Nakubaliana na hoja ya Spika: Serikali iajiri walimu wengi wa kiume kuliko wanawake

Juzi spika aligusia kidogo suala la ajira kwa walimu na kuishauri serikali kutoa kipaumbele cha ajira kwa walimu wengi wa kiume kuliko wanawake.

Hoja ya spika ina mashiko kwa sababu nature 'asili' ya wanawake wengi hupenda raha na sio wavumilivu wa mazingira magumu.

Kwakuwa uhitaji wa walimu kwa sasa ni maeneo ya vijijini, serikali inapowaajiri walimu wa kike katika maeneo hayo baada ya muda huyakimbia kwa kuomba uhamisho wa kufuata wenza wao ambao wanafanya kazi mijini.

Kwakuwa rate ya walimu wa kike wanaohama ni kubwa ndio maana shule za vijijini zinakosa walimu wa jinsia hiyo kwa sababu asilimia kubwa wamerundikana shule za mjini ambako walihamia kwa kisingizio cha kufuata wenza wao.

Si hivyo Tu, hali hii pia huleta usumbufu kwa walimu wa kiume wanaofanya kazi vijijini kwani hukataliwa na walimu wa kike kwa kuamini kuwa endapo watawakubalia na kuishi kama wana ndoa wataendelea kuishi kijijini. Hivyo walimu wengi wa kike hulazimika kutafuta wenza walioko mjini ilikusudi wahame hali inayopelekea walimu wa kiume walioko vijijini kukosa fursa ya kuoa walimu wenzao.

Kumbe ni sahihi kabisa serikali ikatoa kipaumbele kwa walimu wa kiume kwa sababu ni wavumilivu wa mazingira ya vijijini kuliko wanawake ambao wakiajiriwa baada ya muda wanahama na hivyo kusababisha tatizo la uhaba wa walimu kwa shule za vijijini kubaki pale pale
Siungi mkono hoja ,serikali isibagaue bali walimu bila kujali jinsia waingie mkataba wa kuajiriwa na kubaki kituo Cha kazi kwa miaka minne mpaka mitano anaetaka,tz yetu wote
 
Juzi spika aligusia kidogo suala la ajira kwa walimu na kuishauri serikali kutoa kipaumbele cha ajira kwa walimu wengi wa kiume kuliko wanawake.

Hoja ya spika ina mashiko kwa sababu nature 'asili' ya wanawake wengi hupenda raha na sio wavumilivu wa mazingira magumu.

Kwakuwa uhitaji wa walimu kwa sasa ni maeneo ya vijijini, serikali inapowaajiri walimu wa kike katika maeneo hayo baada ya muda huyakimbia kwa kuomba uhamisho wa kufuata wenza wao ambao wanafanya kazi mijini.

Kwakuwa rate ya walimu wa kike wanaohama ni kubwa ndio maana shule za vijijini zinakosa walimu wa jinsia hiyo kwa sababu asilimia kubwa wamerundikana shule za mjini ambako walihamia kwa kisingizio cha kufuata wenza wao.

Si hivyo Tu, hali hii pia huleta usumbufu kwa walimu wa kiume wanaofanya kazi vijijini kwani hukataliwa na walimu wa kike kwa kuamini kuwa endapo watawakubalia na kuishi kama wana ndoa wataendelea kuishi kijijini. Hivyo walimu wengi wa kike hulazimika kutafuta wenza walioko mjini ilikusudi wahame hali inayopelekea walimu wa kiume walioko vijijini kukosa fursa ya kuoa walimu wenzao.

Kumbe ni sahihi kabisa serikali ikatoa kipaumbele kwa walimu wa kiume kwa sababu ni wavumilivu wa mazingira ya vijijini kuliko wanawake ambao wakiajiriwa baada ya muda wanahama na hivyo kusababisha tatizo la uhaba wa walimu kwa shule za vijijini kubaki pale pale
Sikubaliani na hoja hii kwa vile kazi ya uwalimu ni ya malezi ambapo nature inabainisha kabisa kwamba, mama ndio mlezi kiongozi. Nashauri Kazi ya uwalimu katika ngazi za msingi wapewe kipaumbele wanawake, na sekondari uwiano uwe 50/50.
 
