Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Kamfufue. Alimua, kupoteza na kutesa watu.umepanick
marehemu alikufanya nini?🤣🤣🤣🤣🤣🤣
kama unaweza ku apply tena u nurse na cheti cha darasa la saba apply now
Ben Sanane
Gwanda n co
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kamfufue. Alimua, kupoteza na kutesa watu.umepanick
marehemu alikufanya nini?🤣🤣🤣🤣🤣🤣
kama unaweza ku apply tena u nurse na cheti cha darasa la saba apply now
Amekosea nini? Kusema ukweli? Ama kuwaelimisha Watanzania? Kwa nini akae kimya? Kwa nini anyamazishwe na wahuni ndani ya serikali na CCM? Watanzania sio wote wajinga. Kama wewe umechaguwa kuwa muoga na mjinga, beba muzigo wako. PolePole hana makosaHUMPHREY POLEPOLE SI KUBEZA
Na Thadei Ole Mushi.
Huenda Polepole yupo sahihi lakini Madhara ya anachokisema ni makubwa mno.
1. Yeye kama Kiongozi ana Platform kubwa zaidi kuliko Mimi na wewe ya kushauri Kwa kumfuata Mkuu wa Mkoa DSM wakajadiliana kuhusu wamachinga.
2. Kauli hizi zinaweza kusababisha Maandamano ya Vijana Kwa kuwa yametolewa na Kiongozi.
3. Sio mara ya kwanza Polepole anawaona wenzake kuwa kichwani hakuna kitu. Aliwahi kuanzisha kipindi Cha Papo Kwa Papo akawa anagombeza viongozi wenzake kwenye simu kuanzia Diwani Hadi Waziri. Polepole huwa anaamini yeye pekee ndiye mwenye akili ndio maana anawafundisha uongozi.
4. Kauli ya Kwamba anamtetea Rais sio kweli huwezi kumtetea halafu wakati huo huo uchochee wamachinga kiasi Hicho. Polepole kama Mbunge ana channel ya kumfikia Rais Kirahisi kuliko Mimi na wewe kusema hadharani kuwa Wamachinga wanaonewa halafu unajidai kumpenda anayeongoza Serikali ni unafiki.
5. Niliwahi kutoa Option kuwa Polepole ili atulie anahitaji mambo mawili aidha apewe Uwaziri, Unaibu Waziri au apelekwe kuwa Balozi nje ya nchi. Kwa huu Ubunge wake atawasumbua sana wenzake Serikalini na ndio anaoutumia kukagua wenzake 😂😂😂😂
6. Unaweza Kumdharau ila kauli zake Kwa watu wenye matatizo yao binafsi yanaweza kuwa na impact kubwa sana anachofanya hapa sio kutatua tatizo Bali ni kutengeneza tatizo. Yeye kama sehemu ya Uongozi anatakiwa atoe solutions sio kuchochea Tabaka la chini.
7. CCM na Serikali inagimbanishwa na Wamachinga, inagimbanishwa na vijana, inagimbanishwa na waliojiajiri Kwa kukosa ajira. Si kauli ya kusikiliza na kuiacha.
Narudia huenda Humphrey Polepole ana mawazo mazuri Sana ila njia anayotumia kufikisha mawazo yake sijaipenda.
Ole Mushi
0712702602.
MY TAKE..
CCM bado haiko pamoja na Mama. Hii movement ya Polepole haina afya kwa taifa hAta kidogo.
Hakuna mkubwa, mkubwa ni Mwenyezi Mungu. PolePole hana kosa. Kukaa kimya ni upumbavu na uonevu mkubwa. Wahuni hawawezi kutunyamazisha wote.Pole pole kwa CCM ni mdogo sana subiri muda wake utafika tuu atakaa kimya kama yule mbunge wa kawe...
Jinamizi litakuandama wewe kwa woga wako . Watanzania wapenda haki kwa wote tutasimama na polepole. Pooepole hana kosa lolote. Ni wahuni ndani ya serikali, CCM na nje ya serikali wanamudanganyifu Rais kwa kumpigia makofi ili wizi uendelee. Hata hivyo wizi umeanza kupambana moto. Polepole anamwambia mama ukweli, wahuni wanampotosha kuvimbisha matumbo yawo.Jinsi alivyosaliti katiba ya wananchi kwa kuua mawazo ya kimageuzi aliyokua nayo sababu ya kuunga mkono uvunjanii sheria kwa vipande vya fedha akae akifahamu jinamizi litamuandama kila aendako..
Yote kwa yote ni kuwa haamini ni kuwa waliyemuona kama mungu hayupo tena
Acheni kusema uwongo. Alisitisha katiba kwani yeye alikuwa na power ya katiba? Hata tungepata katiba na uongozi kama huu, usiofuata sheria, na korti zetu zinazoogopa kuwahukumu viongozi, katiba ingesaidia nini? Kenya wana katiba nzuri sana lakini haiwasaidii wananchi wa kawaidi. Inawasaidia wenye pesa wa kuweza kutumia korti. Tanzania inahitaji Rais kama Hayati Magufuli kuipeleka Tanzania mbele.Jinsi alivyosaliti katiba ya wananchi kwa kuua mawazo ya kimageuzi aliyokua nayo sababu ya kuunga mkono uvunjanii sheria kwa vipande vya fedha akae akifahamu jinamizi litamuandama kila aendako..
Yote kwa yote ni kuwa haamini ni kuwa waliyemuona kama mungu hayupo tena
Nani kaongea mambo ya mnyaazi Mungu hapa mbona unachanganya mada tupo kwenye siasa unaleta mambo ya imani...Hakuna mkubwa, mkubwa ni Mwenyezi Mungu. PolePole hana kosa. Kukaa kimya ni upumbavu na uonevu mkubwa. Wahuni hawawezi kutunyamazisha wote.
Bado uko na ujinga mwingi..Amekosea nini? Kusema ukweli? Ama kuwaelimisha Watanzania? Kwa nini akae kimya? Kwa nini anyamazishwe na wahuni ndani ya serikali na CCM? Watanzania sio wote wajinga. Kama wewe umechaguwa kuwa muoga na mjinga, beba muzigo wako. PolePole hana makosa
Vipi una maoni Gani kwa Sasa?? Kapewa ulaji kafunga mdomo wake.Jinamizi litakuandama wewe kwa woga wako . Watanzania wapenda haki kwa wote tutasimama na polepole. Pooepole hana kosa lolote. Ni wahuni ndani ya serikali, CCM na nje ya serikali wanamudanganyifu Rais kwa kumpigia makofi ili wizi uendelee. Hata hivyo wizi umeanza kupambana moto. Polepole anamwambia mama ukweli, wahuni wanampotosha kuvimbisha matumbo yawo.