Nakuachaje sasa? Si kwa kuchukua moyo wangu na kuuteka hivi

Na hakuna kitu hapendi kama akiona nakula kinyonge aiseee an hapo ni ugomvi..
Last week walikuja watoto wa mdogo ake wakakuta vitu kwenye friji kama vyote si wakalisanua aiseee..

Alinikalisha chini kama mwanae sasa na kunipa darasa la nutrition πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Linogeshee chachandu mkuu siksi paki na vua la kutosha. Unlifugia na uchebe kwa mbaaaali unauosha n shampoo!

Huyo realMamy mwenyew anaelewa pigo hizo
 
USAHAULIWEEEEEEEEEEEEEEE!
 
Linogeshee chachandu mkuu siksi paki na vua la kutosha. Unlifugia na uchebe kwa mbaaaali unauosha n shampoo!

Huyo realMamy mwenyew anaelewa pigo hizo
Ooooooh kumbe hapo nishaelewa sema ujue nn mi sitaki mambo ya chuma mkuu mi zangu kukimbia tuu basi ....

Uchebe upo...
Vingine takua najifunza kidogo kidogo kutoka kwa Mzee wa kupambania au mzabzab
 
MUACHE kwanza
HAJUI MISHANGAZI HUWA INAAACHA GHAFLA VUUUP!
na hawataki uwaulize kwa nin!
Uchawi sio lazima kuloga..
Hata kusema mambo ya ajabu ka haya ni uchawi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Yani paaaaap!
ghafla umepigwa bloku, ghafla unaambiwa peleka gari garage, ghafla nyumba inaisha kodi inabidi urudishe funguo, yani mradi tu uteseke.

Ila kula raha sa hiz!
 
Mkuu wanasema unapokua na mtu kama huyu ishi kwa akili mtu wangu.........

Kwa sasa tulipofika aiseee nasemaje sijui nn kitatutenganisha aiseee....

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽ‰
 
mishangazi toka mnaanza ndo kama umemmuanza yeye, katikatia ndo kama mmeanza , mwisho ndo kunanoga.
im 42.
 
Sasa si lina kazi na nguvu zako, ule kindezi umfie.

uatapigaje kazi sasa, Ng'ombe mpe majani akupe maziwa!
Kazi kazi mkuu na kweli kazi kazi an sema sio kivile kuna mda anarudi amechoka hvo mi hiyo siku nakua nipo free nainjoi jukwaa la usiku wa manane πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Back
Top Bottom