Pre GE2025 Nakipongeza kikosi Maalum cha CHADEMA kwa kufanikiwa kuteka mijadala yote ya Nchi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hahaha
 
Chawa mfawidhi
 
Kuna mpuuzi mmoja alisema maandamano ya Chadema hayana impact yoyote! Check Sasa wanavyojitapatapa. Masikini ccm hadi naionea Huruma.
 
Sikuwahi tegemea ntakuwa hai kisha ntashuhudia rais mzanzibari ambae kumwita mzanzibar ni ubaguzi .
 
Erythrocite, wewe mara nyingi umekuwa mletaji wa taarifa za CHADEMA hapa JF.

Ushauri wangu kwako, ongeza umakini, jitofautishe na akina Mwashambwa katika uletaji wako wa habari.

Uletaji wako wa habari uoneshe umakini.
Yaani una maana aache kuleta utumbo.Aongeze umakini wakati hapo ndio kamaliza kila chembe ya akili aliyonayo?Demand yako ni kubwa sana kwa uwezo wa akili yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…