Nakubaliana na mawazo ya Thadei Ole Mushi. Polepole anakosea sana

Polepole rohoni haamini Mama Samia ni Rais.. Bado amelala usingizi wa pono, nadhani ni wakati wa kumvua madaraka ya ubunge na kupata adabu, kwanza Polepole sio CCM damu, kadandia gari, huyu ni mhuni tu.

Nadhani Mh. Rais mtu kama huyu ni kutompa madaraka hata kidogo, amtoe ubunge haraka sana.
 
Good hoja nzuri sana
 
Dawa ni afe amfuate huko alipo
 
Simpendi Polepole lakini huyu bibi anatakiwa apingwe na kila mtu
 
Genge la wasukuma wanamtuma.
Washenzi sana hawa majitu.
Mliyemtegemea is no longer, shenzi ninyi
Ngoja ifanyike sensa ya watu ndio ujue kama unaweza kushinda uchaguzi bila support ya wasukuma.Hii dhambi ya ubaguzi mnayoijenga kwa kutenga wenzenu kwa ukabila haiwezi kuwaacha salama
 
Kwa nini asishitakiwe kwa uchochezi, na kuhatarisha usalama wa Taifa? Wengi wameshitakiwa na wako mahabusu kama siyo jela kwa kauli tu ,kwa maneno tu waliyoyaweka ama wakiwa kwenye mikutano ya hadhara au ya ndani. Interejensia haimsikii, haimuoni? IGP uko,DCI mkono wapi
 
Watu wamelala lock up kwa kuvaa T Shirt zenye maandishi au rangi isiyopendwa. Lakini wapenda haki kama huyu Mheshimiwa hawajawahi kusema kitu.

Amandla....
 
Polepole anaisaliti serikali ya CCM waziwazi huku akijua fika kwamba kuafnya hivyo ni kosa kubwa ukizingatia alikuwa ni kiongozi mwandamizi wa Chama enzi za JPM.

Anafanya makusudi ili chama kikimchukulia hatua anaonekane kwamba anaonewa sababu ni x - JPM. hili hatutakubali tumemvumilia vya kutosha sana.
 
Slow slow mzee wa ma v8 ulishapitwa na wakati mlitamba sana na mlivimba sana enzi zile na kweli mliitumia dola kubaki madarakan lkn kila jambo lina mwisho hebu rudi tuungane kudai katiba mpya na tume huru ya uchaguz watz watakukumbuka kwa hilo tu hapa dunian
 
Polepole speaks his mind. Anaona ccm imeporwa na likes za kikwetes na makambas. Anahitaji ujasiri kidogo tu aanzishe chama watu wengi waliomo ccm hawakubaliani na kikwetes. Nafikiri wengi waoga lkn inge balancce wana ccm kuwa na alternative. Maana chadema ni ukabila na matusi tu.
 
Kifo cha sponsor huwa hakijulikani mara nyingi kinakuwa ni cha kushtua na chenye kuacha majonzi.

Nilimtazama siku ile wakati Rais Samia akiapisha kwa mara ya kwanza kabisa pale ikulu, Pole Pole alikuwa anamtazama Rais kwa jicho la kuiba, jicho lilioongea masuala mengi kwa wakati mmoja.
 
Polepole Ni zao la ccm,ameitumikia ccm katika wadhiwa mkubwa na wenye umuhimu Sana

Kwa jicho la kawaida waweza dhani kuwa hajitambui,msaliti na Hana maana.Lakini ukweli ni kwamba That boy is very smart,Nahisi hayupo pekeyake yeye ametumwa tu kufikisha ujumbe,walionyuma yake wananguvu Sana

Siasa ni mchezo Kama michezo mingine
 
Huyo mtu amevurugwa baada uongozi kumtoka bila kutarajia maana alikuwa na matumaini ya kuwa kiongozi kwa muda mrefu baada ya yule waliyekuwa wakiamuabudu kukusudia kukaa milele madaraka.
 
Kamfukueni .mumfufue uzikwe wewe. Shwain wewe. Umkumbuke wewe na mmeo cc hatukumbuki watu wanaoua wenzao. Lifuateni huko motoni lilipo hilo dubwasha lenu
umepanick

marehemu alikufanya nini?🀣🀣🀣🀣🀣🀣


kama unaweza ku apply tena u nurse na cheti cha darasa la saba apply now
 
Million dollar question,ni anachosema ni ukweli au uongo?
Na kama ni uongo kwanini watu wa serikali hawajibu,wanaogopa nini?
Huyu jamaa Richa ya kwmaba simpendi,lakini anaongea ukweli mtupu,anafungua macho wananchi,na ccm wanamchukia kwa Hilo,hawapendi wananchi wajue ukweli.
Ubaya upo wapi anapofundisha jinsi ya kufatilia pesa ya umma inavyotoka na kutumika kuanzia serikali kuu mpaka kwenye halmashauri?
Inawezekana ana kinyongo hayupo Tena kwenye mrija wa ulaji,lakini mjumbe hauwawi,na baniani mbaya kiatu chake......?!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…