Pre GE2025 Nakipongeza kikosi Maalum cha CHADEMA kwa kufanikiwa kuteka mijadala yote ya Nchi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Jipe moyo wenzio wanajaribu kuziba tundu na kutoa maji boti linavuja!
 
Reactions: Tui
Nyie mnachopambania sasa hivi ni ruzuku tu, lakini mnafahamu fika hii nchi haitofika siku mkaongoza.

Nyie na CCM ni wale wale tu.
 
Hakuna akili ya ziada hapo
Tusipende kusingizia akili kwenye upumbavu.
Kwa chama makini kingetoa taarifa ya kulaani na kuahidi kufanya uchunguzi wa kina.
L
Aliyeongea ni kiongozi wa Juu, Huna haja ya kuwa na mashaka
 
Erythrocite, wewe mara nyingi umekuwa mletaji wa taarifa za CHADEMA hapa JF.

Ushauri wangu kwako, ongeza umakini, jitofautishe na akina Mwashambwa katika uletaji wako wa habari.

Uletaji wako wa habari uoneshe umakini.
 
Erythrocite, wewe mara nyingi umekuwa mletaji wa taarifa za CHADEMA hapa JF.

Ushauri wangu kwako, ongeza umakini, jitofautishe na akina Mwashambwa katika uletaji wako wa habari.

Uletaji wako wa habari uoneshe umakini.
Mkuu Unautilia mashaka umakini wangu ?
 
RC Makonda na Wadudu wake anaichachafy Chadema mzima.
 
Kwa muda mfupi wamefuta yale yote Makonda aliyosema kwa mbwembwe za kila namna! Sasa hivi ni habari ya Lissu!
 
Pongezi zote kwa abduli na mam'ake.
 
Kuna mijadala gani- mgawo wa umeme?
 
Uzuri wachadema imejijengea majasusi wa kujitemmgemea. Hawategemei kulipwa ili wafanye kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…