Nakemea mavazi ya kinazi aliyovaa Mr Blue kwenye video ya Mawe

Ina bidi kuwa concern pale haki za kuzaliwa za binadamu zinapovunjwa.
Sasa unafikiri nani ataheshimu jamii yako kama nayo haieshimu jamii nyingine
Point yangu ni kwamba,
mbona tunaenzi tamaduni za watu wengine ambao pia nao walivunja hizo haki zetu za kuzaliwa za kibinaadamu. Tena hao 'tuliowasamehe' ndio waliozivunja moja kwa moja katika jamii zetu, katika ardhi yetu.
Ila aliyevunja kwa wengine ndio tuwe concerned?

Sent using LF Electromagnetic Waves
 
mbona walimshindwa JOSEF MENGELE!?.. Au hili jina jipya kwako!?..

usikariri!!..
Siwezi kushangaa kukimbia kukamatwa kwa huyu mendele wako kwa sababu watu wa kaliba hii huwa hawataki kuwajibika. Hata hivyo kifo cha maji si mchezo. Jifunze kufurahia wanaume waliokubali kuwajibika acha kufwataa mende mende men
 
Siwezi kushangaa kukimbia kukamatwa kwa huyu mendele wako kwa sababu watu wa kaliba hii huwa hawataki kuwajibika. Hata hivyo kifo cha maji si mchezo. Jifunze kufurahia wanaume waliokubali kuwajibika acha kufwataa mende mende men
soo pathetic!..

Good bye!.
 
Mtoa mada itakuwa amepoteza uwezo wa kufikiri..msameheni bure
Sent using Jamii Forums mobile app
 
yaani mleta mada anaexpress issue as if kila mmoja kakasirishwa na hiyo video, acha ujinga sio kila kinachokuudhi wewe basi kinaudhi kila mtu.
 
Jamaa ana ugumu wa kuelewa.. nimefuatilia comment zako ume-muelewesha vya kutosha tu but still ana bishana tu bila hoja za msingi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siyo kila mwenye baya, hukosa mema yake pia...

Hayo mambo ya ki-nazi ni vile tu meamninishwa yale maovu yao tu, bila kutajiwa mazuri yao pia...

Ni kama vile first world countries wanavyoaminisha ulimwgu kwamba Africa is a Dark continent...



Cc: mahondaw
 
Nimefurahi kumuona Mr Blue na Rayvanny kwenye ngoma moja japo Clouds hawataicheza hiyo ngoma.

Collabo inayofuata ni Ali Kiba na Mbosso
 
jamaa linaishi kwa shemeji yake kazi kuleta ujuaji tu hapa
Jiangalie sana mengele angefurahi sana kukufanyia project. Kwa haraka haraka nazani angenyofoa kichwa chako akachomeka kwa sokwee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…