Kwa hiyo unajustify mavazi ya blue ? Utajisikiaje mtu ambaye hajui machungu yako anachukulia mdhaa na kuleta kejeli?Kwa ubinadamu ni sawa kabisa kukemea ila tukija katika ukweli you only feel the pain hasa kutoka kwa yule aliyekutenda.. Kama Waafrika Hitler alikua just another villain....
Kwanza Germany ilikuwa na plan na africa, we unafikiri vita ya pili ilukuwa juu ya mambo gani?
Pili huyo unayedai ni queen ni duke, je wajua tofauti ya queen na duke?
Mambo yanayohusu haki za binadamu ni ya wote labda kama wewe ni mbuzi
Hii inaonyesha character ya serikali ya kinazi ilikuwa no joke .Maana Ukitetea unaonekana Myaudi Mweusi...
Je, Wamfahamu mtanzania aliyeuawa na Hitler?
BAYUME MOHAMED HUSSEIN, MTANZANIA MASHUHURI ALIYEUAWA NA HITLER. ALIVYOTAJIKA. Je, ni jina jipya?, Geni au umewahi kulisikia sehemu?. Hebu leo jipe muda kumuangalia Mtanzania huyu wa tangu na Mmashuhuri wa leo katika Ukurasa huu wa "Wata nzania Mashuhuri". Hasa jina lake aliitwa Bayume...www.jamiiforums.com
Germany alikuepo north africa boss,vita ya pili germany alienda north africa kumpiga muingereza na akamtoa.Ni english monarchy ilisapoti nazism, Ujerumani ya A.Hitler haikuwa na plans zozote na Afrika yetu, Adolf Hitler alianzisha kitu alichoita ,,living space” kwamba alitaka kuwapatia Wajerumani eneo kubwa zaidi la kuishi na ilikuwa ni Ukraine huko Ulaya Mashariki, plan pekee ya National socialist ya Afolf Hitler aliyokuwa nayo na Afrika ilikuwa ni kuhamisha Wayahudi Kisiwa cha Madagaska, ukiondoa hilo Hitler hakuwa na mpango wowote na Afrika na wala hakuwahi kuitaja popote, hivyo huo ugomvi wao sisi kama Waafrika hautuhusu, kwanza hata Vita kuu yenyewe iliishia huko Afrika ya Kaskazini Misri huku kwetu Vita kuu ya pili haikufika, ilipiganwa Ulaya.
Mi nachojua ni kua kabugi,hakutakiwa kufanya vile ila hizo consequence zake zitakazokuja sizijui..Ingekuwa Blue ana soko la muziki Ulaya na Marekani angepotea ila kwa kuwa soko lake ni hapa hapa hamna hasara yoyote atakayopata.
Nikisoma comment naona watu wanachukulia poa poa tu hili swala,kwakweli ukifanya signs zozote au chochote kinachoshabihiana na nazi germany kipindi hiki ujue unajiharibia mwenyewe,utaitwa anti-semitic ambapo ni kama kujichimbia kaburi kisanii..
Mr blue kaiga lakini kakosea sana hajui madhara ya alichofanya..ngoja tuone time
OkayNi english monarchy ilisapoti nazism, Ujerumani ya A.Hitler haikuwa na plans zozote na Afrika yetu, Adolf Hitler alianzisha kitu alichoita ,,living space” kwamba alitaka kuwapatia Wajerumani eneo kubwa zaidi la kuishi na ilikuwa ni Ukraine huko Ulaya Mashariki, plan pekee ya National socialist ya Afolf Hitler aliyokuwa nayo na Afrika ilikuwa ni kuhamisha Wayahudi Kisiwa cha Madagaska, ukiondoa hilo Hitler hakuwa na mpango wowote na Afrika na wala hakuwahi kuitaja popote, hivyo huo ugomvi wao sisi kama Waafrika hautuhusu, kwanza hata Vita kuu yenyewe iliishia huko Afrika ya Kaskazini Misri huku kwetu Vita kuu ya pili haikufika, ilipiganwa Ulaya.
Germany alikuepo north africa boss,vita ya pili germany alienda north africa kumpiga muingereza na akamtoa.
weka link nikasomeAjabu tuna waisrael weusi......ndio falasha Jews sijui ... Japokuwa hata wale walioletwa Israel from Ethiopia wanatengwa Kama mizoga na wengi wamefungwa vizazi .....
.........Heil Hitler..........
Okay
Unatakiwa ujue ya kwamba miaka ile uchumi ulitazwamwa kwa mfumo mmoja tu wa uzalishaji. Ivi unafikiri germany ingejiendesha vip pasipo kuwa na malighafi kutoka kwenye makoloni.
Na unasahau kitu kimoja germany alikuwa anataka makoloni yake aliyopoteza vita ya kwanza (kivipi unasahau pointi hii)
Ni Misri, Tunisia na Libya. Tena nahisi Tunisia ndo kulikuwa na moto mnene. Allied forces wakiongozwa na Bernard 'Monty' Montgomery na Ujerumani ikiwa na mwamba Field Marshal Erwin Rommel 'Desert Fox'. Hakuna kamanda namkubali kama huyuNimeshaiongelea hiyo, nimesema Afrika pekee ambayo iluathiriwa na Vita kuu ilikuwa ni Misri Afrika ya Kaskazini, lkn Afrika yetu Kusini mwa Sahara hatuna uhusiano na hiyo vita, hakuna bomu wala risasi hata moja iliyofika kwetu, hivyo haituhusu ni Vita ya Ulaya, Asia Japani huko.
Naona tushukuru germany alipigwa kwasababu huwezi kukwepa uovu kwa kutokuangalia maana baada ya kushinda dunia ingekuwa inafwata msaafu wake hivyo tungeaminishwa kwamba sisi ni dhaifu au sisi na wa kufanya kazi za mikono tuu.Na hapo ndipo mnapojidanganya, Ujerumani ilikuwa inachukuwa Malighafi kutoka Marekani Kusini mfano kahawa,na mazao, shaba kwa ajili ya viwanda vyao walitoa Chile na Brazil pia Mashariki ya kati waliagiza mafuta, wakati ilipoanza walifanyiwa naval blockade wasiweze kuagiza malighafi ktk Marekani Kusini na Mashariki ya Kati, wanasayansi wa National Socialist wakaingia lab wakatengeneza synthetic oil inayotokana na makaa ya mawe kukidhi mahitaji yao, sukari badala ya miwa kutoka Marekani kaskazini wakatengeneza mimea mbadala na kuilima kwao, hivyo utaona uhusika wa Afrika yetu ni kiduuchu sana unaweza hata kusema hamna.
Na ndo maana Nyerere aliwahi kusema ,,they start their wars and when they get out of hand, they call them World wars” alimaanisha hivyo Vita havikutuhusu, hao Wazungu wana maogomvi yao ya miaka mingi sana.
Naona tushukuru germany alipigwa kwasababu huwezi kukwepa uovu kwa kutokuangalia maana baada ya kushinda dunia ingekuwa inafwata msaafu wake hivyo tungeaminishwa kwamba sisi ni dhaifu au sisi na wa kufanya kazi za mikono tuu.
Saa hivi kuna mambo ya haki za binadamu (usawa wa binadamu) au binadamu wote sawa kwa sababu ni upande ambao marekani na washirika wake walikuwa wanaamin.
Ivi tungewezaje kujadiliana na serikali ya germany kwenye biashara. Si angejizolea tu vyote avitakavyo.
Hii swala lake naenda deep sana usilichukulie juu juu tuu