Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
- Thread starter
-
- #621
Wewe ulichezea shilingi chooni..Mzee wangu Shangazi kaamua kukupa vyote.
Asee kuna limoja hivi nililitongoza Age yake ni kama 53+ akawa mkali Ooo kijana naona unanivunjia heshima na akawa nanimaind kinoma.
Sasa hivi akiniona anatabasamu na kuniambia karibu nyumbani. Hii ni baada ya kusikia NIMEOA.
Nakwambiaje pata mda leo ukuje uone kitu uje kuhadithia humu...Hapoo badoo sijachekaa dogo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu Mimi najua haya mambo mbona sababu ya kulitongoza nilishazoe kula mimama iliyonizidi umri na ikawa hivyo kinoma yani nilikuwa nikiona mschana wa makamo sjui age 35+ aaaa naona huyu hajui kulia vizuri ataniuzi kwenye mchezo lakini badae nikaja kugundua Ile ilikuwa ni kama laana flan hivi.Wewe ulichezea shilingi chooni..
Ila mkuu nilishauri kwa sasa achana nae usijesogelea hata kidogo...
Atakuja kukufarakanisha huyo ahhahahπππππ
Wana vishawishi sana
Hahaha we lizingatie utaona impact yake.Serious maana kuna kitu ume stik hapo kila nacho kiongea wee neno lako moja tu....
πππππππππ We jamaa ni kijana wa hovyo ambaye ajawahi tokea aiseeee..Mkuu Mimi najua haya mambo mbona sababu ya kulitongoza nilishazoe kula mimama iliyonizidi umri na ikawa hivyo kinoma yani nilikuwa nikiona mschana wa makamo sjui age 35+ aaaa naona huyu hajui kulia vizuri ataniuzi kwenye mchezo lakini badae nikaja kugundua Ile ilikuwa ni kama laana flan hivi.
Mimama ilikuwa ikiniona basi unakuta anakuangalia Ile mbaya basi Mimi namwambia habari sister upo Salama Kweli.
Sasa hivi nimeacha hayo mambo ila siamkii mwanamke mwenye miaka 50.
Huyo Salamu yake ni mambo vipi dada au kiheshima ya kinafki ni Habari dada.
Nazingatia mkuu sana sana tuu sema mda mwingine anakua ananiachia kazi kazi daah jau sana huyu maza ila ndo hvo tafika tuu mzee πππππ€π€π€π€Hahaha we lizingatie utaona impact yake.
Anipeleki river elewa basi na wewe khaaaaaShangazi anakupeleka River side? Unajua wee Dogo ni Dunyaa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka had napaliwaaa. Woiiiiiiiiih.
Uzuri ukayakunja sana ndio wanapenda.πππππππππ We jamaa ni kijana wa hovyo ambaye ajawahi tokea aiseeee..
Serious unamsalimia mambo ππππππππ. Et umeacha ukute bado unafatilia fatilia wewe alaaaaah ...
Hili pepo kutoka ni ngumu sana mkuu najitahidi ila wapi aiseeee mi hawa machalii siwaelewi kabisa sijui kwanini an daaaah najitahidi lakini wapi...
πππππ
Hapa ni mwendo mwa mimama tuuu aiseeeee so poa mkuu sio pa wacha kabisa
πππππππ We jamaa hovyo kabisa ety mito miwili...Uzuri ukayakunja sana ndio wanapenda.
Nakukumbusha Mzee wangu hakikisha mito miwili alafu mgongo wake unakuwa juu Mzee.
Mzee wangu Wacha nisitoe hizi code ukaona nakufundisha kumbe wee mwenyewe Ni kipanga.
Amini Mzee wangu nimeshaachaga.πππππππ We jamaa hovyo kabisa ety mito miwili...
Wewe bado una mishangazi wewe alaaah π π π π π
Aaaaaaah wapi haya mambo kwa jinsi unavyoelezea si bure kuna kitu bado unaendelea nacho...Amini Mzee wangu nimeshaachaga.
Mimi nilikuwa nakula ambao wameachika.Aaaaaaah wapi haya mambo kwa jinsi unavyoelezea si bure kuna kitu bado unaendelea nacho...
Mkuu wasije kukudaka tuu ππππ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] River side? Hapo hapanaaa. Ingekua The Elements, au Hyatt hapo ningekujaaa dogo.Nakwambiaje pata mda leo ukuje uone kitu uje kuhadithia humu...
Tasema kuna sis wangu anakuja leo ili isiwe kesi au mambo mengi...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji120][emoji120][emoji120]
Anakupelekaa wapiii sasa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anipeleki river elewa basi na wewe khaaaaa
Hakika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatareee tupuuu.
Nani cocas auπMuongo muongo huyo πππ
Noπππππ Wee akili mbili kumbe
Ni siku nyingine tena baada ya kuachwa kwa nyumba mwenyewe...Mimi nilikuwa nakula ambao wameachika.
Sijawahi Kula mke watu lakini demu wa mtu nimekula.
Mzee wangu mwanamke ambaye ametolewa hela achana nae kabisa.
Maumivu ya Yule aliyetoa hela akijua unakula mke wake asee Mzee wangu acha kabisa.
Bichwa wewe ππππWimbo gani vilee...??