The Dark Father
JF-Expert Member
- Oct 9, 2017
- 1,144
- 1,408
Point yangu ni kwamba,Ina bidi kuwa concern pale haki za kuzaliwa za binadamu zinapovunjwa.
Sasa unafikiri nani ataheshimu jamii yako kama nayo haieshimu jamii nyingine
mbona tunaenzi tamaduni za watu wengine ambao pia nao walivunja hizo haki zetu za kuzaliwa za kibinaadamu. Tena hao 'tuliowasamehe' ndio waliozivunja moja kwa moja katika jamii zetu, katika ardhi yetu.
Ila aliyevunja kwa wengine ndio tuwe concerned?
Sent using LF Electromagnetic Waves