Nakubaliana na mawazo ya Thadei Ole Mushi. Polepole anakosea sana

umepanick

marehemu alikufanya nini?🀣🀣🀣🀣🀣🀣


kama unaweza ku apply tena u nurse na cheti cha darasa la saba apply now
Kamfufue. Alimua, kupoteza na kutesa watu.
Ben Sanane
Gwanda n co
 
Amekosea nini? Kusema ukweli? Ama kuwaelimisha Watanzania? Kwa nini akae kimya? Kwa nini anyamazishwe na wahuni ndani ya serikali na CCM? Watanzania sio wote wajinga. Kama wewe umechaguwa kuwa muoga na mjinga, beba muzigo wako. PolePole hana makosa
 
Pole pole kwa CCM ni mdogo sana subiri muda wake utafika tuu atakaa kimya kama yule mbunge wa kawe...
Hakuna mkubwa, mkubwa ni Mwenyezi Mungu. PolePole hana kosa. Kukaa kimya ni upumbavu na uonevu mkubwa. Wahuni hawawezi kutunyamazisha wote.
 
Jinamizi litakuandama wewe kwa woga wako . Watanzania wapenda haki kwa wote tutasimama na polepole. Pooepole hana kosa lolote. Ni wahuni ndani ya serikali, CCM na nje ya serikali wanamudanganyifu Rais kwa kumpigia makofi ili wizi uendelee. Hata hivyo wizi umeanza kupambana moto. Polepole anamwambia mama ukweli, wahuni wanampotosha kuvimbisha matumbo yawo.
 
Acheni kusema uwongo. Alisitisha katiba kwani yeye alikuwa na power ya katiba? Hata tungepata katiba na uongozi kama huu, usiofuata sheria, na korti zetu zinazoogopa kuwahukumu viongozi, katiba ingesaidia nini? Kenya wana katiba nzuri sana lakini haiwasaidii wananchi wa kawaidi. Inawasaidia wenye pesa wa kuweza kutumia korti. Tanzania inahitaji Rais kama Hayati Magufuli kuipeleka Tanzania mbele.
 
Hakuna mkubwa, mkubwa ni Mwenyezi Mungu. PolePole hana kosa. Kukaa kimya ni upumbavu na uonevu mkubwa. Wahuni hawawezi kutunyamazisha wote.
Nani kaongea mambo ya mnyaazi Mungu hapa mbona unachanganya mada tupo kwenye siasa unaleta mambo ya imani...
 
Bado uko na ujinga mwingi..
 
Vipi una maoni Gani kwa Sasa?? Kapewa ulaji kafunga mdomo wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…