Pre GE2025 Nakipongeza kikosi Maalum cha CHADEMA kwa kufanikiwa kuteka mijadala yote ya Nchi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Yaani una maana aache kuleta utumbo.Aongeze umakini wakati hapo ndio kamaliza kila chembe ya akili aliyonayo?Demand yako ni kubwa sana kwa uwezo wa akili yake.
Umemsikia Kinana? Tuliandika uzi huu tukijua yanayokuja, Kuna wadau hawakutuelewa.
 
Tatizo langu ni kuwa ccm ni uchafu kwangu lakini pia wapinzani nao siwaamini kabisa maana wengi wao ni wachumia tumboni na hawamanishi wala kuishi wanachohubiri...!
 
Jasusi Yericko hawezi tena kuisaidia chadema,lazima kwanza mumchangie vitabu vyake.
 
Tatizo langu ni kuwa ccm ni uchafu kwangu lakini pia wapinzani nao siwaamini kabisa maana wengi wao ni wachumia tumboni na hawamanishi wala kuishi wanachohubiri...!
Weka ushahidi wa Uchumia tumbo wao
 
Tatizo langu ni kuwa ccm ni uchafu kwangu lakini pia wapinzani nao siwaamini kabisa maana wengi wao ni wachumia tumboni na hawamanishi wala kuishi wanachohubiri...!
Unakosea na inaonekana bado hujajipa homework.

Tanzania kuna wapinzani wenye credibility ya maana. Labda una chuki zako tu.

Wapo wachumia tumbo na Dr Hayati Magufuli alitusaidia sana kuwajua na kuwachuja.Bado wale Pure wapo.
 
Bila Makonda kupigwa zengwe na kk chadema walikuwa wamepoteana
 
Pongezi zianzie kwa Samia
 
Naskia mdude ndo mkurugenzi wa majasusi wa chadema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…