Msolo
JF-Expert Member
- Oct 19, 2008
- 2,713
- 3,559
Ukweli mchungu huu.Nazi praising ni offensive kwa nchi za magharibi. Sisi wengine tunajipendekeza tu.
Kibongo bongo we dont n shouldnt giv a shit!
Maana mtu mweusi alichukuliwa/ anachukuliwa inferior sio tu na Hitler bali hata na hao waliochakatwa na kuuwawa nae.
Kwa hiyo mwisho wa siku, wazungu, waarabu, waisrael, wa-asia, wooote walituchukulia hivyo hivyo tu kama hitler.
Sasa kwa nini tuomboleze kwa ajili ya watu ambao walituona tu sawa na Nazi walivyotuona.
Kwetu sisi dunia nzima haikuwa tofauti na NAZI.
Sent using LF Electromagnetic Waves
Sent using Jamii Forums mobile app