Nakitabiria kifo Chama cha Mapinduzi

Nakitabiria kifo Chama cha Mapinduzi

dmkali ongea kitu mkuuuu 😁
Anatumia hisia wala siyo kiroho!
Katika ulimwengu wa roho chama tawala hakuna mpinzani wa kukiondoa madarakani awamu hii na awamu ijayo! Labda awamu ya 2035 ambako wataibuka tena wapinzani wenye nguvu mpya!
Katiba mpya itapatikana 2028 ambayo itaanza kutumika rasmi 2030!
Kwa sasa bado sana
 
Sijawahi kupiga ramli wala si mtabiri ila kwa yanayoendelea nchini na kwa manung'uniko ya wananchi kila mahala ,si ajabu hiki chama kiko mbioni kuvifuata vyama vyenzake vya ukombozi huko mahala pema.

Watanzania wa sasa wamebadirika mno, nadhani zamani kidogo ilikuwa tofauti ila sasa kila mmoja anatambua nini anataka kuona kutoka kwa watawala.

Hata kama hakuna chama kinacho promise future yetu ila kwenye mijadara so many people are calling to take back control of their country, hii imenishtua kwani issue si chama kipi kituongoze na mbaya zaidi bunge linaonekana kusimama na wezi nobody to turn to. Kwa mantiki hiyo hii inaweza kuwa mwanzo wa safari ya CCM kuvifuata vile vyama vyenzake maana kama ni magamba yashavuliwa bada sasa kijichune nyama.
Then option iwe chama gani?
 
Labda uwe unaota au ni utani lakini CCM ipo sana na itakuwepo sana. Uzuri wa CCM haifanyi siasa za matukio au za kupita kama upepo ila ni siasa za kisayansi mno
Kuengua wagombea wengine, kukimbia na masanduku ya kura na kuwafukuza mawakala wa vyama vya upinzani vituoni ndio sayansi.

That's science ccm style. 😛 😛😛
 
Then option iwe chama gani?
Its clear wananchi hawaoni option kama haujanisoma demand yao kwenye mijadara ni ku take back control of the country by the citizen regardless kuna wa ku take over ama la .hii ndo iloniogopesha kwani wanaonyesha ni kwa jinsi gani watu wamechoka.
 
Sh
Anatumia hisia wala siyo kiroho!
Katika ulimwengu wa roho chama tawala hakuna mpinzani wa kukiondoa madarakani awamu hii na awamu ijayo! Labda awamu ya 2035 ambako wataibuka tena wapinzani wenye nguvu mpya!
Katiba mpya itapatikana 2028 ambayo itaanza kutumika rasmi 2030!
Kwa sasa bado sana
ShUkrani mkuuu
 
Its clear wananchi hawaoni option kama haujanisoma demand yao kwenye mijadara ni ku take back control of the country by the citizen regardless kuna wa ku take over ama la .hii ndo iloniogopesha kwani wanaonyesha ni kwa jinsi gani watu wamechoka.
Nani awe kwenye Uongozi waki take control?
 
Raisi hayuko serious na Mambo ya nchi ameacha wizi uendelee,amejenga uswahiba na wezi ,raslimali za nchi zinatapanywa ovyo,anasifiwa na wezi anadanganyika,majizi yaliyotumbuliwa yeye ndo kayasogeza.
 
Tatizo ni vyombo vyetu vya Ulinzi na Usalama; huwa vinahujumu jitihada za wananchi kufanya mabadiliko ya uongozi hapa nchini.
 
Mpaka amalize muda wake kwa kutulazimisha nchi itakuwa ICU.
Atafanya uharibifu mkubwa sana ambao utahitaji marekebisho makubwa.
Unajua, hivi ndivyo nchi hupoteza muda mwingi kwa kukosa uongozi wa kuisukuma mbele kwenye mageuzi. Mifano ya nchi za namna hiyo zipo nyingi, kama Haiti.
Tutabaki tunazungukazunguka tu bila kwenda mbele, huku nchi nyingine zikipiga hatua muhimu kwenda mbele.

Uongozi wa aina hii ya Samia, Tanzania inapoteza muda muhimu sana katika hatua za maendeleo yake.
 
Kuondokewa na Wakoloni weusi nitakunywa Konyagi siku nzima.
 
