KERO Nakerwa na tabia ya wakata tiketi wa Mabasi ya Mwendokasi kudai hawana chenji kila siku

KERO Nakerwa na tabia ya wakata tiketi wa Mabasi ya Mwendokasi kudai hawana chenji kila siku

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Masikini ndio upiga kelele,mnaacha kupigia kelele wizi WA Hela ya parking mnahangaika na vichenj si unaenda na chej kamili tu
Tajili utakuwa wewe bhana hoja yako tu imekaa kimasikini unadhani hata bakhresa angekuwa comment kama yako jifunnze kuheshimu kidogo cha mtu inawezekana unaishi kwa baba na mama hata bei ya boxer tu hujui kakojoe ukalale wakubwa tuachie uzi wetu🤫🤫
 
Ndugu zangu pamoja na matatizo yote ambayo mmeeleza kuna njia mbadala ya kukata tiketi kimtandao unatakiwa kupakua app ya mwendokasi kwenye simu yako ili ununue tiketi kidigitali wakati tunaendelea kukamilisha utaratibu wa kurudisha huduma ya kadi.
 
wewe unajua kukata tiketi lazima uwe na chenji vipi unashindwa kuwa na chenji mapema iliuondoe usumbufu wa kila siku
 
Ndugu zangu pamoja na matatizo yote ambayo mmeeleza kuna njia mbadala ya kukata tiketi kimtandao unatakiwa kupakua app ya mwendokasi kwenye simu yako ili ununue tiketi kidigitali wakati tunaendelea kukamilisha utaratibu wa kurudisha huduma ya kadi.
bado hamjawa tayari kuliona tatizo hivi mnaelewa tunachojadili hapa? Kwani nani hajui kama kuna app mnadhani kila mtu anasmartphone hapa kinachojadiliwa ni chenji ya abiria kuchukuliwa kwa kigezo cha hakuna chenji tena kwa kauli mbovu eti katafute chenji au acha chenji!! Hii sio kweli tutakuja kupasua mtu tuonekane akili zetu sio nzuri.
 
Ndugu zangu pamoja na matatizo yote ambayo mmeeleza kuna njia mbadala ya kukata tiketi kimtandao unatakiwa kupakua app ya mwendokasi kwenye simu yako ili ununue tiketi kidigitali wakati tunaendelea kukamilisha utaratibu wa kurudisha huduma ya kadi.
Hiyo app ipo wapi tunaomba link
 
Au tunabishana na mhudumu (Mwendokasi) wa Dirishani pale hatujakujua....... [emoji1787]
Hana kazi yoyote huyo ndio maana hana nidhamu na matumizi ya fedha!! kenge kama kenge kwenye msafara wa mamba kwahyo hatuoni ajabu kutupanda kichwani.
 
Back
Top Bottom