Nakemea mavazi ya kinazi aliyovaa Mr Blue kwenye video ya Mawe

Maana Ukitetea unaonekana Myaudi Mweusi...

Kwa ubinadamu ni sawa kabisa kukemea ila tukija katika ukweli you only feel the pain hasa kutoka kwa yule aliyekutenda.. Kama Waafrika Hitler alikua just another villain....
Kwa hiyo unajustify mavazi ya blue ? Utajisikiaje mtu ambaye hajui machungu yako anachukulia mdhaa na kuleta kejeli?
 
Zile scenes za Blue ni shida. Bonge moja la kideo.
Kwenye Audio Mo Tec Bishoo kawapoteza sana.
Chorus nzuri ila beat limepoa poa kiasi.

Hayo mavazi mi sina habari nayo.

Hail Hydra!
 
Kwanza Germany ilikuwa na plan na africa, we unafikiri vita ya pili ilukuwa juu ya mambo gani?
Pili huyo unayedai ni queen ni duke, je wajua tofauti ya queen na duke?
Mambo yanayohusu haki za binadamu ni ya wote labda kama wewe ni mbuzi

Ni english monarchy ilisapoti nazism, Ujerumani ya A.Hitler haikuwa na plans zozote na Afrika yetu, Adolf Hitler alianzisha kitu alichoita ,,living space” kwamba alitaka kuwapatia Wajerumani eneo kubwa zaidi la kuishi na ilikuwa ni Ukraine huko Ulaya Mashariki, plan pekee ya National socialist ya Afolf Hitler aliyokuwa nayo na Afrika ilikuwa ni kuhamisha Wayahudi Kisiwa cha Madagaska, ukiondoa hilo Hitler hakuwa na mpango wowote na Afrika na wala hakuwahi kuitaja popote, hivyo huo ugomvi wao sisi kama Waafrika hautuhusu, kwanza hata Vita kuu yenyewe iliishia huko Afrika ya Kaskazini Misri huku kwetu Vita kuu ya pili haikufika, ilipiganwa Ulaya.
 
Nikisoma comment naona watu wanachukulia poa poa tu hili swala,kwakweli ukifanya signs zozote au chochote kinachoshabihiana na nazi germany kipindi hiki ujue unajiharibia mwenyewe,utaitwa anti-semitic ambapo ni kama kujichimbia kaburi kisanii..

Mr blue kaiga lakini kakosea sana hajui madhara ya alichofanya..ngoja tuone time
 
Maana Ukitetea unaonekana Myaudi Mweusi...

Hii inaonyesha character ya serikali ya kinazi ilikuwa no joke .
 
Ni english monarchy ilisapoti nazism, Ujerumani ya A.Hitler haikuwa na plans zozote na Afrika yetu, Adolf Hitler alianzisha kitu alichoita ,,living space” kwamba alitaka kuwapatia Wajerumani eneo kubwa zaidi la kuishi na ilikuwa ni Ukraine huko Ulaya Mashariki, plan pekee ya National socialist ya Afolf Hitler aliyokuwa nayo na Afrika ilikuwa ni kuhamisha Wayahudi Kisiwa cha Madagaska, ukiondoa hilo Hitler hakuwa na mpango wowote na Afrika na wala hakuwahi kuitaja popote, hivyo huo ugomvi wao sisi kama Waafrika hautuhusu, kwanza hata Vita kuu yenyewe iliishia huko Afrika ya Kaskazini Misri huku kwetu Vita kuu ya pili haikufika, ilipiganwa Ulaya.
Germany alikuepo north africa boss,vita ya pili germany alienda north africa kumpiga muingereza na akamtoa.
 
Ni kweli
Mad Max,
Ni kweli verse la blue ni bora kwa kufunga mwaka shida mavazi
 
Ingekuwa Blue ana soko la muziki Ulaya na Marekani angepotea ila kwa kuwa soko lake ni hapa hapa hamna hasara yoyote atakayopata.
Mi nachojua ni kua kabugi,hakutakiwa kufanya vile ila hizo consequence zake zitakazokuja sizijui..
 
