Nakosa usingizi kwa kuwaza hili jambo, Wazoefu naomba ushauri wenu

Nakosa usingizi kwa kuwaza hili jambo, Wazoefu naomba ushauri wenu

Hivi viumbe wa hivi bado mpo? mbinguni moja kwa moja,,barikiwa sana
Mimi siwezi kufanya hivyo hata siku moja bora nikae kwa kujikaza hata mwaka ila kusaliti ndoa big NO

Tupo bado ila tuko kwenye extinction [emoji1]
 
Yaaani alidhamiria kabisa uo usaliti lakn kwakua kaona mimba iyo ndio anajifanya kuumiza kichwa jaman wanaume mlioooa SI mtulie na wake zenu mnazidi kuleta migogoro apa Duniani wanawake sikuiz wanapigana mpk wanauana kw sababu ya kugombea mume mnadhambi sana wanaume baadhi yenu asilimia kubwa tabia chafu haswa walio oa ndio Malaya kabisa [emoji30][emoji30]
Jamani mimi sio Malaya
Na mwanaume huwa hapendi bali anatamani
Mimi ndio maana nikaoa wawili hii inanisaidia sana kuwa na msimamo

Sina mambo ya kutamani tena na nyie pia mruhusu waume waoe mpaka 4 maana hii Dunia ya kupita mnagomabnia mwanaume wakati inabaki kuwa yake
 
Mimi siwezi kufanya hivyo hata siku moja bora nikae kwa kujikaza hata mwaka ila kusaliti ndoa big NO

Tupo bado ila tuko kwenye extinction [emoji1]
Aisee mke wako ana bahati Sana....maana siku hizi watu wanajivunia kuchakata nje ya ndoa
 
Aisee mke wako ana bahati Sana....maana siku hizi watu wanajivunia kuchakata nje ya ndoa
Pole yao kwa kweli
Hii ni kwa sababu wengi wanakimbia kwao na kuishi maisha ya uongo uongo

Maadili mazuri yanachangia sana ukifunzwa toka udogoni
 
Mkuu,Kwanza umeandikisha mali zako kwa jina la Mama yako au jina lako?Pili Mimi sioni tatizo wewe kuwa na mtoto nje as long as haingiliani na upendo na hisia zako kwa familia yako.Wewe cha kufanya ni kutuli uusome mchezo na kuangalia options zako hasa kuhusu huyu bi mfinland na mwanae.Ukishaamua kwamba wananafasi gani katika maiasha yako basi mengine yatakaa sawa ila kama ukiendelea kuwa guilt na hofua utaharibu na wewe utakosa yote.
 
Ndg, hauna vitu vingine kichwani vya kukunyima usingizi?! Be a man.
 
Tatzo la jf unaweza kuumiza kichwa kumshauri mtu kumbe ni mpuuzi tu mmoja kavimbiwa aliko huko anaona ngoja apime akili za watu tena usikute hta huko Canada kwenyewe kaolewa yeye
 
Yaaani alidhamiria kabisa uo usaliti lakn kwakua kaona mimba iyo ndio anajifanya kuumiza kichwa jaman wanaume mlioooa SI mtulie na wake zenu mnazidi kuleta migogoro apa Duniani wanawake sikuiz wanapigana mpk wanauana kw sababu ya kugombea mume mnadhambi sana wanaume baadhi yenu asilimia kubwa tabia chafu haswa walio oa ndio Malaya kabisa [emoji30][emoji30]
mkuu "malikia balqiis" hii nchi niliyopo ina baridi sana nisingeweza kuvumilia kiasi hicho ni vile tu sasa yashatokea
 
Mkuu,Kwanza umeandikisha mali zako kwa jina la Mama yako au jina lako?Pili Mimi sioni tatizo wewe kuwa na mtoto nje as long as haingiliani na upendo na hisia zako kwa familia yako.Wewe cha kufanya ni kutuli uusome mchezo na kuangalia options zako hasa kuhusu huyu bi mfinland na mwanae.Ukishaamua kwamba wananafasi gani katika maiasha yako basi mengine yatakaa sawa ila kama ukiendelea kuwa guilt na hofua utaharibu na wewe utakosa yote.
Asante sana mkuu kwa ushauri mzuri.. asante
 
