Naku-challenge unitajie kiumbe kilicho na ubinafsi mkubwa zaidi ya mwanamke hapa duniani. 1 2, 3

Sema mpaka sasa kaka kwa jinsi nyuzi zako kila siku unavoandika nishakujua na hii ni ukwui.ka uwongo kataa hapa.kwa uthibitisho kama mm muongo ndgu zangu kina Vishu Mtata watasema hapa

Wewe ni...
-Ni jamaa wa kishua
-Baba nyumbani ana gari na unatumia
-Huna life ngumu kwanza hom una uwakika wa urithi
-Umesoma kiwango cha degree BAA au HR
-Ni mtoto wa mwisho au wa pili kutoka mwisho
-Baba ako ana shule ya primary chanika
-Mama ako ana kiwanja kigamboni na ana mpango wa kufungua supermarket
-Baba ako mdogo ana kampuni ya kusafirisha mizigo mtwara na kusini kwa ujumla

Simalizii vyote ila ndo hvo
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Aisee nimecheka sanaa hadi watoto wangu wamekimbia kutoka kuangalia COCOMELON Wamekuja kunishangaaa

AiseeeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…