Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujawajua Vijana nini?Kufaidi au laana
Kwenye nini mkuu😁Nipo sehemu sahihi kumbe...
Blood shida ilikua nini why huku stick...
Kwanini hukua stationary
Ukawa dynamic 😁😁😁😁😁😁
Kwani si wewe uliwahi kupata mshangazi previous...Kwenye nini mkuu😁
Sasa babu...Hujawajua Vijana nini?
Unadhani hadi Babu yako kuanza kufuga mbwa mkali pale nyumbani unadhani mchezo, sitaki Vijana wa hovyo wawasogelee Mabinti zangu kwasababu hizo
Kwani si wewe uliwahi kupata mshangazi previous...
Never happen...Jana nimekaa macho hadi saa 8 usiku lakini sijafanikiwa hata kusikia sauti yake 🙌
Fanya kumtuma aniletee Kiko ili nimwone Leo 😜
Unatumika how...Nilipata mkuu , nikaona natumika tu ,nikaingia mitini😁
Nishauri kiongoziCode 255 kuna kitu njo nikushaur
Hahaha.............tangu lini Babu yako nikatamani Mali ya MjukuuNever happen...
Haonekani by naked eyes..
Alafu skia huwenda mkawa mnapishana huko sheli lakini kumjua haswa ndo huyo hio ni ndoto na sahau babu...
Babu unataka chakula cha mjukuu wako 😁😁😁😁😁😁😁😁😂😂😂
Jiheshimu mzee 😂😂😂😂😂Hahaha.............tangu lini Babu yako nikatamani Mali ya Mjukuu
Hapa akija ni kumsimulia Hadithi za Mwaka 47 basi 😜
Wengi wenye akili kama zako walisema hivyoo unachezea limbwata??Oooooh wakupotea mimi sweet serious.......
Nipo na najielewa sana ujue
Hahaha..........kuwa na imani na WazeeJiheshimu mzee 😂😂😂😂😂
Napataga story zako ujue ooooh oooh nakujua fika mzee .....
Unaweza mshauri anikache mazima aiseeee
😁😁😁 mshangazi hapana kwa kweliCode 255 Twende Sasa kwenye akili kumi za kuiteka mishangazi
1. Be purposeful and realistic(panga ni mshangazi wa aina gani unaemtaka na kwanini unamtaka )
Kwenye ulimwengu wa kula mashangazi ni muhimu kujua unataka shangazi wa namna gani na kwa mda gani ili uishi aina gani ya maisha,
min -me usiseme tu nataka kuwa na mshangzi au nataka kuwa na hela kupitia mshangazi, sema nataka niwe na uwezo wa kupata mshangzi ambaye anaweza kumudu na mimi kwa mwaka,mwezi,wiki au hata kwa siku then pambania iwe kweli,
Hii imeandaliwa na Analyse mwenyekiti mstaafu mwandamizi.😂😂😂🙏🙏
Nipe na njia za kupata back up....hata nikiachwa nisianze kulialiaCode 255 Twende Sasa kwenye akili kumi za kuiteka mishangazi
1. Be purposeful and realistic(panga ni mshangazi wa aina gani unaemtaka na kwanini unamtaka )
Kwenye ulimwengu wa kula mashangazi ni muhimu kujua unataka shangazi wa namna gani na kwa mda gani ili uishi aina gani ya maisha,
min -me usiseme tu nataka kuwa na mshangzi au nataka kuwa na hela kupitia mshangazi, sema nataka niwe na uwezo wa kupata mshangzi ambaye anaweza kumudu na mimi kwa mwaka,mwezi,wiki au hata kwa siku then pambania iwe kweli,
Hii imeandaliwa na Analyse mwenyekiti mstaafu mwandamizi.😂😂😂🙏🙏
Uoga wako ni umaskini wako ujue😁😁😁 mshangazi hapana kwa kweli