Nakuachaje sasa? Si kwa kuchukua moyo wangu na kuuteka hivi

Utakuwa unaLipangazi mkuu sio shangazi 🀣🀣
Ndo maana huwa sifungui JF mchana huwa kuna poor threads 🀣🀣🀣 (joking)
Jamani weeeeh πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ku express my feeling kwa mushangazi imekua poor thread....

Skia nyie museme tuu mtajua wenyewe πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Ulipotaja mshangazi nikakuonea wivu, nikasema kweli Vijana mnafaidi, maana enzi zetu Mwaka 47 hatukuwahi kuwa nao 😜

Hahaha.............kweli tumezeeka sasa πŸ€—
Walikuwa na majina yao maalum Graham unayajua unabania vijana tujue vya old kama ni Gold πŸ˜‚
 
Poor Brain jamaa hapigwi jua maana mshangazi wake ndo mwamvuli wake, jua linawakanda wasio na miamvuli (Mshangazi)
 
Poor Brain jamaa hapigwi jua maana mshangazi wake ndo mwamvuli wake, jua linawakanda wasio na miamvuli (Mshangazi)
Wewe ni genius......
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™πŸ™πŸ™ Unajua sana mambo..

Yaani humo humo aiseee mjini hapa so powa mkuuu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wewe ni genius......
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™πŸ™πŸ™ Unajua sana mambo..

Yaani humo humo aiseee mjini hapa so powa mkuuu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ila nakaandwa na jua mwamvuli sina πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…