Nakataa Sera ya Elimu kubadilishwa na namuomba Rais Samia asiikubali

Nakataa Sera ya Elimu kubadilishwa na namuomba Rais Samia asiikubali

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kama Mdau Tukuka wa Elimu, Mkufunzi na mwana Saikolojia nakataa kuwa Tatizo la Elimu ya Tanzania ni Mfumo.

GENTAMYCINE nimewavumilieni na huu Upuuzi wenu usiovumilika wa kutaka Kubadili Mfumo wa Elimu ya Tanzania na leo nawatoleeni Uvivu.

Tatizo siyo Mfumo wa Elimu uliopo kwani hata akina GENTAMYCINE na Wengineo tumeupitia huo huo na kuwa na hizi Akili Kubwa sasa iweje leo muukatae kwa Hoja zenu za Kipuuzi / Kipumbavu?

Ni hivi tatizo siyo huu Mfumo mnaohangaika nao bali Tatizo Kuu na Sugu ni kutokuwa na Walimu Mahiri na Mitoto mingi inayozaliwa na Ujuha ( Uzuzu ) mwingi kutokana na kupata Lishe Duni inayopata kutoka kwa Waliokurupuka Kuwazaa.

Najua kwakuwa Bunge letu la sasa lina 90% ya Wabunge hovyo hovyo ( Mazuzu ) na Wenye Unafiki mwingi watakubali Kuupitisha huu Upuuzi wao ila Mheshimiwa Rais Samia nakuomba sana usikubali Kuusaini bali uendelee huu huu ulioko na uliotukuza Sisi akina GENTAMYCINE bali Mapungufu hayo Mawili niliyoyataja yafanyiwe Kazi.

Na Rais nae akidanganywa na Kushawishiwa na Wanafiki wa Bungeni na Wanaomzunguka kisha akausaini kuwa Mfumo Kamili GENTAMYCINE nitamdharau mpaka Kiama na hata Kura yangu Tukuka ya 2025 kama atagombea/ akigombea hatoipata.

Nimemaliza.
 
Naunga mkono hoja ukweli ni kwamba elimu yetu haina tatizo ila tatizo lipo kwenye kuogopa kuitumia hiyo elimu, mbaya zaidi tunajazana ujinga wa kukatishana tamaa kwamba eti hesabu za log zinakusaidia nini badala ya kusema hebu tubuni kitu kutoka a na hesabu za log tazama Sasa hatuwezi kuunda Kamera wala Fingerprint za simu wala mirango tunataka eti vijana waende veta wajifunze namna ya kuziweka mirangoni tu baada ya kununuliwa kutoka hukooo.

Kituko ni kwamba sis ni watumiaji wazuri hasa wa pikipiki lakini sioni mahari ambapo tunahamasishana kubuni pikipiki zetu wenyewe nadhani ni mda muafaka Sasa wa kuanzia kuunganisha nukta zote za elimu tunayo Pata na kuanzia kutengenezea vitu ifike mahari tutumie elimu ya chemistry yetu kusindika ulanzi, komoni, mbege, choya na sio kuzidharau na kuzishusha hadhi, ni muda Sasa wa kutangaza vijana waje na ubunifu wa kuiprocess bangi na kupata brand km sm wiston, nyota nk kwa donge nono zaid ili kuona namna ya kuipunguzia makali yanayodaiwa kuleta madhara badala ya kuibana na kubana unyumbulifu wa elimu tunayopatiwa.

Ifike mahali tuhamasishe ikibidi na tuzo zitolewe kwa atakaye buni bunduki au bomu na sio kukamatana ukikutwa unaunda gobole badala yke itangazwe ofa atakayeunda gobole fanisi zaid, ifike mahari itangazwe ofa ya Donge nono kwa atakayeweza kubuni njia ya wireless ya kusafirisha umeme

NB: WABUNGE WETU WAMESHIRIKI KUKANDAMIZA HARI YA KUJIAMINI NA KUAMINI MAWAZO YATU KUANZIA KUTENGENEZA WAZO KUKOSOA WAZO AU HOJA KUHOJI WAZO PIA KUNAHITAJI KIBALI CHA KISIASA tumejengewa jamii ya kutii kila litokalo serikalini hasa kwa watunza asali
 
Tatizo;
1. sekta ya elimu kupuuzwa kimapato na serikali kiasi kwamba kazi ya ualimu inakuwa kazi duni, wanaoenda ni wale waliofeli kidogo. Huko vyuoni mabingwa wa kukalili ndio wanakuwa ma lecturer
2.Pia mfumo kwenye specialization kuna kitu hakipo sawa. Sekondari utalazimishwa kusoma kiswahili wakati unakijua vilivyo. Sasa mwalimu mswahili atakavyokukomoa na methali zake kwenye mtihani, wakati wewe unachotaka ni mathematics, physics na chemistry. Utamsikia mnadhalau somo langu enhee mtaona!! Sasa uache ukitakacho uanze kukalili methali na mithamiati ni shida. Sasa hv sijui wamebadili enzi zetu nilichukua sayansi lakini form iv Necta nilifanya mtihani mpaka wa History. Nilipiga mambo na division I nikaibamba ila kusoma history mpaka form iv kulipunguza ufaulu wangu kwa yale masomo niliyoyataka
 
