Nakubaliana na hoja ya Spika: Serikali iajiri walimu wengi wa kiume kuliko wanawake

Vigezo vinaongezwa tu, ilikuwa wanaojitolea, mara ikawa waliomaliza chuo 2012 kurudi nyuma, sahivi tena jinsia.....kesho sijui kitakuja kigezo gani.

Hadi watu waajiriwe tutaona na kusikia mengi
 
Ndugai ana mambo!! Nyakati zingine ana hoja zenye mashiko kama hii hapa!! Ni ngumu kuipangua labda ulazimishe tu!!
 
Mbozi kuna chenga sana mama Samia imulike mbozi uhamisho wa walimu mwingi ni feki kwa mfano barua ya uhamisho anaandika mkurugenzi anakuja MTU kwenye idara ana sitisha uhamisho kwa niaba ya mkurugenzi bila kujua halafu anatengeza pesa,
 
Kuna zero humu bado zinaamini mwanaume ni more superior and intelligent kuliko mwanamke🀣
 
Mbozi kuna chenga sana mama Samia imulike mbozi uhamisho wa walimu mwingi ni feki kwa mfano barua ya uhamisho anaandika mkurugenzi anakuja MTU kwenye idara ana sitisha uhamisho kwa niaba ya mkurugenzi bila kujua halafu anatengeza pesa,
Liweke sawa hili mkuu lieleweke vzr
 
Ukute Ndugai ameshauri ivyo ili vijana waweze kuoa [emoji23][emoji23] hivi nyie hamzijui akili za mheshimiwa lakini?
Napo ni sahihi kwa sababu walimu wa kiume wakiajiriwa wengi watawaoa walimu wa kike ambao hawana ajira na hivyo tatizo la ajira na ukali wa maisha vitakuwa vimepunguzwa kwa njia hiyo
 
Wanaume wengi hawapendi ajira ya ualimu hasa ngazi za chini. Kwa hivi kusema tu waongezewe ajira inaaweza isiwe suluhisho. Muhimu ni kuboresha mazingira na kipato hapo idadi inaweza kuongezeka
 
ujinga umetamalaki sana tz, wapo wazalendo uchwara wanaolitafuna taifa kwa kuwahadaa watz maskini wasiokuwa na elimu
 
Ukweli mchungu.
 
Umenikuna sana, hii ndiyo movement tunayotakiwa kuiamsha, watanzania siyo watu wa kuendelea kumizwa na kundi dogo la wahuni wanaojiita waheshimiwa kisa waogopwe
 
Reactions: BAK
Badala mkazane kuyatengeneza hayo mazingira yanayokimbiwa, mnataka muajiri wanaume. Haya pambaneni.
Kutengeneza mazingira ni mchakato wa muda mrefu na tunaona namna serikali inavyopambana kupeleka huduma muhimu vijijini. Hizi ajira ni za sasahivi so kwa muda huu ambao mazingira bado si rafiki sana huoni kuna umuhimu wa kuajiri watu watakaoweza kuendana na mazingira?
 
Badala mkazane kuyatengeneza hayo mazingira yanayokimbiwa, mnataka muajiri wanaume. Haya pambaneni.
Ila tuangalie kidogo. Kama magufuri katumia miaka mitano akijaribu kuibadiri chako kuwa mjini. Je selikali itatumia miaka mingapi kubadiri vijiji viendane na mazingira ya kuishi sray qween tanzania nzima. Hata kama watawapandishia mshahara na kuboresha makazi yao na huduma nzuri za afya. Je watawajengea na minara ya sim yenye 4g ili wachati muda wowote.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Kiasili wanaotakiwa kufanya kazi ni wanaume, hao wanawake watakula kwa mgongo wa hao hao wanaume. Kwa hiyo unapotoa ajira kipaumbele iwe ni kuajiri wanaume zaidi kuliko wanawake, nafikiri wote tunakubaliana kwenye hili....
 
Shukrani sana Mkuu πŸ™πŸΎπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎ
Umenikuna sana, hii ndiyo movement tunayotakiwa kuiamsha, watanzania siyo watu wa kuendelea kumizwa na kundi dogo la wahuni wanaojiita waheshimiwa kisa waogopwe
 
Kwa spika serikali kutoajiri walimu wa kike sio ubaguzi, ila covid19 kufukuzwa na chama chao kwa kuwa ni wanawake ndo ubaguzi.
Nimemuelewa spika wangu. Haya buana, kazi iendelee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…