Naku-challenge unitajie kiumbe kilicho na ubinafsi mkubwa zaidi ya mwanamke hapa duniani. 1 2, 3

Naku-challenge unitajie kiumbe kilicho na ubinafsi mkubwa zaidi ya mwanamke hapa duniani. 1 2, 3

Unatakiwa utafute psychologist haraka saana.....

Mama yangu sio mbinafsi....ameninyonyesha, akanihudumia vingi hasa kwa kujinyima,...na huo ni mfano mmoja sijamtaja mke wangu, mtoto wangu n.k

Swali linarudi kwako mama yako pia mbinafsi?
Ukikua utaelewa dogo

ANYWAY.

Sawa , nisindikize baada ya wewe kutoka .

FUATILIA HII NJIA
Screenshot_20250830-212114.png
 
Unatakiwa utafute psychologist haraka saana.....

Mama yangu sio mbinafsi....ameninyonyesha, akanihudumia vingi hasa kwa kujinyima,...na huo ni mfano mmoja sijamtaja mke wangu, mtoto wangu n.k

Swali linarudi kwako mama yako pia mbinafsi?
Hawa ndio wale watoto mama zao magwiji wa uchawi kijijini, wamewalea kikatili na wake zao wamewabambikia watoto sio wao, lazima wachizike wakiona wanawake 😹😹
 
Mi mwenyewe nashngaa!

Unasema watoto hawana baba,halafu unachukua vitu vya huyo baba unatumia na hao watoto huku ukiwaambia hawana baba kisa baba amegoma kuingia kwenye mfumo wako was kukunyenyekea Kwa Kila ujinga unaofanya Ili ujione superstar!!baba kafanya tofauti na matarajio Yako anakua adui yako Hadi unaambukiza uadui huo Kwa watoto!!!

Inashangaza!
 
Sema mpaka sasa kaka kwa jinsi nyuzi zako kila siku unavoandika nishakujua na hii ni ukwui.ka uwongo kataa hapa.kwa uthibitisho kama mm muongo ndgu zangu kina Vishu Mtata watasema hapa

Wewe ni...
-Ni jamaa wa kishua
-Baba nyumbani ana gari na unatumia
-Huna life ngumu kwanza hom una uwakika wa urithi
-Umesoma kiwango cha degree BAA au HR
-Ni mtoto wa mwisho au wa pili kutoka mwisho
-Baba ako ana shule ya primary chanika
-Mama ako ana kiwanja kigamboni na ana mpango wa kufungua supermarket
-Baba ako mdogo ana kampuni ya kusafirisha mizigo mtwara na kusini kwa ujumla

Simalizii vyote ila ndo hvo
Aisee

Poor Brain

🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻


😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Hawa ndio wale watoto mama zao magwiji wa uchawi kijijini, wamewalea kikatili na wake zao wamewabambikia watoto sio wao, lazima wachizike wakiona wanawake 😹😹
Ila wanatakiwa wabreak-chain sasa.

Kuna watu duniani kazi kueneza negativity....sasa mtu kweli anakuja na mada inayosema mwanamke mbinafsi....

What a fallacious thinking!!!! He's either mentally distorted or what you have just suggested.....
 
Wala usijichoshe, hakuna.

Ushawahi jiuliza kwanini wanawake wanachukiana na kusengenyana?

Ni kwa sababu mtu pekee wa kuweza kumuelewa mwanamke hapa duniani ni mwanamke mwenzake ndio maana wanachukiana.
Binadamu kwa ujumla hakuna upendo , ukitaka kuamini kuwa maskini uone watu wanavyokukwepa nawewe sip mwanamke. Kwa ufupi tu ukijichanganya hata ukiwa na pesa wahuni wanakuua , je wewe nimwanamke?
 
Tofauti na mbususu yako wapi kwingine kuna manufaa mwilini wako, maana akili zenyeewe hauna😂😂

Mtoa mada yuko sahihi
Mijibwa koko mshaanza kuungana kubweka 😹😹
Mimi kweli akili sina ila wewe ndo zero kabisa na maisha yakikupiga utatoa nini mwilini mwako? Mimi nitatoa mbususu wewe utatoa vikindu 😹
 
Back
Top Bottom