BigTall
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 525
- 1,257
Nimeona Rais Samia kamtumbua kiongozi wa juu wa Mwendokasi labda kero zitapungua kwa kweli.
Ukiachana na kero ya msongamano wa abiria na utaratibu mbovu ambao kila siku hata Jamii Forums naona mnaupigia kelele, kingine ni kuhusu suala la chenji.
Hilij ambo ni dogo lakini linakera na linapaswa kupigiwa kelele, kila kituo ukienda unaambiwa hawana chenji, hata wakati mwingine ukitoa Shilingi 2,000 au hata buku utaambiwa hakuna chenji ili jambo linakera sana tena sana.
Najua Usafiri wa Mwendokasi unaendeshwa na Kampuni kubwa na yenye uzoefu, inakuwaje kila Kituo kuna changamoto ya chenji?
Soma: Bila kadi sasa hupandi Mwendokasi. Waziri Mchengerwa awataka DART kutoa fursa Kwa Watanzania kuwekeza kwenye Mwendokasi
Mbona zamani hakukuwa na hizi mambo, nakumbuka kila kituo kilikuwa kinapewa coins nyingii kwa ajili ya kutoa chenji kwa wateja wao.
Abiria wengi wanaacha 50, 50 zao 100, 100 zao nyingi tu kwa kuwa wanakwambia hakuna chenji so kama vipi kaa hapo pembeni usubiri ipatikane, muda unaenda, mambo ya ajabu kabis hayo.
Pia soma: KERO - √ - Mabasi ya Mwendokasi: Hili suala la mimi nakudai chenji wewe unanipa vocha ya VODA, kuna nini hapa?