Nakubaliana na mawazo ya Thadei Ole Mushi. Polepole anakosea sana

Genge la wasukuma wanamtuma.
Washenzi sana hawa majitu.
Mliyemtegemea is no longer
 
Polepole Mbuyuni Primary School mwenzangu
Naona umerudi kwenye uharakati

Ova
 
Polepole siyo CCM, chama kina wenyewe, wananchi.
Kumtosa Polepole kitu kidogo, anaachwa ajikaange.
 
Pole sana Ole Mushi. uDC ulikosa, uDED ulikosa sasa jaribu uDAS.
 

Kwa matendo yake mpaka sasa inaelekea Polepole haamini kuwa Magufuli kaenda Mbele ya haki na yale aliyoyazoea wakati uliopita hayapo tena!!! Kwa unafiki anaouonesha ni vizuri akathibitiwa mapema kabla hajaleta madhara kwa uchonganishi anaoufanya katika jamii.
 
Njia ya kumfanya atulie ni kumvua huo ubunge.
 
Polepole siyi CCM, chama kina wenyewe wananchi.
Kumtosa Polepole kitu kidogo, anaachwa ajikaange.
Ni bora angebaki kimya kama Bashiru.
 
Unataka afya ipi? Ya kuwakamua Watanzania? Anayosema Polepole yapo kwenye Katiba ya CCM. Kama CCM hawataki kufuata Katiba waliyojiwekea waseme hivyo.
 
Mimi huwa simsikilizi
 
Polepole Alisha zoea lopolop Mimi huwa simskilizi, hataki kukubali kwamba wakati ukuta
 
Huyo mama kuwa naye pamoja wewe sisi hatumtaki arudi kwao
 
Anaweza kusababisha maandamano; sijui kwanin watu km wew mnaogopa maandamano!!! Sijui kwa Tz n lini maandamano yaliwahi kuwa hatari, hasa maandamano ya watu kudai haki yao

Ili atulie apewe uwaziri/naibu au ubalozi; sijui kwanin watu km wew wanadhani tu ili mtu asikosoe, kushauri, n.k bas n lazima apewe ulaji!!
Kwani akifutwa jumla kweny nafasi za kichama atamdhuru nani???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…