Nakerwa na tabia ya vijana kuponda na kudharau mikoa yao baada ya kufika Dar

Nakerwa na tabia ya vijana kuponda na kudharau mikoa yao baada ya kufika Dar

Hata baadhi ya wabongo waliohamia nchi zilizoendelea hawaachi kupaponda Dar es salaam.

Wakati wengine wametokea mpitimbi huko. Ulimbukeni ni shida sana.
 
Kuna siku nilicheka sana
Nikekutana na msukuma nikamuuliza wewe msukuma wa wapi anasema mm sio msukuma yaani nikabaki nacheka lafudhi inavyokataa kusapoti maneno yake.
Aisee yana hana jikana kisa dar😂
 
Machali ati wanaona wana nchi yao.
Wanavyojivunia sasa utadhani hiyo Arusha inachamaana. Kwa ambao hawajawahi kufika Arusha lazima watishike.

Sema nini, napenda mtazamo wao wa kukubali kwao
Kabisa , sema kuna vingne wanapitiliza , utasikia " hiyo matejoo una unapigwa paru fax ya dwax babulai .

Vijana wana sifa za kijinga hatari.
 
Back
Top Bottom