Nakuachaje sasa? Si kwa kuchukua moyo wangu na kuuteka hivi

Hujawajua Vijana nini?

Unadhani hadi Babu yako kuanza kufuga mbwa mkali pale nyumbani unadhani mchezo, sitaki Vijana wa hovyo wawasogelee Mabinti zangu kwasababu hizo
Sasa babu...
Hao mabinti unatakaje kwa mfano......

Acha mambo yako ya ukoloni hayo
Mzee wa hovyo wewe 😁😁😁😁😁😁
 
Jana nimekaa macho hadi saa 8 usiku lakini sijafanikiwa hata kusikia sauti yake 🙌

Fanya kumtuma aniletee Kiko ili nimwone Leo 😜
Never happen...
Haonekani by naked eyes..

Alafu skia huwenda mkawa mnapishana huko sheli lakini kumjua haswa ndo huyo hio ni ndoto na sahau babu...

Babu unataka chakula cha mjukuu wako 😁😁😁😁😁😁😁😁😂😂😂
 
Nilipata mkuu , nikaona natumika tu ,nikaingia mitini😁
Unatumika how...
Kijana shida ilikua nini wewe...
Mbona ulishindwa kula na kipofu...

Ila sasa umepata akili umejua kuwa ulikua mzembe 😂😂😂😂
 
Never happen...
Haonekani by naked eyes..

Alafu skia huwenda mkawa mnapishana huko sheli lakini kumjua haswa ndo huyo hio ni ndoto na sahau babu...

Babu unataka chakula cha mjukuu wako 😁😁😁😁😁😁😁😁😂😂😂
Hahaha.............tangu lini Babu yako nikatamani Mali ya Mjukuu

Hapa akija ni kumsimulia Hadithi za Mwaka 47 basi 😜
 
Code 255 Twende Sasa kwenye akili kumi za kuiteka mishangazi

1. Be purposeful and realistic(panga ni mshangazi wa aina gani unaemtaka na kwanini unamtaka )

Kwenye ulimwengu wa kula mashangazi ni muhimu kujua unataka shangazi wa namna gani na kwa mda gani ili uishi aina gani ya maisha,

min -me usiseme tu nataka kuwa na mshangzi au nataka kuwa na hela kupitia mshangazi, sema nataka niwe na uwezo wa kupata mshangzi ambaye anaweza kumudu na mimi kwa mwaka,mwezi,wiki au hata kwa siku then pambania iwe kweli,

Hii imeandaliwa na Analyse mwenyekiti mstaafu mwandamizi.😂😂😂🙏🙏
 
Jiheshimu mzee 😂😂😂😂😂
Napataga story zako ujue ooooh oooh nakujua fika mzee .....

Unaweza mshauri anikache mazima aiseeee
 
Code 255 Twende Sasa kwenye akili kumi za kuiteka mishangazi

1. Be purposeful and realistic(panga ni mshangazi wa aina gani unaemtaka na kwanini unamtaka )

Kwenye ulimwengu wa kula mashangazi ni muhimu kujua unataka shangazi wa namna gani na kwa mda gani ili uishi aina gani ya maisha,

min -me usiseme tu nataka kuwa na mshangzi au nataka kuwa na hela kupitia mshangazi, sema nataka niwe na uwezo wa kupata mshangzi ambaye anaweza kumudu na mimi kwa mwaka,mwezi,wiki au hata kwa siku then pambania iwe kweli,

Hii imeandaliwa na Analyse mwenyekiti mstaafu mwandamizi.😂😂😂🙏🙏
😁😁😁 mshangazi hapana kwa kweli
 
Nipe na njia za kupata back up....hata nikiachwa nisianze kulialia
 
Back
Top Bottom