KERO Nakerwa na tabia ya wakata tiketi wa Mabasi ya Mwendokasi kudai hawana chenji kila siku

KERO Nakerwa na tabia ya wakata tiketi wa Mabasi ya Mwendokasi kudai hawana chenji kila siku

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Nyie ndio watu wapumbavu ambao taifa linaingiza hasara kupitia watu mwenye akili kama zako.. hiyo 100k in per day je month ni kiasi gani.. unajua mtu akiomba rushwa ya 100k akashtakiwa Huwa adhabu yake ni ipi kwa mujibu wa sheria.. unazania mtu kama huyo anaechukua 150 kwa kichwa angepewa wizara kama ya nishati alafu akaongeza 150 kwenye mafuta hiyo iwe inaenda mfukoni kwake au wizara za habari Sanaa na mawasiliano kaongeza 150 kwenye mihamala ungejisikia vipi.. nyinyi mnaotetea huo upuuzi ndio mnazalisha kizazi cha zakayo.. vijana kama nyie taifa halipaswi kuwategemea sababu tofauti yenu na mbuzi ni position ya madako..
Fisadi hafungwi umewahi ona wapi fisadi kaenda jela.
Wao wanapiga ngapi hayo mabus na malori wanayomiliki mshahara unatosha?
Tulikuwa waaminifu wazalendo kuliko wewe
 
Fisadi hafungwi umewahi ona wapi fisadi kaenda jela.
Wao wanapiga ngapi hayo mabus na malori wanayomiliki mshahara unatosha?
Tulikuwa waaminifu wazalendo kuliko wewe
Democratic, Capitalism, ndio inazilisha vijana wapuuzi.. Nyerere aliwai kusema ili muendelee tanzania inahutaji kizazi jeuri tembea nchi za mbeleni huku uone sheria mafisadi wanavyolala ndani.. what you think you become.. ikiwa kama nchi inategemea kijana kama wewe ndio uje kuwa mkombozi wa ufisadi basi ni tunasafari ndefu kama ni inategemea kimawazo pia tuna safari ndefu.. unafikIri, as if kichwa chako kinatumia mayai ya kenge.. kijana muoga usiekuwa na maono.. What you imagine you create..
 
Kuna mdau kasema nenda na pesa kamili watu wanamshambulia wakati ndo suluhisho. Kila mtu aende na pesa kamili. Kuliko kuacha mia mbili yako pita dukani nunua hata pipi utafune ili upate pesa kamili. Halafu tuache UNAFIKI. % kubwa ya walaumu hapa ukimpa hiyo nafasi atajibu wateja "HAMNA CHENJI"
 
Niliwahi kukusanya ushuru stendi moja kubwa hapa nchi.

Alfajiri unajiandaa na chenji za kutosha za elfu 20 mchanganyiko.

Kutokana na wingi wa wasafiri, unajikuta chenzji zimeisha.

Akija mteja inabidi umjibu kistaarabu tu kwamba huna chenji kwa hiyo aende kwa karani mwingine labda atakuwa nayo.

Sasa swali linakuja, je, kama chenji hamna, mtu asisafiri? Jibu ni hapana asafiri ila kama ni 300 au 200 asamehe.

Mfano sisi tiketi zilikuwa Tshs 300. Anakuja mtu ana 500 ila na wewe una 500 na huna 200 ya kumpa. Watu kiroho safi wanaacha.

Sometimes wanakuja watu 20 kwa wakati mmoja wana elfu 10 10 na elfu 5 5.

Sasa ukisema ni makusudi si kweli.

Ukitaka usiache chenji basi beba hela kamili.

Binafsi mimi huwa sipendi kuwasumbua wahasibu wa daladala. Huwa ninaandaa hela kamili.

Hawa mwendo kasi ukiangalia ni kwamba hujiandaa na chenji za 200 na 50 50 lakini baadaye wanaishiwa na hawezi kutoka. Sasa je, usisafiri kisa 250?
 
Ukikosa chenji kamili na wanazingua bhas tumia App yao kukatisha tiketi.

Screenshot_20240114_153558.jpg
 
Sasa sh 150 ndo inakutoa roho acha ubinafsi watakula wapi
Yani natafakari hili swali umeuliza kwa kigezo kipi? Kwahiyo mshahara wake ni chenji za abiria au wewe falsafa yako ni pesa itangulie kisha mtu afuate na sio utu kisha pesa coz hizo chenji ndio maisha ya abiria wa mjini yani unga unga afike anapoenda kwanini wao hawapokei hela pungufu acha kukutetea ujinga,, unatamani kuonekana mjanja kwenye huu uwanja ila sifa zako zina verify ushamba.
 
Yani natafakari hili swali umeuliza kwa kigezo kipi? Kwahiyo mshahara wake ni chenji za abiria au wewe falsafa yako ni pesa itangulie kisha mtu afuate na sio utu kisha pesa coz hizo chenji ndio maisha ya abiria wa mjini yani unga unga afike anapoenda kwanini wao hawapokei hela pungufu acha kukutetea ujinga,, unatamani kuonekana mjanja kwenye huu uwanja ila sifa zako zina verify ushamba.
Masikini ndio upiga kelele,mnaacha kupigia kelele wizi WA Hela ya parking mnahangaika na vichenj si unaenda na chej kamili tu
 
Nimeona Rais Samia kamtumbua kiongozi wa juu wa Mwendokasi labda kero zitapungua kwa kweli.

Ukiachana na kero ya msongamano wa abiria na utaratibu mbovu ambao kila siku hata Jamii Forums naona mnaupigia kelele, kingine ni kuhusu suala la chenji.

Hilij ambo ni dogo lakini linakera na linapaswa kupigiwa kelele, kila kituo ukienda unaambiwa hawana chenji, hata wakati mwingine ukitoa Shilingi 2,000 au hata buku utaambiwa hakuna chenji ili jambo linakera sana tena sana.

Najua Usafiri wa Mwendokasi unaendeshwa na Kampuni kubwa na yenye uzoefu, inakuwaje kila Kituo kuna changamoto ya chenji?

Mbona zamani hakukuwa na hizi mambo, nakumbuka kila kituo kilikuwa kinapewa coins nyingii kwa ajili ya kutoa chenji kwa wateja wao.

Abiria wengi wanaacha 50, 50 zao 100, 100 zao nyingi tu kwa kuwa wanakwambia hakuna chenji so kama vipi kaa hapo pembeni usubiri ipatikane, muda unaenda, mambo ya ajabu kabis hayo.
Mbinu za kubaki na 50 50 zetu, suluhu ni kurejesha mfumo wa card, itarshisisha kupanga foleni keenye manunuzi na 50; kubaki, mpaka jioni unandhani atakua na tsh ngapi? Mfumo wa Card uanze haraka mtu unajinunulia ticket ya mwezi mzima unakuwa una changa tu.
 
Back
Top Bottom