Nikisoma comment naona watu wanachukulia poa poa tu hili swala,kwakweli ukifanya signs zozote au chochote kinachoshabihiana na nazi germany kipindi hiki ujue unajiharibia mwenyewe,utaitwa anti-semitic ambapo ni kama kujichimbia kaburi kisanii..

Mr blue kaiga lakini kakosea sana hajui madhara ya alichofanya..ngoja tuone time
Ni english monarchy ilisapoti nazism, Ujerumani ya A.Hitler haikuwa na plans zozote na Afrika yetu, Adolf Hitler alianzisha kitu alichoita ,,living space” kwamba alitaka kuwapatia Wajerumani eneo kubwa zaidi la kuishi na ilikuwa ni Ukraine huko Ulaya Mashariki, plan pekee ya National socialist ya Afolf Hitler aliyokuwa nayo na Afrika ilikuwa ni kuhamisha Wayahudi Kisiwa cha Madagaska, ukiondoa hilo Hitler hakuwa na mpango wowote na Afrika na wala hakuwahi kuitaja popote, hivyo huo ugomvi wao sisi kama Waafrika hautuhusu, kwanza hata Vita kuu yenyewe iliishia huko Afrika ya Kaskazini Misri huku kwetu Vita kuu ya pili haikufika, ilipiganwa Ulaya.
Okay
Unatakiwa ujue ya kwamba miaka ile uchumi ulitazwamwa kwa mfumo mmoja tu wa uzalishaji. Ivi unafikiri germany ingejiendesha vip pasipo kuwa na malighafi kutoka kwenye makoloni.
Na unasahau kitu kimoja germany alikuwa anataka makoloni yake aliyopoteza vita ya kwanza (kivipi unasahau pointi hii)
 
Germany alikuepo north africa boss,vita ya pili germany alienda north africa kumpiga muingereza na akamtoa.

Nimeshaiongelea hiyo, nimesema Afrika pekee ambayo iluathiriwa na Vita kuu ilikuwa ni Misri Afrika ya Kaskazini, lkn Afrika yetu Kusini mwa Sahara hatuna uhusiano na hiyo vita, hakuna bomu wala risasi hata moja iliyofika kwetu, hivyo haituhusu ni Vita ya Ulaya, Asia Japani huko.
 
Okay
Unatakiwa ujue ya kwamba miaka ile uchumi ulitazwamwa kwa mfumo mmoja tu wa uzalishaji. Ivi unafikiri germany ingejiendesha vip pasipo kuwa na malighafi kutoka kwenye makoloni.
Na unasahau kitu kimoja germany alikuwa anataka makoloni yake aliyopoteza vita ya kwanza (kivipi unasahau pointi hii)

Na hapo ndipo mnapojidanganya, Ujerumani ilikuwa inachukuwa Malighafi kutoka Marekani Kusini mfano kahawa,na mazao, shaba kwa ajili ya viwanda vyao walitoa Chile na Brazil pia Mashariki ya kati waliagiza mafuta, wakati ilipoanza walifanyiwa naval blockade wasiweze kuagiza malighafi ktk Marekani Kusini na Mashariki ya Kati, wanasayansi wa National Socialist wakaingia lab wakatengeneza synthetic oil inayotokana na makaa ya mawe kukidhi mahitaji yao, sukari badala ya miwa kutoka Marekani kaskazini wakatengeneza mimea mbadala na kuilima kwao, hivyo utaona uhusika wa Afrika yetu ni kiduuchu sana unaweza hata kusema hamna.

Na ndo maana Nyerere aliwahi kusema ,,they start their wars and when they get out of hand, they call them World wars” alimaanisha hivyo Vita havikutuhusu, hao Wazungu wana maogomvi yao ya miaka mingi sana.
 
