Naku-challenge unitajie kiumbe kilicho na ubinafsi mkubwa zaidi ya mwanamke hapa duniani. 1 2, 3

Naku-challenge unitajie kiumbe kilicho na ubinafsi mkubwa zaidi ya mwanamke hapa duniani. 1 2, 3

Japo sio sifa nzuri ila huo ndio ukweli wa maisha yetu sisi wengine.na siku hiyo nikikosa funguo ya dukani asubuhi asubuhi ninaenda kwa walanguzi kukopa nusu lita ya gongo.
Nini ilipelekea kuwahi kutumia vilevi
 
Sema mpaka sasa kaka kwa jinsi nyuzi zako kila siku unavoandika nishakujua na hii ni ukwui.ka uwongo kataa hapa.kwa uthibitisho kama mm muongo ndgu zangu kina Vishu Mtata watasema hapa

Wewe ni...
-Ni jamaa wa kishua
-Baba nyumbani ana gari na unatumia
-Huna life ngumu kwanza hom una uwakika wa urithi
-Umesoma kiwango cha degree BAA au HR
-Ni mtoto wa mwisho au wa pili kutoka mwisho
-Baba ako ana shule ya primary chanika
-Mama ako ana kiwanja kigamboni na ana mpango wa kufungua supermarket
-Baba ako mdogo ana kampuni ya kusafirisha mizigo mtwara na kusini kwa ujumla

Simalizii vyote ila ndo hvo
Ila poor brain bwana😁😁😁

Nimekumbuka hii comment
 
Back
Top Bottom