Nakemea mavazi ya kinazi aliyovaa Mr Blue kwenye video ya Mawe

kwaiyo mambo yaiyotokea enzi za hitler yanakuumiza wewe mpaka unawapangia watu wavae nini kwenye biashara zao za muziki,s h e n z i
 
Pia kwenye kitabu chake alisema juu ya kuchanganyika kwa watu ndani ya germany hivyo kuona taifa likipoteza identity yake.

Sasa mnakuwa na kiongozi ambaye anakupangia mtu wa kumwoa na kuwa na watoto kisa anataka watu wenye mwonekano fulani.

Hivi kweli binadamu apangiwe azalishwe kama tunavyowafanyia kuku, ngombe. Sasa kuna maana gani ya kuwa na utashi sisi kuwa tofauti na wanyama. Yatupasa kujua ya kuwa hakuna mwanadamu mwenye solution juu ya namna gani tuishi. Hivyo basi ni vyema kutokuingilia mambo ambayo yapo ndani ya haki za msingi za binadamu.

Ndugu au unaungana na sera za kinazi
Kuhusu wazungu kubagua hii ilitokana na kutokuelewa kwa nadharia za darwin (zilikua bado hazijakomaa) hata hivyo wengi wamekiri makosa na binadamu tunaenda mbele .
 


Ni lazima kwanza utambue hicho kitabu kiliandikwa lini, kipindi hicho Wazungu wote walikuwa wanaamini hiyo, na ndo maana USA kulikuwa na segregation laws, USA ilikuwa hairuhusiwi kisheria Mtu mweusi kuoa/olewa na aryan Mzungu, na siyo USA tu, Ulaya yote ilikuwa hivyo.

Unafikiri apartheid maana yake nini?

Adolf Hitler hakuanzisha Ubaguzi au superiority ya Wazungu, ilikuwepo kabla ya Hitler, na ndo maana nikakwambia USA, Australia, Kanada na New Zealand na Paraguay, Chile, Argentina ilikuwa hauruhusiwi kisheria kuhamia huko kama wewe siyo ,,aryan stock”, yaani asili ya Ulaya.
 
Mwenzako akinyolewa yapaswa ufanye nini
 
Nakataa sio wazungu wote waliokuwa wanaamini
Ukija ufaransa unataka kuniambia walikuwa wanaamini hilo unalolikazania

Ukija northern amerika u anafikiri kulikuwa kuna mambo hayo. Katika mifano mibovu ni huu wa america coz amerika waliingia kwenye civil war kuhusu chain zifunguliwe kwa mtu mweusi.

Abrahamu Lincoln great american leader mungu amrehemu. Na ni miaka arobain baada ya kupata uhuru mwafrica marekani alikombolewa.

Kutokana na mambo ya kitamaduni siku zote yanaenda taratibu sana ndio maana kulikuwa na matukio ya hapa na pale ya ubaguzi. Ata kwetu mambo ya kitamaduni ni ngumu kuisha haraka cheki mabinti wavyokeketwa na serikali inavyopambana.
 
Hiv HITLER na NAZI nani aliyetuaminisha tujiingize kwenye mkenge wa kuwachukia?

Na pia ni kweli kabisa walichokua wanaamini. BINADAMU HATUPO NA HATUTAKUWA SAWA...

Wacha wenge tazama kichupa

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Ulishawahi kusikia kuhusu Segregation laws za USA? Ulishawahi kusikia kuhusu all white policy? USA walikuwa hawaruhusu ambaye siyo Mzungu kuhamia, wamebadilisha miaka ya 60’.
Mpaka miaka ya 60’ USA kuna States ilikuwa hairuhusiwi mtoto wa Kizungu kusoma Darasa moja na kujichanganya na race nyingine, kuoa/olewa ilikuwa illegal, hata kuruhusiwa kupiga kura Blacks wameanza kupiga kura miaka ya 60’ USA.

Kanada Quebec ilitawaliwa na Ufaransa na hawskuruhusu yoyote ambaye siyo French speaking kuhamia.
 
Hitler hakuuwa jews peke yake,alichochea hate ya jews ambayo ilikuepo toka mwanzo,alihalalisha mateso,mauaji ya jews hivo kupelekea jews kuuliwa na kunyanyaswa na raia wenzao

Acha conspiracy theory
 
Hitler hakuwahi kuwa mbaya kiasi hicho kama mnavyoaminishwa. By the way nilitegemea thread yako uzungumzie ukandamizaji wa haki za wanaume chini ya propaganda za "Gender Equality".
 

Hitler mtu safi sana
 
Unabwabwaja tu iko wapi picha ya kusapoti thread yako inayomuonesha blue kwenye uNAZI
 
Ndo maana nimekwambia mainstream media imemislead watu wengi including you

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah nasikitika sana unavoniambia hivo,mimi ni kama wewe bro,source yangu ya information haiwezi kua mainstream media.

Ila wewe unaongea conspiracy maana nikikwambia utoe ushahidi wa uhakika wa unachokiongea huna.

Kwenye kitabu chake mwenyewe hitler anaeleza jinsi anavowachukia mayahudi na mipango yake dhidi yao.

Hitler aliwauwa wayahudi akishirikiana na wenzake na sio ujerumani peke yake,ameuwa wayahudi ukraine,russia,na sehemu nyingi jeshi lake lilipopita..
 
Hayo mavazi aliyovaa blue wala sio ya kikosi cha Hitler cha SS(schutzstaffel) SS walikuwa wanavaa kama huyu chini kwenye crown kuna fuvu kuashilia Death head unit sasa kofia ya blue ni kama ya kampuni ya ulinzi

 
Reactions: rr4
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…