Nakiri kuwa hii ni moja ya zawadi bora kwenye maisha yangu

Yap ni kweli, kila mtu ana life path yake.

Kwetu mimi ni best, mdogo wa 2 ni mid, wa 3 ana onyesha yayo zangu.

nime mpeleka best school, maana naji jua nilivyo kuwa.
Hope ata endelea kuwa vizuri.
 
hongera sana hakika ni zawadi.
Unakuta mtu hana hata ndugu anajifunia akija hapa utasikia kataa ndoa
 
Ewala mtunze mdogo wako ni damu Yako lakini si ajabu mke wako akakwambia simtaki mdogo wako wakati huo unatelezeshwa
 
Kama uko vizuri si uzae wako na ummoe jina la mama yako. Huyo sister soon watu wakianza kumshika masikio ataanza madhalau.
 
Huo ni mouo mzuri mno,mtunze na kumuongoza vizuri hadi aolewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…