Nimeshaiongelea hiyo, nimesema Afrika pekee ambayo iluathiriwa na Vita kuu ilikuwa ni Misri Afrika ya Kaskazini, lkn Afrika yetu Kusini mwa Sahara hatuna uhusiano na hiyo vita, hakuna bomu wala risasi hata moja iliyofika kwetu, hivyo haituhusu ni Vita ya Ulaya, Asia Japani huko.
Ni Misri, Tunisia na Libya. Tena nahisi Tunisia ndo kulikuwa na moto mnene. Allied forces wakiongozwa na Bernard 'Monty' Montgomery na Ujerumani ikiwa na mwamba Field Marshal Erwin Rommel 'Desert Fox'. Hakuna kamanda namkubali kama huyu

Sent from my PBCM30 using Tapatalk
 
Na hapo ndipo mnapojidanganya, Ujerumani ilikuwa inachukuwa Malighafi kutoka Marekani Kusini mfano kahawa,na mazao, shaba kwa ajili ya viwanda vyao walitoa Chile na Brazil pia Mashariki ya kati waliagiza mafuta, wakati ilipoanza walifanyiwa naval blockade wasiweze kuagiza malighafi ktk Marekani Kusini na Mashariki ya Kati, wanasayansi wa National Socialist wakaingia lab wakatengeneza synthetic oil inayotokana na makaa ya mawe kukidhi mahitaji yao, sukari badala ya miwa kutoka Marekani kaskazini wakatengeneza mimea mbadala na kuilima kwao, hivyo utaona uhusika wa Afrika yetu ni kiduuchu sana unaweza hata kusema hamna.

Na ndo maana Nyerere aliwahi kusema ,,they start their wars and when they get out of hand, they call them World wars” alimaanisha hivyo Vita havikutuhusu, hao Wazungu wana maogomvi yao ya miaka mingi sana.
Naona tushukuru germany alipigwa kwasababu huwezi kukwepa uovu kwa kutokuangalia maana baada ya kushinda dunia ingekuwa inafwata msaafu wake hivyo tungeaminishwa kwamba sisi ni dhaifu au sisi na wa kufanya kazi za mikono tuu.
Saa hivi kuna mambo ya haki za binadamu (usawa wa binadamu) au binadamu wote sawa kwa sababu ni upande ambao marekani na washirika wake walikuwa wanaamin.
Ivi tungewezaje kujadiliana na serikali ya germany kwenye biashara. Si angejizolea tu vyote avitakavyo.
Hii swala lake naenda deep sana usilichukulie juu juu tuu
 
Nimesoma kitabu alichoandika Adolf Hitler chote kinaitwa ,,mein Kampf “. My fight, ambacho ndiyo kama road map ya aliyonuia kuyafanya, na humo ndani sikuona neno, Afrika, yeye maadui zake wakubwa walikuwa ni communist ambao walikuwa wameshamiri Ulaya na tayari walishachukuwa Urusi, hata hiyo Vita ilikuwa ni kuzuia Communism isichukuwe Ulaya, Vita ambayo hata leo hii USA wanaipigana hawataki communism.

Kuhusu mambo ya race, Wazungu wote waliamini wao ni superior, ngoja nikuulize ni nani alianzisha apartheid huko AK? Unajua kwamba Mandela alikuwa kwenye list ya terrorist kama vile Osama bin Laden? Mpaka Reagan anaondoka Mandela alikuwa ni terrorist kwa USA, unajua kuhusu all white policy ya Australia? Mpaka miaka ya 70’ Australia walikuwa hawaruhusu non white kuhamia, je ni Hitler alitawala Australia? USA mpaka miaka ya 60’ walikuwa hawaruhusu non whites kuhamia huko, waliruhusu only arian white european, je, ni Adolf Hitler alitawala USA? Kanada ni hivi juzi tu ndo iliruhusu non whites kuhamia na kuishi huko mwanzo ilikuwa ni aryan white european only, je, ni national socialist ya Adolf Hitler iliyotawala Kanada?

Unajua kwamba Wayahudi na Wazungu wote wa Ulaya walisapoti apartheid? Je, huyo ni Adolf Hitler?
Je, unajua kwamba immigrants wa Afrika huko Israel wenye asili ya Ethiopia ( ethiopian Jews) wametolewa kizazi kwa nguvu na Serikali ya Kiyahudi ili wasiendeleze kizazi huko Israeli? Je, ni Adolf Hitler amefanya hivyo? Ni nani aliyefanya lynching ya black people in USA? Ni Adolf Hitler?
 
Back
Top Bottom