Naku-challenge unitajie kiumbe kilicho na ubinafsi mkubwa zaidi ya mwanamke hapa duniani. 1 2, 3

Naku-challenge unitajie kiumbe kilicho na ubinafsi mkubwa zaidi ya mwanamke hapa duniani. 1 2, 3

Ila wanatakiwa wabreak-chain sasa.

Kuna watu duniani kazi kueneza negativity....sasa mtu kweli anakuja na mada inayosema mwanamke mbinafsi....

What a fallacious thinking!!!! He's either mentally distorted or what you have just suggested.....
Alijizaa ndiomana anaropoka 😹
Huyo ana bipolar D huwa inampanda kila mwisho wa mwezi..!!
 
Wala usijichoshe, hakuna.

Ushawahi jiuliza kwanini wanawake wanachukiana na kusengenyana?

Ni kwa sababu mtu pekee wa kuweza kumuelewa mwanamke hapa duniani ni mwanamke mwenzake ndio maana wanachukiana.
Sasa mbona hujaonesha ubinafsi hapo kama mada inavyosema? Kusengenyana ndio ubinafsi?
 
Kipindi nasoma fasihi uchambuzi wa vitabu kwenye dhamira ilokuwa inajitokeza sana kwa asilimia kubwa katika vitabu vingi ( sio vyote ) ilikuwa ikimuonyesha Mwanamke ni CHOMBO CHA STAREHE. Nilikuwa najiuliza sana kwa nini mwanamke awe potrayed hivi katika jamii sikujua maana mpaka nilipokuja kujua kwanini.

Labda hii ndio sababu inayowafanya wawe wabinafsi. Sijui nipo ndani ya mada lakini any way ukituliza kichwa utaelewa
 
Sema mpaka sasa kaka kwa jinsi nyuzi zako kila siku unavoandika nishakujua na hii ni ukwui.ka uwongo kataa hapa.kwa uthibitisho kama mm muongo ndgu zangu kina Vishu Mtata watasema hapa

Wewe ni...
-Ni jamaa wa kishua
-Baba nyumbani ana gari na unatumia
-Huna life ngumu kwanza hom una uwakika wa urithi
-Umesoma kiwango cha degree BAA au HR
-Ni mtoto wa mwisho au wa pili kutoka mwisho
-Baba ako ana shule ya primary chanika
-Mama ako ana kiwanja kigamboni na ana mpango wa kufungua supermarket
-Baba ako mdogo ana kampuni ya kusafirisha mizigo mtwara na kusini kwa ujumla

Simalizii vyote ila ndo hvo
Eeeehh 🌚🌚
 
Kipindi nasoma fasihi uchambuzi wa vitabu kwenye dhamira ilokuwa inajitokeza sana kwa asilimia kubwa katika vitabu vingi ( sio vyote ) ilikuwa ikimuonyesha Mwanamke ni CHOMBO CHA STAREHE. Nilikuwa najiuliza sana kwa nini mwanamke awe potrayed hivi katika jamii sikujua maana mpaka nilipokuja kujua kwanini.

Labda hii ndio sababu inayowafanya wawe wabinafsi. Sijui nipo ndani ya mada lakini any way ukituliza kichwa utaelewa
Uko sahihi mkuu

Pongezi saanna

Msasaidie na huyu mdada Daby ili aelewe
 
amaaa kweli maskini akipata tako hulia mbwata,, yaani manyonyo yangu yakukuze leo uje uniseme huku.......
 
Back
Top Bottom