kante mp2025
JF-Expert Member
- Nov 11, 2022
- 631
- 1,192
- Thread starter
- #21
Amina MkuuApumzike kwa amani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amina MkuuApumzike kwa amani
Pepo shindwašKufa kwanza ndio uchukie
Ukifa maisha yako ndiyo mwisho, hakuna ushahidi kwamba utaendelea.šHii last verse imenifikirisha sana mkuu
Hapa napata swali huenda tukifa ndio basi tena hakuna hiyo eternal life tunayoahidiwa
Wenzangu wameahidiwa mabikra 12
Sisi tumeambiwa tutaketi na Mungu kwenye kiti cha enzi.
Kwa misingi hii nilijiuliza sana kuhusu kifo nikajikuta nakuwa mzito sana kwenda kanisani.
Maana stori za motoni kwa sisi watenda maovu zinaogofya sana.
Leo mchungaji kasema sisi ambao hatufanyi mema tutatupwa ziwa liwakalo moto
Hii safi sana kama haitakuwa na mabadiliko habari za motoni zinatisha sana wakuuUkifa maisha yako ndiyo mwisho, hakuna ushahidi kwamba utaendelea.
Maisha yataendelea kwa matter yako kuwa funza, mimea, eventually atoms zako zitarudi kwenye viumbe wengine.
Habari za motoni zimetengenezwa na watu tu kutisha watu na kuwa control.Hii safi sana kama haitakuwa na mabadiliko habari za motoni zinatisha sana wakuu
Tunaongozwa na nature, "walikufa wakatuachia nafasi, ni lazima tufe tuwaachie nafasi".Asee na kinatisha kweli kweli.
Msamehe tu ndo kiwango chakeUzi wa kitoto huu. Kama unakichukia kifo sisi tufanyeje? Tumepoteza wengi zaidi tena wa karibu ila hatulalamiki maana ndio nature
Umenijunbusha mbalii sana na huyu mwambaMimi ni mtu ninayekichukia sana kifo ingelikuwa ninao uwezo wa kuzuia watu kufa basi ningefanya hivo
Leo nimejikuta namkumbuka sana Dkt.Ferdinand Masau, Mtu bingwa sana kama nchi tuliwahi bahatika kuwa nae akibobea kwenye masuala ya magonjwa ya moyo na taasisi yake ya Tanzania Heart Insitute hadi pale ilipokumbwa na gharika ikafungwa mwaka 2012.
Alikuwa na maono makubwa sana sema ndio hivo wakati mwingine unaweza kuwa na maono makubwa sehemu isiyo sahihi nadhani msongo wa mawazo ulipelekea nae akafarika mwaka 2013.
Vijana wa juzi ndio wanaweza wasijue sana habari zake huyu Dkt.Masau alikuwa bingwa kweli kweli kabla hata ya akina Janabi wanaovuma leo kwenye masuala ya moyo.
Wakati nikikumbuka ule uzi wa tanzia ya kifo cha dkt.ferdinand nikagundua hayati Ndugulile nae aliumizwa sana na kifo kile sema kifo kilivo nae leo hatupo nae kaenda kuungana na dkt. Masau.
Wana mageuzi wengi hawaishi sana sijui kwanini huwa naumia sana.
Hapa chini naambatanisha salamu za pole alizozitoa Dkt.Ndugulile wakati ule 2013 kufuatia kifo cha Dkt Ferdinand Masau.
Nimelia sana leo, Dkt.Masau hakuwahi kuwa ndugu yangu ila nimemkumbuka na kama kuna yeyote alihusika kwenye njama za kumvuruga kisaikolojia Dkt.Masau laana iwatafune hadi kizazi cha nne.
WATU WAZURI HAWADUMU
Mimi nakushauri usikichukie! Na badala yake ungekipenda tu. Maana hakikwepeki. Yaani siku ikifika, lazima utakufa tu!Ni kweli sikupingi ila haiondoi uhalisia wa kuwa nakichukia kifo
Hiyo itakuwa dhulma kubwa kupata kutokea, yaani watu wauane watesane wadhulumiane, kisha hivihivi unakufa kibabe unapumzika bila kuhukumiwa?! hiyo ni fikra ya mbali kabisa.Hilo natambua ndugu yangu.
Najaribu kuelezea hisia zangu juu ya kifo.
Nadhani baada ya kufa ndio stori ya mwanadamu inanishia hapo.
Tunaogopa sababu hatujui nini kinafata.Asee na kinatisha kweli kweli.
Hakika hapa umenifungua macho ndugu yanguHabari za motoni zimetengenezwa na watu tu kutisha watu na kuwa control.
Hakuna moto wala mbingu baada ya kifo.
upo sahihi sana mkuuTunaogopa sababu hatujui nini kinafata.
Kuna mtu alisema ukitazama safari ya mto, ni ndeefu yenye kasi ila huwa ukifika baharini unapunguza kasi mno, ni kama unaingia woga, kuitazama bahari kunatisha, ila mwishowe unaingia na kuwa sehemu ya bahari.
Kwahiyo Mungu ni mtesajiHiyo itakuwa dhulma kubwa kupata kutokea, yaani watu wauane watesane wadhulumiane, kisha hivihivi unakufa kibabe unapumzika bila kuhukumiwa?! hiyo ni fikra ya mbali kabisa.
daaah we jamaaš¤£š¤£HILI NALO MKALITAZAME.
Namuagiza Dokta Janabi aende akalifanyie kazi hili jambo ili watanzania tuishi milele.
Dokta janabi nina imani na uzoefu wako wa kubomoa mioyo ya wagonjwa, umefanya kazi katika mashirika mengi pamoja na serikalini hivyo sina shaka na uwezo wako wa kutufanya tuishi hadi kiama.
Nakutuma ukafanye kazi kwa kujiamini.
Cc: Lucas Mwashambwa chiembe ChoiceVariable Extrovert Nyani Ngabu Lamomy Poor Brain Lloyd Munroe
Mbona watu wema wengine wanakuf vifo visivyo vema kumbuka kifo cha Ali kibaoMimi nakushauri usikichukie! Na badala yake ungekipenda tu. Maana hakikwepeki. Yaani siku ikifika, lazima utakufa tu!
Hapa cha msingi muombe tu Mola wako ili hiyo siku ikifika, basi ufe kifo chema! Naamani kile kifo cha uzeeni, huku ukiwa umezungukwa na wanafamilia wako. Na siyo ufe kifo cha kuchomwa moto, kutekwa na kuteswa, nk.
Pia lazima wafe ili wawaachie nafasi.Tunaongozwa na nature, "walikufa wakatuachia nafasi, ni lazima tufe tuwaachie nafasi".
Alikuwa mwamba kweli kweli sema ndo hvo aseeUmenijunbusha mbalii sana na huyu mwamba