Kubadili Chama Sijawahi kuamini kuwa Ni suluhu ya matatizo yetu Kama katiba itabaki vilevile
Chama chochote kikiingia madarakani wanasiasa walewale wa CCM ndio wataofurika kujenga hiko Chama!
Roho za kifisadi Tanzania ni zilezile!
Mafisadi tunaolianao kwenye idara mbalimbali si wote ccm!

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Atafanya uharibifu mkubwa sana ambao utahitaji marekebisho makubwa.
Unajua, hivi ndivyo nchi hupoteza muda mwingi kwa kukosa uongozi wa kuisukuma mbele kwenye mageuzi. Mifano ya nchi za namna hiyo zipo nyingi, kama Haiti.
Tutabaki tunazungukazunguka tu bila kwenda mbele, huku nchi nyingine zikipiga hatua muhimu kwenda mbele.

Uongozi wa aina hii ya Samia, Tanzania inapoteza muda muhimu sana katika hatua za maendeleo yake.
Tuna utamaduni mbaya wa kuoneana aibu which it's typical unafiki tu.

Mtu anakosea badala ya kumwambia ukweli kwa manufaa yetu watu wanaishia kusifia na kujipendekeza.

Hili litatugharimu mno.
 
Kubadili Chama Sijawahi kuamini kuwa Ni suluhu ya matatizo yetu Kama katiba itabaki vilevile
Chama chochote kikiingia madarakani wanasiasa walewale wa CCM ndio wataofurika kujenga hiko Chama!
Roho za kifisadi Tanzania ni zilezile!
Mafisadi tunaolianao kwenye idara mbalimbali si wote ccm!

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Trust me kama tutapata chama kipya mambo yatabadilika kwa kiasi kikubwa.
 
Tuna utamaduni mbaya wa kuoneana aibu which it's typical unafiki tu.

Mtu anakosea badala ya kumwambia ukweli kwa manufaa yetu watu wanaishia kusifia na kujipendekeza.

Hili litatugharimu mno.
Kwa mfano halisi:

Mabango ya kumsifia mtu mmoja kila sehemu za mji wakati huu ni ya kazi gani; huku mtu mwenyewe anachokifanya hakionekani?

Hiyo pesa ya kutengeneza mabango haina kazi muhimu inayoweza kuifanya?
 
Kitakufaje Hali makanali wa jeshi ndiyo wakuu wa mikoa na wilaya.
 
Sijawahi kupiga ramli wala si mtabiri ila kwa yanayoendelea nchini na kwa manung'uniko ya wananchi kila mahala ,si ajabu hiki chama kiko mbioni kuvifuata vyama vyenzake vya ukombozi huko mahala pema.

Watanzania wa sasa wamebadirika mno, nadhani zamani kidogo ilikuwa tofauti ila sasa kila mmoja anatambua nini anataka kuona kutoka kwa watawala.

Hata kama hakuna chama kinacho promise future yetu ila kwenye mijadara so many people are calling to take back control of their country, hii imenishtua kwani issue si chama kipi kituongoze na mbaya zaidi bunge linaonekana kusimama na wezi nobody to turn to. Kwa mantiki hiyo hii inaweza kuwa mwanzo wa safari ya CCM kuvifuata vile vyama vyenzake maana kama ni magamba yashavuliwa bada sasa kijichune nyama.
Yaani CCM ife kupitia hawa Watanzania wenye akili za mende???

N
E
V
E V E R
R
 
Hakuna marefu yasiyo na Ncha.
Bado kitambo kifupi Mungu atafanya mwujiza mkuu katika Nchi yetu.

Wakati huo Watanzania wote wa makabila, dini, itikadi na jinsi zote wataongea lugha moja kwa ujasiri usio wa kawaida.

Watawachukulia hatua kali sana viongozi wote wazembe wanaosababisha Nchi yetu kubaki maskini.

Hiyo itaitwa siku ya ukombozi mkuu na itaadhimishwa miaka yote.

Baada ya hapo hapatatokea tena fisadi atakayekwapua fedha za Watanzania halafu akaendelea kuonekana mitaani kama ilivyo sasa.

Wakati huo, hakuna atakayeogopwa bila kujali cheo alicho nacho.

Kinachosubiriwa sasa ni filimbi tu kutoka kwa Mungu mkuu.
 
Raisi hayuko serious na Mambo ya nchi ameacha wizi uendelee,amejenga uswahiba na wezi ,raslimali za nchi zinatapanywa ovyo,anasifiwa na wezi anadanganyika,majizi yaliyotumbuliwa yeye ndo kayasogeza.
Dah...

Ngoja kwanza...
 
Back
Top Bottom