Nakubaliana na mawazo ya Thadei Ole Mushi. Polepole anakosea sana

HUMPHREY POLEPOLE SI KUBEZA

Na Thadei Ole Mushi.

Huenda Polepole yupo sahihi lakini Madhara ya anachokisema ni makubwa mno.

1. Yeye kama Kiongozi ana Platform kubwa zaidi kuliko Mimi na wewe ya kushauri Kwa kumfuata Mkuu wa Mkoa DSM wakajadiliana kuhusu wamachinga.

2. Kauli hizi zinaweza kusababisha Maandamano ya Vijana Kwa kuwa yametolewa na Kiongozi.

3. Sio mara ya kwanza Polepole anawaona wenzake kuwa kichwani hakuna kitu. Aliwahi kuanzisha kipindi Cha Papo Kwa Papo akawa anagombeza viongozi wenzake kwenye simu kuanzia Diwani Hadi Waziri. Polepole huwa anaamini yeye pekee ndiye mwenye akili ndio maana anawafundisha uongozi.

4. Kauli ya Kwamba anamtetea Rais sio kweli huwezi kumtetea halafu wakati huo huo uchochee wanachinga kiasi Hicho. Polepole kama Mbunge ana channel ya kumfikia Rais Kirahisi kuliko Mimi na wewe kusema hadharani kuwa Wamachinga wanaonewa halafu unajidai kumpenda anayeongoza Serikali ni unafiki.

5. Niliwahi kutoa Option kuwa Polepole ili atulie anahitaji mambo mawili aidha apewe Uwaziri,Unaibu Waziri au apelekwe kuwa Balozi nje ya nchi. Kwa huu Ubunge wake atawasumbua sana wenzake Serikalini na ndio anaoutumia kukagua wenzake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

6. Unaweza Kumdharau ila kauli zake Kwa watu wenye matatizo yao binafsi yanaweza kuwa na impact kubwa sana.anachofanya hapa sio kutatua tatizo Bali ni kutengeneza tatizo. Yeye kama sehemu ya Uongozi anatakiwa atoe solutions sio kuchochea Tabaka la chini.

7. CCM na Serikali inagimbanishwa na Wamachinga, inagimbanishwa na vijana, inagimbanishwa na waliojiajiri Kwa kukosa ajira. Si kauli ya kusikiliza na kuiacha.

Narudia huenda Humphrey Polepole ana mawazo mazuri Sana ila njia anayotumia kufikisha mawazo yake sijaipenda.

Ole Mushi
0712702602.

MY TAKE..

CCM bado haiko pamoja na Mama. Hii movement ya Polepole haina afya kwa taifa hAta kidogo.
Genge la wasukuma wanamtuma.
Washenzi sana hawa majitu.
Mliyemtegemea is no longer
 
Polepole Mbuyuni Primary School mwenzangu
Naona umerudi kwenye uharakati

Ova
 
HUMPHREY POLEPOLE SI KUBEZA

Na Thadei Ole Mushi.

Huenda Polepole yupo sahihi lakini Madhara ya anachokisema ni makubwa mno.

1. Yeye kama Kiongozi ana Platform kubwa zaidi kuliko Mimi na wewe ya kushauri Kwa kumfuata Mkuu wa Mkoa DSM wakajadiliana kuhusu wamachinga.

2. Kauli hizi zinaweza kusababisha Maandamano ya Vijana Kwa kuwa yametolewa na Kiongozi.

3. Sio mara ya kwanza Polepole anawaona wenzake kuwa kichwani hakuna kitu. Aliwahi kuanzisha kipindi Cha Papo Kwa Papo akawa anagombeza viongozi wenzake kwenye simu kuanzia Diwani Hadi Waziri. Polepole huwa anaamini yeye pekee ndiye mwenye akili ndio maana anawafundisha uongozi.

4. Kauli ya Kwamba anamtetea Rais sio kweli huwezi kumtetea halafu wakati huo huo uchochee wanachinga kiasi Hicho. Polepole kama Mbunge ana channel ya kumfikia Rais Kirahisi kuliko Mimi na wewe kusema hadharani kuwa Wamachinga wanaonewa halafu unajidai kumpenda anayeongoza Serikali ni unafiki.

5. Niliwahi kutoa Option kuwa Polepole ili atulie anahitaji mambo mawili aidha apewe Uwaziri,Unaibu Waziri au apelekwe kuwa Balozi nje ya nchi. Kwa huu Ubunge wake atawasumbua sana wenzake Serikalini na ndio anaoutumia kukagua wenzake 😂😂😂😂

6. Unaweza Kumdharau ila kauli zake Kwa watu wenye matatizo yao binafsi yanaweza kuwa na impact kubwa sana.anachofanya hapa sio kutatua tatizo Bali ni kutengeneza tatizo. Yeye kama sehemu ya Uongozi anatakiwa atoe solutions sio kuchochea Tabaka la chini.

7. CCM na Serikali inagimbanishwa na Wamachinga, inagimbanishwa na vijana, inagimbanishwa na waliojiajiri Kwa kukosa ajira. Si kauli ya kusikiliza na kuiacha.

Narudia huenda Humphrey Polepole ana mawazo mazuri Sana ila njia anayotumia kufikisha mawazo yake sijaipenda.

Ole Mushi
0712702602.

MY TAKE..

CCM bado haiko pamoja na Mama. Hii movement ya Polepole haina afya kwa taifa hAta kidogo.
Polepole siyo CCM, chama kina wenyewe, wananchi.
Kumtosa Polepole kitu kidogo, anaachwa ajikaange.
 