Naunga mkono hoja ukweli ni kwamba elimu yetu haina tatizo ila tatizo lipo kwenye kuogopa kuitumia hiyo elimu, mbaya zaidi tunajazana ujinga wa kukatishana tamaa kwamba eti hesabu za log zinakusaidia nini badala ya kusema hebu tubuni kitu kutoka a na hesabu za log tazama Sasa hatuwezi kuunda Kamera wala Fingerprint za simu wala mirango tunataka eti vijana waende veta wajifunze namna ya kuziweka mirangoni tu baada ya kununuliwa kutoka hukooo.

Kituko ni kwamba sis ni watumiaji wazuri hasa wa pikipiki lakini sioni mahari ambapo tunahamasishana kubuni pikipiki zetu wenyewe nadhani ni mda muafaka Sasa wa kuanzia kuunganisha nukta zote za elimu tunayo Pata na kuanzia kutengenezea vitu ifike mahari tutumie elimu ya chemistry yetu kusindika ulanzi, komoni, mbege, choya na sio kuzidharau na kuzishusha hadhi, ni muda Sasa wa kutangaza vijana waje na ubunifu wa kuiprocess bangi na kupata brand km sm wiston, nyota nk kwa donge nono zaid ili kuona namna ya kuipunguzia makali yanayodaiwa kuleta madhara badala ya kuibana na kubana unyumbulifu wa elimu tunayopatiwa.

Ifike mahali tuhamasishe ikibidi na tuzo zitolewe kwa atakaye buni bunduki au bomu na sio kukamatana ukikutwa unaunda gobole badala yke itangazwe ofa atakayeunda gobole fanisi zaid, ifike mahari itangazwe ofa ya Donge nono kwa atakayeweza kubuni njia ya wireless ya kusafirisha umeme

NB: WABUNGE WETU WAMESHIRIKI KUKANDAMIZA HARI YA KUJIAMINI NA KUAMINI MAWAZO YATU KUANZIA KUTENGENEZA WAZO KUKOSOA WAZO AU HOJA KUHOJI WAZO PIA KUNAHITAJI KIBALI CHA KISIASA tumejengewa jamii ya kutii kila litokalo serikalini hasa kwa watunza asali
Bunge la Wabunge darasa la 7 eti ndiyo wanajadili mstakabali wa elimu. Ha ha ha 😃😃
 
Pamoja na kuboresha mfumo wa elimu ni vyema wakaboresha maslahi ya walimu la sivyo mambo yanaweza yasiende vyema kama yalivyokusudiwa. Mfano mdogo tu ni shule za ufundi ambapo mwalimu anafanya majukumu ya kufundisha darasani, bado afanyishe practicles kwa malipo hayo hayo ya uwalimu wakati yeye kitaaluma ni Engineer hapo utagundua kuna kitu hakipo sawa.
 
Waanze na kuboresha maslahi ya walimu.
Miundombinu katika hizo shule
Vitabu na maabara ya kutosheleza
Wakifanikiwa hapo ndio wahamie huko kwenye mfumo.
La sivyo hakuna watakachokuwa wamefanya mana kubadilisha mfumo halafu bado mwanafunzi anasoma nje au kukaa chini,vitabu hakuna,anasoma theory inapofikia kufanya practical maabara hakuna au ipo vifaa hakuna na kama vipo havijitoshelezi bado mwalimu kaingia darasani na stress zake anafindisha kutimiza wajibu tu haisaidii.
Mazingira yamfanye mwalimu aipende kazi yake na kumfanya mwanafunzi kufurahia.
Watengeneze kwanza hivi.
 
Kabla ya kuugusa mfumo wa elimu tupate majawabu kwanza ni kwa nini mwanafunzi anapata division one halafu anafeli Mathematics?
Sijafika chini kusoma, kuna mtu keshaona uwalakin wa Udaktari na Ph.d.

Una madai, na Una upuuzi ulioufanya-sijui ni wamakusudi au ni Ushabiki wa sera tajwa.
Madai yako ni kuwa Divisheni ya Kwanza ni Lazima uwe Umehitimu somo lanHesabu?? Tafadhali usisite kunisahihisha. Je, Vigezo vya kupata Divisheni ya Kwanza ni vipi? Ina takwa la kuwa umefaulu Hesabu?

Upuuzi ninaousema(ignoring the facts) ni kutaka kupuuza mfumo huo wa Elimu ambao ndio Unaojadiliwa/Unaozungumzia!

....mkuu sijui Umetumia vipi Ph.d----na mashaka waweza kuwa wa kuokota makopo(yaani wa uliofuzu , labda, wa mazingira tu)Ph.D. in Environment .
 
