No, I won't do that man!Hahaha, sija fukua kwa makusudi. Nili kuwa nasoma kitu.
Ndo nika ona hiyo sentence, but make sure you talk about it.
Fanya hata kesho umpigie, mwambie nakupa hi bro. Mwaka mpya huu.
My bad, but I respect that.No, I won't do that man!
naam, I mean no malice to nobodyNo malice to no body
Hill neno linamaanisha nn?naam, I mean no malice to nobody
absence of hate or intention of hurting someone .Hill neno linamaanisha nn?
Kuna kipindi ulikuwa upo vzr Sana Ila ulikuja kuzinguaabsence of hate or intention of hurting someone .
Lili kuja kutokana na situation fulani ya kimaisha.
nili potea??, preach negativity lini??.Kuna kipindi ulikuwa upo vzr Sana Ila ulikuja kuzingua
U used to preach negativity , na uliposhambuliwa ukapotea jukwaani
nili potea??, preach negativity lini??.
Sina Cha kuji funza mkuu, na Kama uli taka kujua nili kuwa wapi unge sema tu.Karibu tena ujifunze hekima na heshima.
Hiyo kauli mbiu yako jjtahidi uiishi Kwa vitendo if you wanna be a really version of you .
wanawake wamejaa tele tafuta wako umpige mimba upate mtoto wako,acha kuentartain bao la baba yako,fala mmoja weweMoja ya zawadi bora nilizopata kwenye maisha yangu, ni mdogo wangu wa mwisho. Hadithi muhimu ni kwamba alikuja katika wakati ambao hatukutarajia.
Mama yangu ni mtu ambaye anapenda watoto sana, ila Moja ya maombi yake makubwa ili kuwa apate mtoto wa kike lakini kwa bahati nzuri au mbaya, hilo hali kuweza kutokea hadi miaka 10 baadae.
Kama wanae aliotulea, hiyo story ya mtoto wa kike tuliisikia sana, so unaweza imagine alipokuja ilikuwa ni furaha kubwa sana. Jambo muhimu ni kwamba mimi na yeye tuna chemistry muhimu, I won't lie (tangu akiwa na miaka 2, amekuwa rafiki yangu bora Sana.)
Sometimes namwita mama, dada, toto. Kutokana na majukumu ya ki-jobless pro max, Mimi na yeye kuonana ni Mara chache Sana kwa Mwaka. Huwa nina zungumza nae Mara kwa mara, mnunulia zawadi, cheza nae. Best moment of mine.
Nikaamua likizo hii niitumie na familia, na kusema ukweli ni sehemu hii ni kumbukumbu bora Sana. Japo ni kaka yake, ila najivunia kusema yeye ni zawadi bora Sana kwenye maisha yangu. Nitaitunza, ijali na kuilinda katika maisha yangu Kikubwa heri na uzima utawale.
I mean no malice to anybody.
View attachment 3196722
View attachment 3196724
sorry sister, usi kasirike Sana. Sina maana mbaya.wanawake wamejaa tele tafuta wako umpige mimba upate mtoto wako,acha kuentartain bao la baba yako,fala mmoja wewe
Mdg wako atalia sana๐๐mi Kikubwa niku sambaratishe Kama vumbi๐๐
Rih๐๐Mdg wako atalia sana๐๐
Samahani naomba. Kukuuliza, mjomba ako ambae ni kaka wa mama yako (dada ake).Soon utaanza kumtia huyo.yetu macho
Ni kweli mkuu, toka yupo mdogo ni mwana Sana. Bado niko holiday.It happens mkuu, hata mimi mdogo wangu wa mwisho wa kike kuna bond flani hivi irresistible.
dogo forget about rip, you will be rih๐Mdg wako atalia sana๐๐
Yeah ni kweliHuwa nafananisha hii hali ni ile ya mmezaliwa watoto kadhaa katika familia halafu ni lazima Kuna mmoja miongoni mwenu anakuwa wa tofauti sana na wengine. Anaweza kuwa mlevi kupindukia, au mwizi sana, au mkorofi mno! au msumbufu haswaa!
Sijui ni kwanini lakini inatokea hivo. Hamuwezi kuwa sawa woote haiwezekani