Nakosa usingizi kwa kuwaza hili jambo, Wazoefu naomba ushauri wenu

Nakosa usingizi kwa kuwaza hili jambo, Wazoefu naomba ushauri wenu

Ipe rikizo familia yako irudi nyumbani kwanza,ili umalize la huyu demu wa Kifalme

ASEE MKUU UMEOGA MAJI YA BARAFU BILA KUPENDA......sisi tukisimamisha tu hatujutii hadi tumalize dhambi ya asili.
Kaka ushauri wako ni mzuri ila Mke wangu anafanya kazi kule canada sasa huu ushauri wako si unaweza kuniweka kwenye mtego wa kugundulika kuwa kwanini nawataka warudi Tanzania ilihali maisha tayari yapo kule canada.. nimekwama..
 
VAvavava yooooh 🗣️
Imekula kwako iyooo,
Huna budi kulibeba
 
Nataka nikuambia hivi...
Ogopa sana Mwanamke anayekuambia atalea Mimba mwenyewe na gharama zote za mtoto zitakuwa juu yake...Hasa mwenye kipato chake...

Ipo hivi;Kuna wanawake wengine wametafuta mtoto/watoto muda hawapati...wakipata ndiyo kama hivyo...hakuna unachoweza kumwambia akakuelewa....(Hii ilimtokea Mtu mmoja namfahamu,Nina Ushuhuda)

Na kitakachotokea baada ya Wewe kumuacha na hiyo mimba...Kama wewe ni Mzazi/Baba unayejali Damu yako kuna siku utamtafuta tu....Unachotakiwa kufanya Mwambie tu Mke wako....Hakuna namna...Ukinyamaza kuna siku atajua... Na akijua mwenyewe ni hatari zaidi kwako....

Nimemaliza.
Asante sana mkuu kwa ushauri.. hapa sasa ni kujivika moyo mkuu ila yataka moyo kweli kweli
 
Kaka ushauri wako ni mzuri ila Mke wangu anafanya kazi kule canada sasa huu ushauri wako si unaweza kuniweka kwenye mtego wa kugundulika kuwa kwanini nawataka warudi Tanzania ilihali maisha tayari yapo kule canada.. nimekwama..
Mpige jini la kumrudisha.


Tengeneza ndoa au haribu ndoa.

Ukimwambia ukweli upendo utapungua.
 
Mkuu wala usiwe na hofu hayo ndo matokeo ya kusuuza rungu comrade kipepe!
Huo ndo uanaumme sasa hata huyo mfinland kaku-appriciate...! Next time ukienda poland au norway au hata kule malta tafuta mbususu nyingine ichakate tia mimba ndindiii uchanganye damu na hao wazungu.

Kuhusu mkeo we kula buyu tu vunga na hata ikitokea akajua huko mbeleni mwambie jasiri haachi asili kwamba wewe ni ngozi nyeusi tu, utabaki kuwa ngozi nyeusi no matter what or where you are!

We ni rijali rusha vitu jombaaa. Acha uzungu uzungu. Kikubwa fanya more savings hela ndo kila kitu.
Yashatokea hayo usiyape time yakakuumiza kichwa kwani umeua?!!
 
Dah imenikuta hii.

Nilienda Zambia kikazi na nilikaa kule miaka 2.
nilipangiwa nyumba na kampuni maeneo ya lusaka mjini.Basi kama kawaida ukishakaa mwezi na zaidi mwili na upwiru huanza,

Nilikuwa nachakata mademu wa hapa na pale ila ilipofika miezi 6 kumaliza mkataba wangu wa miaka 2 nilipataga mwanamke mrembo sana umri wake ni 28 yrs old, mweupe, mrefu nywele mgogoni aiseeee(baba ake mbostwana na mama ake mzambia)

Yule dada nilikuwa namto.mb.a sana mpaka akahamia na kwangu kabisa, kila siku asubuhi na jioni naichakata vilivyo.

(Alikuwa hachoshi na ni fundi, ni wale wanawake ambao kila saa ukimuona ana tia hamasa)

Lakini alikuwa anatumia uzazi wa mpango kwa mujibu wake na sikuwa na wasi mana nilishamwambia kuwa nina familia na watoto wa2.

KUMBE BANAA!!!!

Alikuwa na yake kichwani, demu imefika miezi 2 nisepe eti nina mimba yako.Whaaaaat?????

Nikamwambia toa akagoma akasema atalea amependa mbegu yangu(mrefu vichwa vya kipanki,colored skin).

Hivi sasa bado wife hajui na anakaribia kujifungua mimi niko zangu Tanzania, Tunawasiliana kwa watsap ila kwa siri sana(nili-install GB watsap kwenye android kisha nkiwaweka secret chat na call ambayo bila password huoni kitu)

Ananiambia akijifungua anataka aje Tanzania kwa siri nione mtoto sikumjibu


Mpaka leo nawaza namna ntamwambia ukweli ila nasita naona huyu mke wangu anaweza akaniaacha mana anahasira sana.


NAJUTAAA NA NIMEPATA SOMO KUWA KONDOMU NI MUHIMU NA USIAMINI HAWA WANAWAKE.


Mrembo anataka kufanana na huyu kwa picha chini japo huyu kazidi uweupe.

IMG_5468.jpg
 
cha kushangaza alichonijibu ni kuwa hana tatizo juu ya hilo anachohitaji tu mimi kumpa penzi as friend
hata ivo haishangaz kweli....MTU anataka penz unazungumzia mke😳 ....angesema ndoa ulipaswa mjibu ivo
 
Hakukuwa na sababu ya kutaja kabila la mkeo.
Kauli hiyo imekaa kidharau dharau kama vile mkosaji.
Hilo la usaliti pambana nalo sina uzoefu kama huo.
Nakuitia mtaalamu wetu wa IT za usaliti akusaidie
DeepPond njoo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ushaanza kunisagia kunguni[emoji1]
 
Back
Top Bottom