...Kwa kifupi, Naona haya ya kubadilisha sera na sheria yaliyotokea hivi karibuni hayajalenga moja kwa moja kuondoa changamoto za Mtanzania, yaani mwanafunzi wa Tanzania au Mtanzania jwa ujumla.

kwa wale wanaojua kuhusu "Sera rafiki" wataelewa vizuri-kwamba tumejikita kutengeneza sera au kubadilisha sheria za kumfurahisha zaidi "Mwekezaji" badala ya kuweka kipaumbele tija ya Mwananchi/Mwanafunzi wa Kitanzania.
Ndio, nimediriki kusema hayo.
Nakiri tu, pamoja kuwa na mitazamo inayokinzana na bwana dawa mycine, na maneno mengi tu, naunga mkono hoja yako. Rais, Amri Jeshi Mkuu, Chifu, Mwenyekiti Dr.Mama(itifaki imezingatiwa) "Ukalitizame hili" hakika uliangalie vizuri tu.

Aluta Continua
 
Kama Mdau Tukuka wa Elimu, Mkufunzi na mwana Saikolojia nakataa kuwa Tatizo la Elimu ya Tanzania ni Mfumo.

GENTAMYCINE nimewavumilieni na huu Upuuzi wenu usiovumilika wa kutaka Kubadili Mfumo wa Elimu ya Tanzania na leo nawatoleeni Uvivu.

Tatizo siyo Mfumo wa Elimu uliopo kwani hata akina GENTAMYCINE na Wengineo tumeupitia huo huo na kuwa na hizi Akili Kubwa sasa iweje leo muukatae kwa Hoja zenu za Kipuuzi / Kipumbavu?

Ni hivi tatizo siyo huu Mfumo mnaohangaika nao bali Tatizo Kuu na Sugu ni kutokuwa na Walimu Mahiri na Mitoto mingi inayozaliwa na Ujuha ( Uzuzu ) mwingi kutokana na kupata Lishe Duni inayopata kutoka kwa Waliokurupuka Kuwazaa.

Najua kwakuwa Bunge letu la sasa lina 90% ya Wabunge hovyo hovyo ( Mazuzu ) na Wenye Unafiki mwingi watakubali Kuupitisha huu Upuuzi wao ila Mheshimiwa Rais Samia nakuomba sana usikubali Kuusaini bali uendelee huu huu ulioko na uliotukuza Sisi akina GENTAMYCINE bali Mapungufu hayo Mawili niliyoyataja yafanyiwe Kazi.

Na Rais nae akidanganywa na Kushawishiwa na Wanafiki wa Bungeni na Wanaomzunguka kisha akausaini kuwa Mfumo Kamili GENTAMYCINE nitamdharau mpaka Kiama na hata Kura yangu Tukuka ya 2025 kama atagombea/ akigombea hatoipata.

Nimemaliza.
Mara mseme Elimu yetu haifai ibadilishwe mara mnakataa ,hivi nyie Watzn Huwa mnataka nini hasa?

Mkipewa nafasi ya maoni hamfanyi hivyo mnasubiria kuja kupinga..

Wakati mwingine kinachoitwa Demokrasia kina gharama yake ambayo ndio hii Sasa ya kupinga Kila kitu.
 
we ye34nbe nini unapendekeza?
speak out
Ana nyongo na Visongo. Visasi baridi.....Unyumbu

nafikiri apewe ban tu ya kufanya Flooding/spamming kwa kutumia kitufe kwa kila wakati akiwa na machafuko ya kiroho popote alipo. Hebu fikiria akiwa na madaraka sehemu itakuwaje?
 
Mfumo wa Elimu ya Msingi 1994-2000 na ule wa Sekondari 2000-2004 na ule wa Advanced Level 2005-2007 ndiyo Mfumo Bora zaidi kabisa.
Serikali tafadhali tumieni mfumo huo.
 
Ana nyongo na Visongo. Visasi baridi.....Unyumbu

nafikiri apewe ban tu ya kufanya Flooding/spamming kwa kutumia kitufe kwa kila wakati akiwa na machafuko ya kiroho popote alipo. Hebu fikiria akiwa na madaraka sehemu itakuwaje?
fujo; ndio wasomi wenyewe hao.
 
Kinachotaka kufanyika kitawahusu watoto WA kayumba Kwa asilimia 99% na hivyo uwepo WA English medium inamaanisha wenye nazo wote watasomesha watoto wao English medium, na kiswahili kitafundishwa kwa wote wa Kayumba, hii ni kugawa nchi Kwa matabaka ni hatari sana
 
Hujawahi kumiliki Akili hivyo acha kunipotezea muda wangu hapa JamiiForums sawa?

Nina Ujumbe wako huu ufuatao......

ANGALIZO

Kwa Wewe KISOKOLOKWINYO ( MUWASHWAJI MUWASHWAJI ) na Mpumbavu ( Damn Fool ) unayejijua humpendi GENTAMYCINE na Mada zake / Uwasilishaji wake hapa JamiiForums tafadhali TUSICHOSHANE na acha kabisa Kusoma na hata Kuchangia bali Watafute Members wengine unaowaona ni Bora Kwako na Unawakubali kuliko Mimi.

Nimemaliza.
Shombo kama la Ke
 
Back
Top Bottom