Nakuachaje sasa? Si kwa kuchukua moyo wangu na kuuteka hivi

Nakuachaje sasa? Si kwa kuchukua moyo wangu na kuuteka hivi

Nipo makini sana tena sana mkuu....
Nipo makini navyokwambia naelewa nachofanya jua namaanisha l....

Najua sio ndo nitakaa nae hadi mwisho hapana kuna mda mi nitahitaji kuwa na life yangu ila kipindi hiki kuna kitu natengeneza kwanza...

๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹ Ngoja niongeze sauti
NISIULIZWE by JUX
Weeee ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… sawa
 
Wewe shangazi kwa pigo zako. Kila mtu atakung'ang'ania.

Sio kwa kuchukua moyo wangu na kuuteka hivi.

Uliponiroga karoga tena maana nainjoi umefanya mpaka nisahau kilichonileta hapa jijini dasalam.

Nakuachaje kwa mfano. Kwa hizi starehe.... ๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹
unakumbuka ndom mkuu, lishangazi hiloo ohooo
 
Back
Top Bottom