Jamani mimi sio Malaya
Na mwanaume huwa hapendi bali anatamani
Mimi ndio maana nikaoa wawili hii inanisaidia sana kuwa na msimamo

Sina mambo ya kutamani tena na nyie pia mruhusu waume waoe mpaka 4 maana hii Dunia ya kupita mnagomabnia mwanaume wakati inabaki kuwa yake
Mi sina tatzo na uke wenza nakubali mbona wanawake wengine ndo awapendi kw upande wangu napenda maana Ata nikikataa mwanaume akiamua lake kaamua anaoa TU kwaio ao wanao kataa ukewenza ndio tatzo lipo Kwao pia mie sijawai kugombana na mwanamke mwenzangu kisa mboo hapata na sitokuja kugombania mboo Mimi
 
Jamani wanaume wenzangu mimi mcanada nimeoa tayari mwanamke wa kichaga tuna miaka 6 kwenye ndoa na tumefanikiwa kupata watoto wawili katika harakati zangu za maisha nikafanikiwa kuja canada na baadae nikamvuta mke wangu na mtoto wetu wa kwanza wakafika canada na baada ya miaka miwili baadae tukapata mtoto wa pili ambaye amejifungua kule kule canada sasa kitengo ambacho nipo pale kazini canada kimenifanya niwe mtu wa kusafiri safiri sana nchi tofauti..

Katika rotation zangu za kikazi miezi hii 6 nitakuwa finland na huu mwezi unaenda wa tatu ...sasa katika harakati za kazi huku na kule nimejikuta tu nimeingia mahusiano na mdada mfinland mmoja na akatokea kunielewa kweli kweli na kuniamini mno ila kwasababu wazungu huwa wanapenda transparency nikajiwekea ulinzi kwanza kwanza kwa kumwambia ukweli kuwa mimi nishaoa na familia yangu ipo Canada ila cha kushangaza alichonijibu ni kuwa hana tatizo juu ya hilo anachohitaji tu mimi kumpa penzi as friend kuhusu ndoa yangu hana tatizo nayo ataheshimu na hataiingilia kwa chochote.

Basi nikaona isiwe tabu wikiendi hii iliyopita bi dada huyu alikuja kwenye nyumba niliyopangiwa na ofisi tukafanya ya kufanya wee kama ilivyo wikiendi zingine ila tulipomaliza akanimbia kuwa pamoja na ujio wake ila pia amekuja kunipa taarifa kuwa tayari ana ujauzito wa mwezi mmoja na hayupo tayari kutoa huo ujauzito na kuhusu matunzo sijui takataka zingine zote zitakuwa juu yake mwenyewe anachohitaji tu kutoka kwangu ni mimi kuwa karibu naye mpaka atakapojifungua.

Sasa yaani toka amenipa hiyo taarifa yaani usingizi sipati kabisa yaani kwakuwa si kitu nilichotegemea kumsaliti mke wangu mpaka kuzaa nje ya ndoa yaani sasa naona hili suala linanitafuna taratibu nasikia hatia kubwa mno maana mke wangu mchaga yule ananiheshimu na kuniamini mno sasa sijui akigundua hii issue sijui itakuwaje.

Sitamani kuingiiza ndoa yangu matatani kwasababu ya hili suala maana litaniharibia mambo yangu mengi mno nyuma ya pazia wazoefu wa haya mambo naomba ushauri wenu nifanyeje ili hili suala nilizike chichini kwa chini yaani mke wangu asijue wala kunusa harufu yoyote kuwa tayari kuna mtoto nje maana mke wangu ni mchunguzi mchunguzi sana.

Nishaharibu mwanaume mwenzenu.
Kikubwa cheza kama pele, kote kote inabidi uweze kubalance upendo, ni issue ndogo sana, sababu mchepuko kakuahidi kujimudu, ila upendo ataitaji zaidi ya kila kitu
 
Back
Top Bottom