Nakemea mavazi ya kinazi aliyovaa Mr Blue kwenye video ya Mawe

Ukweli mchungu huu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila Hitler hakuwa mtu mzuri hapa chini ni maiti zilizokutwa kwenye concentration camp ya dachau baada ya askari wa marekani kuivamia wakati wa WW2

 
We kweli boga la kiangazi
Hitlet Alisema negro(mtu mweusi) anapaswa kuendeshwa kwa mjeledi,pia kwenye mashindano ya Olympic berlin 1936,alisema negro hawezi shinda mashindano akipinga ushindi wa mwafrika alieshinda kwenye riadha,iwapo Hitler angefanikiwa kuishinda ww2 angeingia mpaka Africa na tungekiona cha moto,hujui historia ndio maana unamuona Hitler mtu wa maana


Hapa unaona mtu mweusi akiwa miongoni mwa wafungwa concentration camp
 
It take time sheria kushika mashiko
 
Weka picha ya mavazi wengine hatujui mavazi ya nazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una mlaumu bure huyu mvaa hereni hawezi kuwa nazi
Nazi ni jamii ya kizazi chenye akili huwezi vaa hereni mwanaume ukawa nazi wala kufananishwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pia fahamu Nazi ndio wamefanya Dunia iende kasi hivi ilivyo leo bila wao bado tungekuwa mwaka 750

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: rr4
Kabisa
Hitler na akili zake asingeumiza kichwa sababu ya Afrika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama thread imekuzidi uwezo unaachana nayo mbona kuna thread nyingi tu za saizi yako kama ile ya kula tunda kimasihara
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Nmecheka sana ,Hii ni fedheha kubwa mwana Jf kuuliza nazi ni nini???๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
sema jamaa yuko jf kitambo sidhani kama hajui labda tu alitaka aandike NAZI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