Nakuachaje sasa? Si kwa kuchukua moyo wangu na kuuteka hivi

Mimi sasa hivi umri umeenda nimewaachi nyie vijan bana😁😁
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dogoo hii imagination unayotambaa nayoo.
Kitakulambaaaa!!
Sasa imaginary ipo wapi hapa sis....
Hivi unazani nipo hapa kutania au....

Nasema the way nainjoiii minsiwezi kuwa na mshangazi wa hovyo hizo level nishapita kitambo saaaan yaani mdaaaaa huko ...

Now hata jito la jiji silioni kiufupi nainjoi hata chuo sizani ka tarudi mambo yapo πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ”₯

Nakupa code tuu leo kuna katukio pale river side tokea then utajua who am i πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mimi sasa hivi umri umeenda nimewaachi nyie vijan bana😁😁
Wewe takulaumu mpaka ujuteee aiseeee....

Yaani wewe utakuwa kama mfano kwa wengine ambao walichezea bahati hapa tanzania.. afrika mashariki πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wewe takulaumu mpaka ujuteee aiseeee....

Yaani wewe utakuwa kama mfano kwa wengine ambao walichezea bahati hapa tanzania.. afrika mashariki πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Umri umeenda kwa sasa mkuu ,kijana wangu anakaribia 18 sasa😁
 
Hakuna cha usimat unahitajika hapo ni nguvu zako tu za kupeleka πŸ”₯ mshangazi ainjoi.
Kupeleka moto sio kila kitu mkuu...

**** kukuchoka ila ukiwa mjanja mjanja ukajiweka wewe kama important kwake uwezi kuchokwa..

Kwani hakuna wanaopelka moto na wakaachwa kuna kitu kinaitwa creativity ndo inatumika hapa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nikibonga sana utasema nina_wivu ngoja ntulie.
 
Nikibonga sana utasema nina_wivu ngoja ntulie.
Hamna mkuu ila kuna kingine zaidi ya moto amini kwamba......
Kuna life ukipitia unajua how to live na pipo kama hizi.....

Parasitism system πŸ™πŸ™πŸ™
 
Kwisha kabisa Mzee wangu.
 
Ni vile ujaingia kwa system mkuu ila ukiingia utajua nachomaanisha nini...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™
Mzee wangu Shangazi kaamua kukupa vyote.

Asee kuna limoja hivi nililitongoza Age yake ni kama 53+ akawa mkali Ooo kijana naona unanivunjia heshima na akawa nanimaind kinoma.

Sasa hivi akiniona anatabasamu na kuniambia karibu nyumbani. Hii ni baada ya kusikia NIMEOA.
 
Shangazi anakupeleka River side? Unajua wee Dogo ni Dunyaa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka had napaliwaaa. Woiiiiiiiiih.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…