Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ASIACHE MBACHAO KWA MSALA UPITAO.AMTOE MIMBA AU AIACHE MIMBA NA AKAE KIMYAAA.Mambo ya wazungu hayo ya open marriage 🙏kula chuma mdau umeulaaa🤣🤣mweleze mkeo unayemfuga,akizingua Piga chini endelea na mfinland ila usitelekeze watoto.
mkuu its too complicated coz nikitoka hapa finland naelekea canada kama mwezi mmoja then naenda Spain kwa miezi sita mingine naheshimu hiyo mimba kwasababu ya huyo kiumbe aliye tumboni mwake ila sidhani kama tutakuwa karibu tena though ana uwezo wa kunifuata popote labda nikimbilie Tanzania nikachijimbie Mwanza ndani ndani huko kitu ambacho hakiwezekani kiuhalisia..
shukrani sana kakamkuu kaza roho
ushauri wangu we endelea kulea hiyo mimba ya mzungu na kuhusu kuwa atailea mwenyewe we usiwe tayari kwa kitu kama hicho kwani kuwa karibu na mtoto halafu hausapoti chochote katika ukuaji wake haileti maana nzuri kama baba wa mtoto,,ongea na mpange mikakati ya uleaji wa hiyo mimba na ukuaji wa mtoto kama akizaliwa cha msingi uplay kama baba kwa huyo mtoto
na kuhusu mkeo sioni haja ya kumwambia sahivi kwani ukifanya hivo ni wazi kabisa ndoa yako unaitumbukiza hatiani kwa mikono yako mwenyewe,maana umesema bado unampenda na kumuheshimu mke wako so kufanya hivo pia utapunguza uaminifu kwa mkeo/anaweza akaamua nayeye kulipa kuwa na mahusiano mengine maana we mwenyewe umesema ni mtu wa kusafiri kila wakati,kiufupi ndoa yako inahatari ya kutokea mengi kama ukiamua kuweka mambo yote wazi kwa sahivi,Uache muda uwe muamuzi sahihi katika hili
nenda umkalishe chini mfinland umweleze vile ambavyo unataka iwe katika hili
Yaaani alidhamiria kabisa uo usaliti lakn kwakua kaona mimba iyo ndio anajifanya kuumiza kichwa jaman wanaume mlioooa SI mtulie na wake zenu mnazidi kuleta migogoro apa Duniani wanawake sikuiz wanapigana mpk wanauana kw sababu ya kugombea mume mnadhambi sana wanaume baadhi yenu asilimia kubwa tabia chafu haswa walio oa ndio Malaya kabisa [emoji30][emoji30]yaani kwakuwa si kitu nilichotegemea kumsaliti mke wangu mpaka kuzaa nje ya ndoa
Haya maneno yako yana ukakasi sana
Ulipoanza mahusiano mapya hapo ulikuwa tayari umemsaliti
Ulidhamiria na hakuna aliekulazimisha bali ni matamanio yako tu
Umelikoroga na utaumbuka haswa maana wazungu sio wanafiki na atamueleza mke wako ukijifanya mjuaji
Sipendi usaliti kabisa naona kama umemchoma kisu cha mgongo mke wako
Nakushauri utumie zilebinu za kutongoza na kuchit kutatua shida hii mkuunipe mwanga nifanyeje hili lisiniaribie ndoa kaka mkubwa dah yaani nimejikuta nipo tu mitandaoni humu jamii forum mara instagram mara facebook akili yangu naona inaweweseka kuna kazi natakiwa kesho kwnda kuifanya ila naona jambo litanipunguzia ufanisi
Kama ulijua yote ayo kwann Sasa ulimsaliti mkeo??? Acha tamaaa tamaa mbaya sana kijanaasante mkuu hili la ndoa ndio nalopigania zaidi lisiende kubaya.. huku kwenye ndoa kuna hazina zangu nyingi ikivurugika inaweza kunisambaratisha vibaya sana..
MkuuJamani wanaume wenzangu mimi mcanada nimeoa tayari mwanamke wa kichaga tuna miaka 6 kwenye ndoa na tumefanikiwa kupata watoto wawili katika harakati zangu za maisha nikafanikiwa kuja canada na baadae nikamvuta mke wangu na mtoto wetu wa kwanza wakafika canada na baada ya miaka miwili baadae tukapata mtoto wa pili ambaye amejifungua kule kule canada sasa kitengo ambacho nipo pale kazini canada kimenifanya niwe mtu wa kusafiri safiri sana nchi tofauti..
Katika rotation zangu za kikazi miezi hii 6 nitakuwa finland na huu mwezi unaenda wa tatu ...sasa katika harakati za kazi huku na kule nimejikuta tu nimeingia mahusiano na mdada mfinland mmoja na akatokea kunielewa kweli kweli na kuniamini mno ila kwasababu wazungu huwa wanapenda transparency nikajiwekea ulinzi kwanza kwanza kwa kumwambia ukweli kuwa mimi nishaoa na familia yangu ipo Canada ila cha kushangaza alichonijibu ni kuwa hana tatizo juu ya hilo anachohitaji tu mimi kumpa penzi as friend kuhusu ndoa yangu hana tatizo nayo ataheshimu na hataiingilia kwa chochote.
