Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 16,388
- 51,970
Basi sawaTumezaliwa wengi mkuu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi sawaTumezaliwa wengi mkuu!
Yap ni kweli, kila mtu ana life path yake.Huwa nafananisha hii hali ni ile ya mmezaliwa watoto kadhaa katika familia halafu ni lazima Kuna mmoja miongoni mwenu anakuwa wa tofauti sana na wengine. Anaweza kuwa mlevi kupindukia, au mwizi sana, au mkorofi mno! au msumbufu haswaa!
Sijui ni kwanini lakini inatokea hivo. Hamuwezi kuwa sawa woote haiwezekani
Umesha jaribu kumwambia hata pole mkuu?!?Una uzungu mwingi sana bro. Mimi hata kumuambia dadaangu usiku mwema siwezi
Haiwezekani😅Umesha jaribu kumwambia hata pole mkuu?!?
hongera sana hakika ni zawadi.Moja ya zawadi bora nilizopata kwenye maisha yangu, ni mdogo wangu wa mwisho. Hadithi muhimu ni kwamba alikuja katika wakati ambao hatukutarajia.
Mama yangu ni mtu ambaye anapenda watoto sana, ila Moja ya maombi yake makubwa ili kuwa apate mtoto wa kike lakini kwa bahati nzuri au mbaya, hilo hali kuweza kutokea hadi miaka 10 baadae.
Kama wanae aliotulea, hiyo story ya mtoto wa kike tuliisikia sana, so unaweza imagine alipokuja ilikuwa ni furaha kubwa sana. Jambo muhimu ni kwamba mimi na yeye tuna chemistry muhimu, I won't lie (tangu akiwa na miaka 2, amekuwa rafiki yangu bora Sana.)
Sometimes namwita mama, dada, toto. Kutokana na majukumu ya ki-jobless pro max, Mimi na yeye kuonana ni Mara chache Sana kwa Mwaka. Huwa nina zungumza nae Mara kwa mara, mnunulia zawadi, cheza nae. Best moment of mine.
Nikaamua likizo hii niitumie na familia, na kusema ukweli ni sehemu hii ni kumbukumbu bora Sana. Japo ni kaka yake, ila najivunia kusema yeye ni zawadi bora Sana kwenye maisha yangu. Nitaitunza, ijali na kuilinda katika maisha yangu Kikubwa heri na uzima utawale.
I mean no malice to anybody.
View attachment 3196722
View attachment 3196724
Dah acha miyeyusho comrade 😆, maisha mafupi try it .Haiwezekani😅
Pamoja Sana mkuuhongera sana hakika ni zawadi.
Unakuta mtu hana hata ndugu anajifunia akija hapa utasikia kataa ndoa
Naam, zawadi bora kwenye maisha yangu.Hongera sana mtunze sana huyo
Ewala mtunze mdogo wako ni damu Yako lakini si ajabu mke wako akakwambia simtaki mdogo wako wakati huo unatelezeshwaMoja ya zawadi bora nilizopata kwenye maisha yangu, ni mdogo wangu wa mwisho. Hadithi muhimu ni kwamba alikuja katika wakati ambao hatukutarajia.
Mama yangu ni mtu ambaye anapenda watoto sana, ila Moja ya maombi yake makubwa ili kuwa apate mtoto wa kike lakini kwa bahati nzuri au mbaya, hilo hali kuweza kutokea hadi miaka 10 baadae.
Kama wanae aliotulea, hiyo story ya mtoto wa kike tuliisikia sana, so unaweza imagine alipokuja ilikuwa ni furaha kubwa sana. Jambo muhimu ni kwamba mimi na yeye tuna chemistry muhimu, I won't lie (tangu akiwa na miaka 2, amekuwa rafiki yangu bora Sana.)
Sometimes namwita mama, dada, toto. Kutokana na majukumu ya ki-jobless pro max, Mimi na yeye kuonana ni Mara chache Sana kwa Mwaka. Huwa nina zungumza nae Mara kwa mara, mnunulia zawadi, cheza nae. Best moment of mine.
Nikaamua likizo hii niitumie na familia, na kusema ukweli ni sehemu hii ni kumbukumbu bora Sana. Japo ni kaka yake, ila najivunia kusema yeye ni zawadi bora Sana kwenye maisha yangu. Nitaitunza, ijali na kuilinda katika maisha yangu Kikubwa heri na uzima utawale.
I mean no malice to anybody.
View attachment 3196722
View attachment 3196724
Mkuu mke si naoa mwingine,bila ndugu mwingine napata wapi 😂Ewala mtunze mdogo wako ni damu Yako lakini si ajabu mke wako akakwambia simtaki mdogo wako wakati huo unatelezeshwa
Ndo kwanza ana miaka 9 mkuu, kingine nita Jitahidi kumfundisha nidhamu boraKama uko vizuri si uzae wako na ummoe jina la mama yako. Huyo sister soon watu wakianza kumshika masikio ataanza madhalau.
Bruh kwa hiyo nakuwa Rest in Heavendogo forget about rip, you will be rih😆
Falaa, rest in hell 😂 😂Bruh kwa hiyo nakuwa Rest in Heaven
Huo ni mouo mzuri mno,mtunze na kumuongoza vizuri hadi aoleweMoja ya zawadi bora nilizopata kwenye maisha yangu, ni mdogo wangu wa mwisho. Hadithi muhimu ni kwamba alikuja katika wakati ambao hatukutarajia.
Mama yangu ni mtu ambaye anapenda watoto sana, ila Moja ya maombi yake makubwa ili kuwa apate mtoto wa kike lakini kwa bahati nzuri au mbaya, hilo hali kuweza kutokea hadi miaka 10 baadae.
Kama wanae aliotulea, hiyo story ya mtoto wa kike tuliisikia sana, so unaweza imagine alipokuja ilikuwa ni furaha kubwa sana. Jambo muhimu ni kwamba mimi na yeye tuna chemistry muhimu, I won't lie (tangu akiwa na miaka 2, amekuwa rafiki yangu bora Sana.)
Sometimes namwita mama, dada, toto. Kutokana na majukumu ya ki-jobless pro max, Mimi na yeye kuonana ni Mara chache Sana kwa Mwaka. Huwa nina zungumza nae Mara kwa mara, mnunulia zawadi, cheza nae. Best moment of mine.
Nikaamua likizo hii niitumie na familia, na kusema ukweli ni sehemu hii ni kumbukumbu bora Sana. Japo ni kaka yake, ila najivunia kusema yeye ni zawadi bora Sana kwenye maisha yangu. Nitaitunza, ijali na kuilinda katika maisha yangu Kikubwa heri na uzima utawale.
I mean no malice to anybody.
View attachment 3196722
View attachment 3196724
sio wa kishua, ila tuna ishi vizuri.