Anatumia hisia wala siyo kiroho!dmkali ongea kitu mkuuuu π
Then option iwe chama gani?Sijawahi kupiga ramli wala si mtabiri ila kwa yanayoendelea nchini na kwa manung'uniko ya wananchi kila mahala ,si ajabu hiki chama kiko mbioni kuvifuata vyama vyenzake vya ukombozi huko mahala pema.
Watanzania wa sasa wamebadirika mno, nadhani zamani kidogo ilikuwa tofauti ila sasa kila mmoja anatambua nini anataka kuona kutoka kwa watawala.
Hata kama hakuna chama kinacho promise future yetu ila kwenye mijadara so many people are calling to take back control of their country, hii imenishtua kwani issue si chama kipi kituongoze na mbaya zaidi bunge linaonekana kusimama na wezi nobody to turn to. Kwa mantiki hiyo hii inaweza kuwa mwanzo wa safari ya CCM kuvifuata vile vyama vyenzake maana kama ni magamba yashavuliwa bada sasa kijichune nyama.
Kuengua wagombea wengine, kukimbia na masanduku ya kura na kuwafukuza mawakala wa vyama vya upinzani vituoni ndio sayansi.Labda uwe unaota au ni utani lakini CCM ipo sana na itakuwepo sana. Uzuri wa CCM haifanyi siasa za matukio au za kupita kama upepo ila ni siasa za kisayansi mno
Its clear wananchi hawaoni option kama haujanisoma demand yao kwenye mijadara ni ku take back control of the country by the citizen regardless kuna wa ku take over ama la .hii ndo iloniogopesha kwani wanaonyesha ni kwa jinsi gani watu wamechoka.Then option iwe chama gani?
ShUkrani mkuuuAnatumia hisia wala siyo kiroho!
Katika ulimwengu wa roho chama tawala hakuna mpinzani wa kukiondoa madarakani awamu hii na awamu ijayo! Labda awamu ya 2035 ambako wataibuka tena wapinzani wenye nguvu mpya!
Katiba mpya itapatikana 2028 ambayo itaanza kutumika rasmi 2030!
Kwa sasa bado sana
Nani awe kwenye Uongozi waki take control?Its clear wananchi hawaoni option kama haujanisoma demand yao kwenye mijadara ni ku take back control of the country by the citizen regardless kuna wa ku take over ama la .hii ndo iloniogopesha kwani wanaonyesha ni kwa jinsi gani watu wamechoka.
Atafanya uharibifu mkubwa sana ambao utahitaji marekebisho makubwa.Mpaka amalize muda wake kwa kutulazimisha nchi itakuwa ICU.
Tuna utamaduni mbaya wa kuoneana aibu which it's typical unafiki tu.Atafanya uharibifu mkubwa sana ambao utahitaji marekebisho makubwa.
Unajua, hivi ndivyo nchi hupoteza muda mwingi kwa kukosa uongozi wa kuisukuma mbele kwenye mageuzi. Mifano ya nchi za namna hiyo zipo nyingi, kama Haiti.
Tutabaki tunazungukazunguka tu bila kwenda mbele, huku nchi nyingine zikipiga hatua muhimu kwenda mbele.
Uongozi wa aina hii ya Samia, Tanzania inapoteza muda muhimu sana katika hatua za maendeleo yake.
Trust me kama tutapata chama kipya mambo yatabadilika kwa kiasi kikubwa.Kubadili Chama Sijawahi kuamini kuwa Ni suluhu ya matatizo yetu Kama katiba itabaki vilevile
Chama chochote kikiingia madarakani wanasiasa walewale wa CCM ndio wataofurika kujenga hiko Chama!
Roho za kifisadi Tanzania ni zilezile!
Mafisadi tunaolianao kwenye idara mbalimbali si wote ccm!
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kwa mfano halisi:Tuna utamaduni mbaya wa kuoneana aibu which it's typical unafiki tu.
Mtu anakosea badala ya kumwambia ukweli kwa manufaa yetu watu wanaishia kusifia na kujipendekeza.
Hili litatugharimu mno.
Yaani CCM ife kupitia hawa Watanzania wenye akili za mende???Sijawahi kupiga ramli wala si mtabiri ila kwa yanayoendelea nchini na kwa manung'uniko ya wananchi kila mahala ,si ajabu hiki chama kiko mbioni kuvifuata vyama vyenzake vya ukombozi huko mahala pema.
Watanzania wa sasa wamebadirika mno, nadhani zamani kidogo ilikuwa tofauti ila sasa kila mmoja anatambua nini anataka kuona kutoka kwa watawala.
Hata kama hakuna chama kinacho promise future yetu ila kwenye mijadara so many people are calling to take back control of their country, hii imenishtua kwani issue si chama kipi kituongoze na mbaya zaidi bunge linaonekana kusimama na wezi nobody to turn to. Kwa mantiki hiyo hii inaweza kuwa mwanzo wa safari ya CCM kuvifuata vile vyama vyenzake maana kama ni magamba yashavuliwa bada sasa kijichune nyama.
Dah...Raisi hayuko serious na Mambo ya nchi ameacha wizi uendelee,amejenga uswahiba na wezi ,raslimali za nchi zinatapanywa ovyo,anasifiwa na wezi anadanganyika,majizi yaliyotumbuliwa yeye ndo kayasogeza.