF-Expert Member
- Nov 27, 2015
- 249
- 61
wamekutoka sehemu gani ya mwili? mwonekano wake ukoje(rangi)?...
yanauma au kuwasha?
Mwilini yana washa sana mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wamekutoka sehemu gani ya mwili? mwonekano wake ukoje(rangi)?...
yanauma au kuwasha?
Hali hio unayo kwa muda gani?Je kuna milo maalum ambayo ukila unahisi inachochea hali hio?Nikimaliza kula dkka 10 lazima niende chooni alf naharisha kwa mda tatizo laweza kuwa nini
Fafanua maumvi kwenye scale ya 1 mpaka 6?na yanasambaa mgongoni au yapo eneo moja tu?Nina maumivu ya tumbo haswa nyakati za usiku, linavuta chini ya kifua, siharishi.....
Naomba kuuliza nini dawa ya kuzuia kukoroma maana Naambiwa nililala huwa nakoroma sana
Naomba dawa ya CRONIC UTI
ni kunywa maji ya kutosha... lita 3 mpaka 4/5 kwa siku.Dawa ya kupambna na constipation.sugu
Sawa Mtaalamu!! Sasa Ikiwa Tatizo Lake Ni La Kihomoni!! Je, Hao Wataalam Watamshauri Kufanya Nini!!!!???Kwa mwanamke kuanzia miaka 45na kuendelea uzalishwaji wa hormone ya oestrogen ambayo inasaidia kuongeza hamu ya tendo la ndoa inapungua kama si kuacha kabisa, hivyo tatizo la mkeo ni la kawaida, waone wataalam ambao watamsaidia kumaliza tatizo na kurudia katika hali yake mkuu,
Daaa asee nimetumia dawa kadhaa ikiwemo osmolax na hayo maji na matunda ndo usiseme ila amna kitu,ni kunywa maji ya kutosha... lita 3 mpaka 4/5 kwa siku.
Cefixime (taxim-o au topcef) itamfanya asahau.kabisa kama alishawah kusumbuliwa na uti trust memgonjwa ni ME au KE?
ametumia dawa zipi hadi sasa?
na je huwa anamaliza dozi?
unauhakika ni UTI? amepima?
Ciprofloxacin ametumia?
tatizo mgonjwa hatoi maelezo ya kujitosheleza, but any way ngoja akirudi.Cefixime (taxim-o au topcef) itamfanya asahau.kabisa kama alishawah kusumbuliwa na uti trust me