Kutengeneza mazingira ni mchakato wa muda mrefu na tunaona namna serikali inavyopambana kupeleka huduma muhimu vijijini. Hizi ajira ni za sasahivi so kwa muda huu ambao mazingira bado si rafiki sana huoni kuna umuhimu wa kuajiri watu watakaoweza kuendana na mazingira?
Akikujibu nitagi mkuu
 
Kiasili wanaotakiwa kufanya kazi ni wanaume, hao wanawake watakula kwa mgongo wa hao hao wanaume. Kwa hiyo unapotoa ajira kipaumbele iwe ni kuajiri wanaume zaidi kuliko wanawake, nafikiri wote tunakubaliana kwenye hili....
Uko sahihi na huo ndio ukweli
 
Juzi spika aligusia kidogo suala la ajira kwa walimu na kuishauri serikali kutoa kipaumbele cha ajira kwa walimu wengi wa kiume kuliko wanawake.

Hoja ya spika ina mashiko kwa sababu nature 'asili' ya wanawake wengi hupenda raha na sio wavumilivu wa mazingira magumu.

Kwakuwa uhitaji wa walimu kwa sasa ni maeneo ya vijijini, serikali inapowaajiri walimu wa kike katika maeneo hayo baada ya muda huyakimbia kwa kuomba uhamisho wa kufuata wenza wao ambao wanafanya kazi mijini.

Kwakuwa rate ya walimu wa kike wanaohama ni kubwa ndio maana shule za vijijini zinakosa walimu wa jinsia hiyo kwa sababu asilimia kubwa wamerundikana shule za mjini ambako walihamia kwa kisingizio cha kufuata wenza wao.

Si hivyo Tu, hali hii pia huleta usumbufu kwa walimu wa kiume wanaofanya kazi vijijini kwani hukataliwa na walimu wa kike kwa kuamini kuwa endapo watawakubalia na kuishi kama wana ndoa wataendelea kuishi kijijini. Hivyo walimu wengi wa kike hulazimika kutafuta wenza walioko mjini ilikusudi wahame hali inayopelekea walimu wa kiume walioko vijijini kukosa fursa ya kuoa walimu wenzao.

Kumbe ni sahihi kabisa serikali ikatoa kipaumbele kwa walimu wa kiume kwa sababu ni wavumilivu wa mazingira ya vijijini kuliko wanawake ambao wakiajiriwa baada ya muda wanahama na hivyo kusababisha tatizo la uhaba wa walimu kwa shule za vijijini kubaki pale pale
wakati serikali ikiweka miundo mbinu Safi vijijini ianze kuajir wanaume kwanza
 
Hii hoja ya spika ina mashiko.Ifanyiwe kazi kulingana na ugumu was mazingira uko kwenye uhaba was walimu nafikiri jinsia izingatiwe maana jinsia ke wataenda haitachukua muda watahama kwa visingizio vingi then tatizo litaendelelea kuwepo kwaio Kama lengo Ni kutatua tatizo hii hoja Ni ya msingi Wala sio roho mbaya dhidi ya jinsia ya kike
 
Mtoa made na huyo speaker wako wote hamnazo.
Badala ya nakushauri serikali iboreshe mazingira ya kufanya kazi ili watu wasikimbie na kuhama wewe unaleta ishu gender hapa?
Sheria inamruhusu mtu kuhama baada ya kuthibitisha wewe
 
Mpaka sasa serikali inaendelea kuboresha na kama unavyojua 'maboresho' sio suala la siku moja. Sasa basi unafikiri nini kifanyike katika kipindi hiki cha mpito walau shule za vijijini nazo zipate walimu wa kutosha kama ilivyo kwa shule za mjini??? .Tupe suluhisho lako..
 