Pole sana Ole Mushi. uDC ulikosa, uDED ulikosa sasa jaribu uDAS.
 
Pole Pole anaomboleza kwa mtindo tofauti na ule wa waombolezaji wengine. Anamkumbuka Hayati JPM na anashindwa tena kumpatia uhai mwingine ili maisha aliyoyazoea yaendelee kuwepo.

Inafika wakati inambidi mtu akubaliane na maisha halisi kwamba aliyempenda hayupo tena duniani, inabidi mwenye kumpenda hayati alazimike kuwa mtu mpya kichwani mwake na katika matendo yake ya kila siku.

Kwa matendo yake mpaka sasa inaelekea Polepole haamini kuwa Magufuli kaenda Mbele ya haki na yale aliyoyazoea wakati uliopita hayapo tena!!! Kwa unafiki anaouonesha ni vizuri akathibitiwa mapema kabla hajaleta madhara kwa uchonganishi anaoufanya katika jamii.
 
Niliwahi kutoa Option kuwa Polepole ili atulie anahitaji mambo mawili aidha apewe Uwaziri,Unaibu Waziri au apelekwe kuwa Balozi nje ya nchi. Kwa huu Ubunge wake atawasumbua sana wenzake Serikalini na ndio anaoutumia kukagua wenzake 😂😂😂
Njia ya kumfanya atulie ni kumvua huo ubunge.
 
Polepole siyi CCM, chama kina wenyewe wananchi.
Kumtosa Polepole kitu kidogo, anaachwa ajikaange.
Kwa matendo yake mpaka sasa inaelekea Polepole haamini kuwa Magufuli kaenda Mbele ya haki na yale aliyoyazoea wakati uliopita hayapo tena!!! Kwa unafiki anaouonesha ni vizuri akathibitiwa mapema kabla hajaleta madhara kwa uchonganishi anaoufanya katika jamii.
Ni bora angebaki kimya kama Bashiru.
 
HUMPHREY POLEPOLE SI KUBEZA

Na Thadei Ole Mushi.

Huenda Polepole yupo sahihi lakini Madhara ya anachokisema ni makubwa mno.

1. Yeye kama Kiongozi ana Platform kubwa zaidi kuliko Mimi na wewe ya kushauri Kwa kumfuata Mkuu wa Mkoa DSM wakajadiliana kuhusu wamachinga.

2. Kauli hizi zinaweza kusababisha Maandamano ya Vijana Kwa kuwa yametolewa na Kiongozi.

3. Sio mara ya kwanza Polepole anawaona wenzake kuwa kichwani hakuna kitu. Aliwahi kuanzisha kipindi Cha Papo Kwa Papo akawa anagombeza viongozi wenzake kwenye simu kuanzia Diwani Hadi Waziri. Polepole huwa anaamini yeye pekee ndiye mwenye akili ndio maana anawafundisha uongozi.

4. Kauli ya Kwamba anamtetea Rais sio kweli huwezi kumtetea halafu wakati huo huo uchochee wanachinga kiasi Hicho. Polepole kama Mbunge ana channel ya kumfikia Rais Kirahisi kuliko Mimi na wewe kusema hadharani kuwa Wamachinga wanaonewa halafu unajidai kumpenda anayeongoza Serikali ni unafiki.

5. Niliwahi kutoa Option kuwa Polepole ili atulie anahitaji mambo mawili aidha apewe Uwaziri,Unaibu Waziri au apelekwe kuwa Balozi nje ya nchi. Kwa huu Ubunge wake atawasumbua sana wenzake Serikalini na ndio anaoutumia kukagua wenzake 😂😂😂😂

6. Unaweza Kumdharau ila kauli zake Kwa watu wenye matatizo yao binafsi yanaweza kuwa na impact kubwa sana.anachofanya hapa sio kutatua tatizo Bali ni kutengeneza tatizo. Yeye kama sehemu ya Uongozi anatakiwa atoe solutions sio kuchochea Tabaka la chini.

7. CCM na Serikali inagimbanishwa na Wamachinga, inagimbanishwa na vijana, inagimbanishwa na waliojiajiri Kwa kukosa ajira. Si kauli ya kusikiliza na kuiacha.

Narudia huenda Humphrey Polepole ana mawazo mazuri Sana ila njia anayotumia kufikisha mawazo yake sijaipenda.

Ole Mushi
0712702602.

MY TAKE..

CCM bado haiko pamoja na Mama. Hii movement ya Polepole haina afya kwa taifa hAta kidogo.
Unataka afya ipi? Ya kuwakamua Watanzania? Anayosema Polepole yapo kwenye Katiba ya CCM. Kama CCM hawataki kufuata Katiba waliyojiwekea waseme hivyo.
 
Mimi huwa simsikilizi
 
Polepole Alisha zoea lopolop Mimi huwa simskilizi, hataki kukubali kwamba wakati ukuta
 
Huyo mama kuwa naye pamoja wewe sisi hatumtaki arudi kwao
 
Anaweza kusababisha maandamano; sijui kwanin watu km wew mnaogopa maandamano!!! Sijui kwa Tz n lini maandamano yaliwahi kuwa hatari, hasa maandamano ya watu kudai haki yao

Ili atulie apewe uwaziri/naibu au ubalozi; sijui kwanin watu km wew wanadhani tu ili mtu asikosoe, kushauri, n.k bas n lazima apewe ulaji!!
Kwani akifutwa jumla kweny nafasi za kichama atamdhuru nani???
 
Back
Top Bottom