Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 9,758
- 18,431
Ukute Ndugai ameshauri ivyo ili vijana waweze kuoa [emoji23][emoji23] hivi nyie hamzijui akili za mheshimiwa lakini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugai ana mambo!! Nyakati zingine ana hoja zenye mashiko kama hii hapa!! Ni ngumu kuipangua labda ulazimishe tu!!Juzi spika aligusia kidogo suala la ajira kwa walimu na kuishauri serikali kutoa kipaumbele cha ajira kwa walimu wengi wa kiume kuliko wanawake.
Hoja ya spika ina mashiko kwa sababu nature 'asili' ya wanawake wengi hupenda raha na sio wavumilivu wa mazingira magumu.
Kwakuwa uhitaji wa walimu kwa sasa ni maeneo ya vijijini, serikali inapowaajiri walimu wa kike katika maeneo hayo baada ya muda huyakimbia kwa kuomba uhamisho wa kufuata wenza wao ambao wanafanya kazi mijini.
Kwakuwa rate ya walimu wa kike wanaohama ni kubwa ndio maana shule za vijijini zinakosa walimu wa jinsia hiyo kwa sababu asilimia kubwa wamerundikana shule za mjini ambako walihamia kwa kisingizio cha kufuata wenza wao.
Si hivyo Tu, hali hii pia huleta usumbufu kwa walimu wa kiume wanaofanya kazi vijijini kwani hukataliwa na walimu wa kike kwa kuamini kuwa endapo watawakubalia na kuishi kama wana ndoa wataendelea kuishi kijijini. Hivyo walimu wengi wa kike hulazimika kutafuta wenza walioko mjini ilikusudi wahame hali inayopelekea walimu wa kiume walioko vijijini kukosa fursa ya kuoa walimu wenzao.
Kumbe ni sahihi kabisa serikali ikatoa kipaumbele kwa walimu wa kiume kwa sababu ni wavumilivu wa mazingira ya vijijini kuliko wanawake ambao wakiajiriwa baada ya muda wanahama na hivyo kusababisha tatizo la uhaba wa walimu kwa shule za vijijini kubaki pale pale
Liweke sawa hili mkuu lieleweke vzrMbozi kuna chenga sana mama Samia imulike mbozi uhamisho wa walimu mwingi ni feki kwa mfano barua ya uhamisho anaandika mkurugenzi anakuja MTU kwenye idara ana sitisha uhamisho kwa niaba ya mkurugenzi bila kujua halafu anatengeza pesa,
Napo ni sahihi kwa sababu walimu wa kiume wakiajiriwa wengi watawaoa walimu wa kike ambao hawana ajira na hivyo tatizo la ajira na ukali wa maisha vitakuwa vimepunguzwa kwa njia hiyoUkute Ndugai ameshauri ivyo ili vijana waweze kuoa [emoji23][emoji23] hivi nyie hamzijui akili za mheshimiwa lakini?
Ukweli mchungu.Juzi spika aligusia kidogo suala la ajira kwa walimu na kuishauri serikali kutoa kipaumbele cha ajira kwa walimu wengi wa kiume kuliko wanawake.
Hoja ya spika ina mashiko kwa sababu nature 'asili' ya wanawake wengi hupenda raha na sio wavumilivu wa mazingira magumu.
Kwakuwa uhitaji wa walimu kwa sasa ni maeneo ya vijijini, serikali inapowaajiri walimu wa kike katika maeneo hayo baada ya muda huyakimbia kwa kuomba uhamisho wa kufuata wenza wao ambao wanafanya kazi mijini.
Kwakuwa rate ya walimu wa kike wanaohama ni kubwa ndio maana shule za vijijini zinakosa walimu wa jinsia hiyo kwa sababu asilimia kubwa wamerundikana shule za mjini ambako walihamia kwa kisingizio cha kufuata wenza wao.
Si hivyo Tu, hali hii pia huleta usumbufu kwa walimu wa kiume wanaofanya kazi vijijini kwani hukataliwa na walimu wa kike kwa kuamini kuwa endapo watawakubalia na kuishi kama wana ndoa wataendelea kuishi kijijini. Hivyo walimu wengi wa kike hulazimika kutafuta wenza walioko mjini ilikusudi wahame hali inayopelekea walimu wa kiume walioko vijijini kukosa fursa ya kuoa walimu wenzao.
Kumbe ni sahihi kabisa serikali ikatoa kipaumbele kwa walimu wa kiume kwa sababu ni wavumilivu wa mazingira ya vijijini kuliko wanawake ambao wakiajiriwa baada ya muda wanahama na hivyo kusababisha tatizo la uhaba wa walimu kwa shule za vijijini kubaki pale pale
Umenikuna sana, hii ndiyo movement tunayotakiwa kuiamsha, watanzania siyo watu wa kuendelea kumizwa na kundi dogo la wahuni wanaojiita waheshimiwa kisa waogopweWa kulaumiwa ni Serikali Rais mshahara wake ni zaidi ya milioni 400 kwa mwaka hakatwi kodi, Mawaziri na Wabunge wana mishahara mikubwa nao na marupurupu manono hawalipi kodi, kila baada ya miaka mitano wanalipwa zaidi ya milioni 300 kama kiinua mgongo hawakatwi kodi. Fikiria wangepunguza hii mishahara yao, marupurupu na viinua mgongo na kuanza kulipa kodi ni kiasi gani kama nchi tungeweza kuboresha maisha kule vijijini na kufanya maisha kuwa rahisi kwa Watanzania wengi?
Kutengeneza mazingira ni mchakato wa muda mrefu na tunaona namna serikali inavyopambana kupeleka huduma muhimu vijijini. Hizi ajira ni za sasahivi so kwa muda huu ambao mazingira bado si rafiki sana huoni kuna umuhimu wa kuajiri watu watakaoweza kuendana na mazingira?Badala mkazane kuyatengeneza hayo mazingira yanayokimbiwa, mnataka muajiri wanaume. Haya pambaneni.
Bilashaka wewe ndo Zero mwenyewe kama bado huitambui nguvu ya mwanaume mbele ya mwanamke katika dunia hii.Kuna zero humu bado zinaamini mwanaume ni more superior and intelligent kuliko mwanamke[emoji1787]
Ila tuangalie kidogo. Kama magufuri katumia miaka mitano akijaribu kuibadiri chako kuwa mjini. Je selikali itatumia miaka mingapi kubadiri vijiji viendane na mazingira ya kuishi sray qween tanzania nzima. Hata kama watawapandishia mshahara na kuboresha makazi yao na huduma nzuri za afya. Je watawajengea na minara ya sim yenye 4g ili wachati muda wowote.Badala mkazane kuyatengeneza hayo mazingira yanayokimbiwa, mnataka muajiri wanaume. Haya pambaneni.
Du wewe member unajua si poa kuanza siku namna hiiPia wanaongoza kwa kutoa rushwa ya ngono ili tu wapatiwe uhamisho
Umenikuna sana, hii ndiyo movement tunayotakiwa kuiamsha, watanzania siyo watu wa kuendelea kumizwa na kundi dogo la wahuni wanaojiita waheshimiwa kisa waogopwe