Wa kulaumiwa ni Serikali Rais mshahara wake ni zaidi ya milioni 400 kwa mwaka hakatwi kodi, Mawaziri na Wabunge wana mishahara mikubwa nao na marupurupu manono hawalipi kodi, kila baada ya miaka mitano wanalipwa zaidi ya milioni 300 kama kiinua mgongo hawakatwi kodi. Fikiria wangepunguza hii mishahara yao, marupurupu na viinua mgongo na kuanza kulipa kodi ni kiasi gani kama nchi tungeweza kuboresha maisha kule vijijini na kufanya maisha kuwa rahisi kwa Watanzania wengi? Lakini wapi! Wahuni wachache wanaendelea kufaidi cake ya Taifa huku wakijiita eti SERIKALI YA WANYONGE! [emoji15]
Wabunge wanalipa kodi katika mishahara yao.
 
Kuboresha mazingira sio suala la siku moja sasa kwa kipindi hiki ambacho mazingira bado hayajaboreshwa unafikiri nini kifanyike kutatua tatizo la uhaba wa walimu shule za vijijini???
Wasitoe uhamisho period
 
Hiyo ni kali! Mbona kazi ya malezi mara nyingi wanawake wanamudu?
 
Kuna nchi ni kati ya miezi 12 mpaka 18 na mshahara juu na ME ana likizo hadi ya miezi sita.
Duuuuh mwaka mzima, nikirudi kazini si narudi na nyingine....
Ila hizi 7 days zenu zifutwe tu hahah
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Njia nzuri ya kuajiri walimu ni kuhakikisha wanapewa incentives za nyumba, maji na posho za mazingira magumu kwa wale wa vijijini tu. Walimu wa mijini hakuna posho ya nyumba, maji, wala posho ya mazingira magumu.. Na mijini tunahesabu kuanzia Wilayani, Mkoani na Majiji, yaani pale Halmashauri, au Katikati Mkoani au Jijini ndio mijini hapo, shule zile zilizo umbali wa Kilometa 100 toka Makao makuu ya wilaya, au Mkoa au Jiji, zote hizo ni vijijini. Utaona usawa utakuwepo sasa.
 
😂😂😂😂😂😂Unachukua tena lol! Nadhani kuna limitations ni kila baada ya miaka mitatu kama sikosei.
Duuuuh mwaka mzima, nikirudi kazini si narudi na nyingine....
Ila hizi 7 days zenu zifutwe tu hahah
 
Juzi spika aligusia kidogo suala la ajira kwa walimu na kuishauri serikali kutoa kipaumbele cha ajira kwa walimu wengi wa kiume kuliko wanawake.

Hoja ya spika ina mashiko kwa sababu nature 'asili' ya wanawake wengi hupenda raha na sio wavumilivu wa mazingira magumu.

Kwakuwa uhitaji wa walimu kwa sasa ni maeneo ya vijijini, serikali inapowaajiri walimu wa kike katika maeneo hayo baada ya muda huyakimbia kwa kuomba uhamisho wa kufuata wenza wao ambao wanafanya kazi mijini.

Kwakuwa rate ya walimu wa kike wanaohama ni kubwa ndio maana shule za vijijini zinakosa walimu wa jinsia hiyo kwa sababu asilimia kubwa wamerundikana shule za mjini ambako walihamia kwa kisingizio cha kufuata wenza wao.

Si hivyo Tu, hali hii pia huleta usumbufu kwa walimu wa kiume wanaofanya kazi vijijini kwani hukataliwa na walimu wa kike kwa kuamini kuwa endapo watawakubalia na kuishi kama wana ndoa wataendelea kuishi kijijini. Hivyo walimu wengi wa kike hulazimika kutafuta wenza walioko mjini ilikusudi wahame hali inayopelekea walimu wa kiume walioko vijijini kukosa fursa ya kuoa walimu wenzao.

Kumbe ni sahihi kabisa serikali ikatoa kipaumbele kwa walimu wa kiume kwa sababu ni wavumilivu wa mazingira ya vijijini kuliko wanawake ambao wakiajiriwa baada ya muda wanahama na hivyo kusababisha tatizo la uhaba wa walimu kwa shule za vijijini kubaki pale pale
Mimi siamini kama Mh. Spika Ndugai kayasema hayo. Kwamba walimu wa kike wanahama vijijini ili kuwafuata wenzao wao mijini hivyo wasiajiriwe Bali waajiriwe wa kiume kwa wingi. Mimi Sweettablet naamini Mh. Spika Ndugai amewekewa maneno mdomoni!
 
Back
Top Bottom