Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
- Thread starter
- #621
Wewe ulichezea shilingi chooni..Mzee wangu Shangazi kaamua kukupa vyote.
Asee kuna limoja hivi nililitongoza Age yake ni kama 53+ akawa mkali Ooo kijana naona unanivunjia heshima na akawa nanimaind kinoma.
Sasa hivi akiniona anatabasamu na kuniambia karibu nyumbani. Hii ni baada ya kusikia NIMEOA.
Ila mkuu nilishauri kwa sasa achana nae usijesogelea hata kidogo...
Atakuja kukufarakanisha huyo ahhahah😂😂😂😂😂
Wana vishawishi sana