Nakuachaje sasa? Si kwa kuchukua moyo wangu na kuuteka hivi

Mzee wangu Shangazi kaamua kukupa vyote.

Asee kuna limoja hivi nililitongoza Age yake ni kama 53+ akawa mkali Ooo kijana naona unanivunjia heshima na akawa nanimaind kinoma.

Sasa hivi akiniona anatabasamu na kuniambia karibu nyumbani. Hii ni baada ya kusikia NIMEOA.
Wewe ulichezea shilingi chooni..

Ila mkuu nilishauri kwa sasa achana nae usijesogelea hata kidogo...

Atakuja kukufarakanisha huyo ahhahah😂😂😂😂😂
Wana vishawishi sana
 
Hapoo badoo sijachekaa dogo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakwambiaje pata mda leo ukuje uone kitu uje kuhadithia humu...

Tasema kuna sis wangu anakuja leo ili isiwe kesi au mambo mengi...
😂😂😂😂🙏🙏🙏
 
Wewe ulichezea shilingi chooni..

Ila mkuu nilishauri kwa sasa achana nae usijesogelea hata kidogo...

Atakuja kukufarakanisha huyo ahhahah😂😂😂😂😂
Wana vishawishi sana
Mkuu Mimi najua haya mambo mbona sababu ya kulitongoza nilishazoe kula mimama iliyonizidi umri na ikawa hivyo kinoma yani nilikuwa nikiona mschana wa makamo sjui age 35+ aaaa naona huyu hajui kulia vizuri ataniuzi kwenye mchezo lakini badae nikaja kugundua Ile ilikuwa ni kama laana flan hivi.

Mimama ilikuwa ikiniona basi unakuta anakuangalia Ile mbaya basi Mimi namwambia habari sister upo Salama Kweli.

Sasa hivi nimeacha hayo mambo ila siamkii mwanamke mwenye miaka 50.

Huyo Salamu yake ni mambo vipi dada au kiheshima ya kinafki ni Habari dada.
 
😂😂😂😂😂😂🙏🙏🙏 We jamaa ni kijana wa hovyo ambaye ajawahi tokea aiseeee..

Serious unamsalimia mambo 😂😂😂😂😂😂😂😂. Et umeacha ukute bado unafatilia fatilia wewe alaaaaah ...

Hili pepo kutoka ni ngumu sana mkuu najitahidi ila wapi aiseeee mi hawa machalii siwaelewi kabisa sijui kwanini an daaaah najitahidi lakini wapi...
😂😂😂😂😂

Hapa ni mwendo mwa mimama tuuu aiseeeee so poa mkuu sio pa wacha kabisa
 
Hahaha we lizingatie utaona impact yake.
Nazingatia mkuu sana sana tuu sema mda mwingine anakua ananiachia kazi kazi daah jau sana huyu maza ila ndo hvo tafika tuu mzee 😂😂😂😂🤛🤛🤛🤛
 
Shangazi anakupeleka River side? Unajua wee Dogo ni Dunyaa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka had napaliwaaa. Woiiiiiiiiih.
Anipeleki river elewa basi na wewe khaaaaa
 
😂😂😂😂😂😂🙏🙏🙏 We jamaa ni kijana wa hovyo ambaye ajawahi tokea aiseeee..

Serious unamsalimia mambo 😂😂😂😂😂😂😂😂. Et umeacha ukute bado unafatilia fatilia wewe alaaaaah ...

Hili pepo kutoka ni ngumu sana mkuu najitahidi ila wapi aiseeee mi hawa machalii siwaelewi kabisa sijui kwanini an daaaah najitahidi lakini wapi...
😂😂😂😂😂

Hapa ni mwendo mwa mimama tuuu aiseeeee so poa mkuu sio pa wacha kabisa
Uzuri ukayakunja sana ndio wanapenda.

Nakukumbusha Mzee wangu hakikisha mito miwili alafu mgongo wake unakuwa juu Mzee.

Mzee wangu Wacha nisitoe hizi code ukaona nakufundisha kumbe wee mwenyewe Ni kipanga.
 
😂😂😂😂😂😂😂 We jamaa hovyo kabisa ety mito miwili...

Wewe bado una mishangazi wewe alaaah 😂 😂 😂 😂 😂
 
Aaaaaaah wapi haya mambo kwa jinsi unavyoelezea si bure kuna kitu bado unaendelea nacho...

Mkuu wasije kukudaka tuu 😂😂😂😂
Mimi nilikuwa nakula ambao wameachika.

Sijawahi Kula mke watu lakini demu wa mtu nimekula.

Mzee wangu mwanamke ambaye ametolewa hela achana nae kabisa.

Maumivu ya Yule aliyetoa hela akijua unakula mke wake asee Mzee wangu acha kabisa.
 
Nakwambiaje pata mda leo ukuje uone kitu uje kuhadithia humu...

Tasema kuna sis wangu anakuja leo ili isiwe kesi au mambo mengi...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji120][emoji120][emoji120]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] River side? Hapo hapanaaa. Ingekua The Elements, au Hyatt hapo ningekujaaa dogo.

Ongea na shangazii vizurii anaua Brand, au bado hajajipataa?
Woiiiiiih [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi nilikuwa nakula ambao wameachika.

Sijawahi Kula mke watu lakini demu wa mtu nimekula.

Mzee wangu mwanamke ambaye ametolewa hela achana nae kabisa.

Maumivu ya Yule aliyetoa hela akijua unakula mke wake asee Mzee wangu acha kabisa.
Ni siku nyingine tena baada ya kuachwa kwa nyumba mwenyewe...

Hii ni raha ilioje mkuu yaani hapa kama una pisi zako unaziita tuu sema mi ni kijana wa malengo wacha nitulie..

Kuhusu wake za watu mkuu hapana naogopa sana mafutwa 😂😂😂😂😂🔥🔥🔥🎉
 
Back
Top Bottom