Basi nikaona isiwe tabu wikiendi hii iliyopita bi dada huyu alikuja kwenye nyumba niliyopangiwa na ofisi tukafanya ya kufanya wee kama ilivyo wikiendi zingine ila tulipomaliza akanimbia kuwa pamoja na ujio wake ila pia amekuja kunipa taarifa kuwa tayari ana ujauzito wa mwezi mmoja na hayupo tayari kutoa huo ujauzito na kuhusu matunzo sijui takataka zingine zote zitakuwa juu yake mwenyewe anachohitaji tu kutoka kwangu ni mimi kuwa karibu naye mpaka atakapojifungua.
Sasa yaani toka amenipa hiyo taarifa yaani usingizi sipati kabisa yaani kwakuwa si kitu nilichotegemea kumsaliti mke wangu mpaka kuzaa nje ya ndoa yaani sasa naona hili suala linanitafuna taratibu nasikia hatia kubwa mno maana mke wangu mchaga yule ananiheshimu na kuniamini mno sasa sijui akigundua hii issue sijui itakuwaje.
Sitamani kuingiiza ndoa yangu matatani kwasababu ya hili suala maana litaniharibia mambo yangu mengi mno nyuma ya pazia wazoefu wa haya mambo naomba ushauri wenu nifanyeje ili hili suala nilizike chichini kwa chini yaani mke wangu asijue wala kunusa harufu yoyote kuwa tayari kuna mtoto nje maana mke wangu ni mchunguzi mchunguzi sana.
Nishaharibu mwanaume mwenzenu.
Huyo mfini wa wapi huyo ambaye anabeba Mumbai hovyohovyo, sijawahi ona. Nafanya nao kazi ni miaka 10 sasa. Unaishi Finland sehemu gani?Jamani wanaume wenzangu mimi mcanada nimeoa tayari mwanamke wa kichaga tuna miaka 6 kwenye ndoa na tumefanikiwa kupata watoto wawili katika harakati zangu za maisha nikafanikiwa kuja canada na baadae nikamvuta mke wangu na mtoto wetu wa kwanza wakafika canada na baada ya miaka miwili baadae tukapata mtoto wa pili ambaye amejifungua kule kule canada sasa kitengo ambacho nipo pale kazini canada kimenifanya niwe mtu wa kusafiri safiri sana nchi tofauti..
Katika rotation zangu za kikazi miezi hii 6 nitakuwa finland na huu mwezi unaenda wa tatu ...sasa katika harakati za kazi huku na kule nimejikuta tu nimeingia mahusiano na mdada mfinland mmoja na akatokea kunielewa kweli kweli na kuniamini mno ila kwasababu wazungu huwa wanapenda transparency nikajiwekea ulinzi kwanza kwanza kwa kumwambia ukweli kuwa mimi nishaoa na familia yangu ipo Canada ila cha kushangaza alichonijibu ni kuwa hana tatizo juu ya hilo anachohitaji tu mimi kumpa penzi as friend kuhusu ndoa yangu hana tatizo nayo ataheshimu na hataiingilia kwa chochote.
Basi nikaona isiwe tabu wikiendi hii iliyopita bi dada huyu alikuja kwenye nyumba niliyopangiwa na ofisi tukafanya ya kufanya wee kama ilivyo wikiendi zingine ila tulipomaliza akanimbia kuwa pamoja na ujio wake ila pia amekuja kunipa taarifa kuwa tayari ana ujauzito wa mwezi mmoja na hayupo tayari kutoa huo ujauzito na kuhusu matunzo sijui takataka zingine zote zitakuwa juu yake mwenyewe anachohitaji tu kutoka kwangu ni mimi kuwa karibu naye mpaka atakapojifungua.
Sasa yaani toka amenipa hiyo taarifa yaani usingizi sipati kabisa yaani kwakuwa si kitu nilichotegemea kumsaliti mke wangu mpaka kuzaa nje ya ndoa yaani sasa naona hili suala linanitafuna taratibu nasikia hatia kubwa mno maana mke wangu mchaga yule ananiheshimu na kuniamini mno sasa sijui akigundua hii issue sijui itakuwaje.
Sitamani kuingiiza ndoa yangu matatani kwasababu ya hili suala maana litaniharibia mambo yangu mengi mno nyuma ya pazia wazoefu wa haya mambo naomba ushauri wenu nifanyeje ili hili suala nilizike chichini kwa chini yaani mke wangu asijue wala kunusa harufu yoyote kuwa tayari kuna mtoto nje maana mke wangu ni mchunguzi mchunguzi sana.
Nishaharibu mwanaume mwenzenu.
Si bora hata wew kukuambia atajihudumia mwenyewe. Huku uswahilini ukimpa demu mimba hata kama alikua na kikazi anaacha ili umuhudumie.na ndio Maana wengi wanakataa mimba sababu ya najukumu.
We cha msingi mkeo asijue,kitanda hakizai haramu
Huo ujasiri wanao watoto wa Kike. Wanaume wengi wamepoteza ujasiri. Wanapata fursa nzuri wanajiuliza. Mwanamke angepata Don la Kizungu angemtosa jamaa mapema bila kujiuliza ndoa ndoa.Wacha uwoga bwana wewe sasa kwani wife akijua wats the worse that could happen? Pasu kwa pasu? Sii unaanza kutafuta na mfinish huyo mzeya usiogope wee mchana wife ukweli kuwa nimezalisha nje huko